Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

huko Marekani ataenda na pasport fake? yeye ni Daud pasport inasema Makonda, hapo itakuwaje? Muhimu hapo ni kurejea kwa jina lake na kuanza upya!
tumia akili kwenda marekani sio kipimo cha cheti fake
 
Kwanza elewa hivi:
Anayetuhumu anatakiwa athibitishe. Huwezi kumuita mtu mwizi halafu umwambie athibitishe kuwa yeye siyo mwezi.

Pili hayo madai au tuhuma Gwajima anatakiwa awasilishe mamlaka husika. Mimbari ya Kanisa ni kuhubiri siyo kuthibitisha tuhuma
Acha maneno weka muziki Au ukweli
 
Kitu kimoja sijaelewa Mh Magu siamefanya uhakiki wa vyeti feki inakuwaje tena madudu kama haya yanatokea inamaana sasa kumbe uhakiki huo "FEKI"

Au ndo tuanapigwa changa la macho na serikali yetu
 
na quote " mimi mchungaji gwajima nasema nina cheti cha division zero cha makonda''

w
atanzania tusiwe mbumbumbu kushangilia kila kitu ndio mana mr kibwetere aliua watu uganda kwa mambo ya kushangilia wachungaji.

tuulizane tangu lini necta wanatoa cheti kwa mtu aliepata division zero?.

think critically
 
Cheti feki, je makonda chake ni feki? Au sio chake.!( jina analotumia kazini ni jina halisi kwa elimu halisi)? Tatizo ni jina au elimu?
Tatizo ni kwamba inaonekana amecommit a series of crimes baada ya ile kwanza anayotuhumiwa kutumia cheti cha mtu mwingine. Atakuwa amesign documents nyingi na kula viapo vingi kwamba alichoandika na kuattach na alichokisema kwamba kilikuwa cha kweli. Ni makosa ya jinai.

Hizi ndio zile elimu zinazoitwa za kuunga unga? Hata darasa la nne ni la kufeli jamani? Na hiyo secondary aliyofukuzwa, alifukuzwa kwa kosa gani?
 
tumia akili kwenda marekani sio kipimo cha cheti fake
yeye ni bashite au makonda? kama ni bashite alipataje pasport ya makonda. kama ni makonda kwanini aondolewe hapo alipo. nadhani ww ndio wakutumia akili zaidi1
 
Ni dhahiri aliowafanyia ubaya amewafanyia kwa maslahi binafsi sio kwa mujibu wa sheria.
 
Too sad maana unaweza kuta hata wafanyakazi wa ikulu ni waumini wazuri wa gwajima na alivyokuwa anaongea hapo walikuwa wanashangilia, what makes you think kwamba hataweza kupata details zote za bashite?10,000+ followers tena loyal wasiwepo idara nyeti?
Na kuna watu wanaumizwa na mambo yanayoendelea ugali haupatikani vyema. Huko maofisini ni mwendo wakuumizana tu. Sasa inakuja ile kwamba kamq babayake hatumuwezi huyu mtoto tunamtoa meno yote tuone kama atafungua midomo yake kucheka hadharani kama hatawamwagia watu ute
 
Nataka kujua tu,je dhumuni la kiongozi mmoja kuombewa na jopo la mashehe,ni ili vyeti feki viwe original?Bado najiuliza kama hiki kitu ni kweli au walikuwa wanamuombea azidi kutaja wengine?
 
Ndo maana nikasema habari imekaa kiuongo anaposema anavyeti kumbe anamaanisha matokeo!!!Kuhusu kusoma Nyegezi ni kweli mzee wangu kamfundisha pale Fisheries

jamaa anakesi ya kujibu kwa kununua vyeti vya Pauli Makonda wakati yeye ni Daudi Bashite
 
Back
Top Bottom