Labda kama angepeleka vyeti viombeweSasa mbona tulimuona akiombewa jana?
Ili viwe original?Teeeeeeeeeeh Teeeeeeeeeeh TeeeeeeeeeehLabda kama angepeleka vyeti viombewe
Kwanza elewa hivi:Basi mshauri a toke hadharani akanushe kwa ushahidi
Gwajima tupostie vyeti vya mtu yule kidadeki siafu kakamata korodani za daudi bashite tuone kama hatavua nguo amtoe
Mimi macho kodo nione utupu wa Daudi
Acha tu iendelee! Tena naona wamemstahi. Poleni sana mlioguswa. Sasa mjue familia ya Kabwe ilivyojisikia na on top of that akaenda msibani na kuongea. Now who is pathetic?!Hoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic
hahahahah hajui chochoteIla hiv mnajua amna kitu kigumu kama kupata Zero? jamaa apongezwe
Mlete... Ila kabula hujamleta ngoja nibeti !!!Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.
Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.
Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?










Alaa kumbe sasa mbona wale wa UDOM tuliwaita vilaza kwani hawajui kusoma na kuandika?Ili upate uongozi Tanzania unatakiwa ujue kusoma na kuandika tu,Msimchoshe Makonda,elimu yake inamtosha
Huyo alipata zero hakuiba vyetiMbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Ole Sendeka.Mlete... Ila kabula hujamleta ngoja nibeti !!!