Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
kipindi cha nyuma walkuwa wanatoa vyeti kwa wenye zero
 
Ili upate uongozi Tanzania unatakiwa ujue kusoma na kuandika tu,Msimchoshe Makonda,elimu yake inamtosha

Elimu sio ishu na inategemea uwongozi gani sio wote.... alafu kutumia cheti sio chako ni jinai au hujui hilo?!
 
Aloo nami nitakua miongoni mwa watakaoshangaa kutotumbuliwa kwake ikiwa hizo tuhuma ni za kweli nitashangaa pia wahusika wasipotolea ufafanuzi na namuomba mungu awashushie laaana kubwa wakishindwa kufanya hvyo . Sababu wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wengi wamefukuzwa kazi wanaishi kama mashetani wengine ni mashetani wanaishi kama mitume laanatullah nitaswali kuomba mungu ahukumu vinavyostahili!! I wishi a kudu be an angel (The Jibrill)
 
Acha tu iendelee! Tena naona wamemstahi. Poleni sana mlioguswa. Sasa mjue familia ya Kabwe ilivyojisikia na on top of that akaenda msibani na kuongea. Now who is pathetic?!
Mkuu kinachonitisha sio ni nani kaumizwa. Ni utamaduni huu wa Ku deal na issues Sasa hivi ya Kabwe ikiwemo. Kama hana cheti anatakiwa awajibike. Ila swali ni kuwa, hatuna namna nzuri ya kushughulikia matatizo yetu. Viongozi na tunaoongozwa
 
Makonda huyo wa 199x - 20xx hakukuwa na vyeti vya div 0. Hata mie nimemaliza form four kipindi hicho hakukuwa na vyeti vya div 0
Je alipata zero au hakupata zero?
Je alimaliza shule ya msingi na secondary akiitwa nani na chuo alidailiwa kwa majina gani?
Je hili Jina la Paul Makonda alilipata lini na kutoka wapi.?

Haya ndio maswali yanayohiyaji majibu kutoka kwa Mlalamikiwa.
 
Hamna shida, mkuu atamteuwa kuwa balozi wa Tanzania nchini marekani. Au atakuwa mwenyekiti wa bodi, au anaweza kuwa mshauri wa rais katika mambo ya viwanda.
huko Marekani ataenda na pasport fake? yeye ni Daud pasport inasema Makonda, hapo itakuwaje? Muhimu hapo ni kurejea kwa jina lake na kuanza upya!
 
Mkuu kinachonitisha sio ni nani kaumizwa. Ni utamaduni huu wa Ku deal na issues Sasa hivi ya Kabwe ikiwemo. Kama hana cheti anatakiwa awajibike. Ila swali ni kuwa, hatuna namna nzuri ya kushughulikia matatizo yetu. Viongozi na tunaoongozwa
we nae acha kujifanya mstaarabu bwabwaja tu
 
ivi skuizi makanisani tunaenda kuabudu au kupewa habari za kimbea...! yani skuizi kwenye makanisa story tofauti na hitaji la mahala husika na ndo mana nyimbo za dini tunaenda kusikilizia bar
Gwajima ametoa ushuhuda wa anayoyajua, angeyaficha angelikua ametenda dhambi kubwa sana kwa kua mnafiki, wanafiki hawana nafasi Mbele za uso wa Mungu
 
Alivyo na masifa angeshaonyesha vyeti vingekuwa vyake origin...kuna siku alikuwa anaongea na waandishi alisema "huwa sina tabia ya kukimbia maswali ya waandishi" ila ssahivi akiulizwa vyeti tu anaruka kimanga.
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Watu wanajua mengi kuhusu watu ila cha muhimu tu usiwatafute wakuseme...Hata wewe kuna yako wanayajua ila wanakufichia tu ..waguse uone
 
Kuna wabunge wetu darasa la saba, wenyewe wameweka wazi na tumewapokea kwa moyo mmoja.

Je huyu Mungu wa dsm, vyeti vya kwake au siyo vya kwake?
Toa jibu basi, maana kaka mkubwa alisema tupeana majibu huku huku kwenye mitandao.

Pia toa maana harisi ya zoezi la serikali, lililo tumia kodi zetu katika kuhakiki vyeti kwa watumishi wa serikali?
Ni vyake lakini sio vyake
 
Jamaa naye kama kweli alipata zero basi ni kilaza mkubwa sana, miaka minne yote kweli hapakuwa hata na multiple choice?
 
Back
Top Bottom