Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Ndugu,kipindi cha nyuma walikua wanatoa vyeti hadi kwa wale waliokua wanapata zero,uliza kwa wale waliomaliza zamani.
Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
 
Nikurekebishe kidogo unaposema kuwa katika Ukristo Visasi haviruhusiwi unataka kutuaminisha nini? Hivi Vitendo ambavyo Mwenyezi Mungu aliwafanyia Wayahudi pale walipomuudhi na kutomsikiliza hadi akawapiga Kofi la SAFINA ambalo kiuhakika liliwaangamiza sana Wayahudi hii kwako Wewe siyo KISASI cha Mungu kwa Wayahudi? Tunapojitambulisha kuwa sisi ni Wacha Mungu mno tuwe tunahakikisha tunayajua vizuri maudhui yote yaliyopo katika Kitabu tukufu cha Biblia kuliko kukurupuka na mwishowe kuonekana ni wa hovyo hovyo. Ukipitia vizuri Biblia na Vitabu mbalimbali utagundua kuwa Mwenyezi Mungu mwenyewe ni Master wa Visasi na ukisoma hasa Kitabu cha Exodus ( Kutoka ) utakumbana na mengi mno. Kila la kheri katika kuyatafuta maarifa ya Kiroho Mkuu.
Nashukuru umejijibu mwenyewe kuwa wanadamu tumekatazwa kulipa kisasi kwani Mungu anasema kisasi ni chake, kama uko tayari nikupe maandiko
 
Hapa,,Kama MTU hataachishwa kazi ,ntashangaa..ntaomba wote waliofukuzwa kazi kwasababu kama ya chet cha Bashite nch nzima warudi makszini...mi nashangaa sana vilsza wengi walobahatka kpata kszi za kupewa hats kama mapoyoyo..wanachonga sana huona wao ndy wenye mingi akili!!!
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
Huu ndo ujumbe aliotumwa na Mungu atuambie leo?
 
So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
Kuna wabunge wetu darasa la saba, wenyewe wameweka wazi na tumewapokea kwa moyo mmoja.

Je huyu Mungu wa dsm, vyeti vya kwake au siyo vya kwake?
Toa jibu basi, maana kaka mkubwa alisema tupeana majibu huku huku kwenye mitandao.

Pia toa maana harisi ya zoezi la serikali, lililo tumia kodi zetu katika kuhakiki vyeti kwa watumishi wa serikali?
 
Hii habari inauongo mwingi sana Kwanza anasema darasa la saba hakufaulu lakini akasoma Pamba kisha anasema anavyeti vya ziro form4
Pamba ya jioni...wanaitaga elimu ya watu wazima.. Nadhan akisema cheti cha zero anamaanisha matokeo ya zero..nna uhakika hata icho cheti cha Paulo hana ila ni matokeo yao..
 
joe 112 katika kubadilisha upepo wa mada na hoja ambazo ni chungu kwetu ccm na serikali,dogo Makonda ni noma!
Kwa hilo nampa hongera!
Sema huwa anashindwa kucontrol sifa anazopewa mpaka zinamjaa kichwani!
Anakimbia mpaka anapitiliza kwao!
 
Daudi Bashite pole sana ndio maana niliwahi kusema tuwe tuna akiba ya maneno!

Tena arudishe hela zetu za mishahara yote aliyopata la sivyo nasikia kuna watu wanataka kwenda Mahakamani!
 
Kipindi hicho si kili kua cha division....kama cha sasa ukipata zero maana F masomo yote....na Necta uwa hawatengenez cheti cha MTU aliye pata zero....au ikoje wadau...?
 
Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Hahha...pole sana.... Kumbe Mzee wako kamfundisha Paul makonda si Albert bashite tena...
 
Gwajima kasema Ana cheti cha Makonda cha Form four Chenye zero. Sikiliza tena hiyo audio
Sifuri kabisaa..yani hakuna alicho kua anakijua yeye. Saivi ndo kapewa manukumu yooote ya kusimia jiji....kudhiirisha elimu yake ushahidi nadhani mnayo
 
Mpuuzi ni wewe, sijazuia wala kumtetea makonda.
Pointi yangu ni hiii...gwajima kujiingiza katika hili anajichafua zaidi bora hata awasaidie wengine taatifa hizo wazifanyie kazi kuliko yeye ambaye dunia inajua wanaugomvi na makonda.
Pili katika ukristo kisasi hakiruhusiwi, hili la makonda dunia inajua ni mtumishi batili kwani hana sifa.
Zuia povu
Gwajima ni mtumisgi wa Mungu, Mungu halali wala hasinzii, its absurd umeona la mkonda tuu, vipi kusema yeye haitaji uraisi sababu ni zaidi ya raisi?Mtu WA Mungu kama Gwajima tena mwenye resource zake hakosei, tens akijua ya kuwa ataitwa kutoa ufafanuzi...makonda alikosea kutaka kumchafua, Gwajima hamuogopi hata raisi sababu Mungu yupo hai na anatenda. Ndio maana kasema raisi asipotenda yeye atatoa vyeti
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
Gwajimaaaa
Hivi nani alimtunuku PhD?????????
 
Back
Top Bottom