Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

R
Cheti cha zero hakipatikani Ndio sababu hata CCM wakisema Mbowe Ana zero ya form six huwa hawa semi cheti wanacho. Ukiwa Miongo uwe na Kumbukumbu.

Wekeni hadharani hayo Matokeo halisi ya Makonda na ya kughushi!

Mtu Mwenye akili akisikiliza vizuri hiyo audio utasikia namna ya usanii wa Gwajima kwa mfano anajiepusha kwa kutumia Maneno Kama vile a Wana Yule au Kiumbe Yule au kujifanya kasahau Jina la Makonda then Waumini ndio wanataja kwa Sauti then yeye anaendelea kutoa Maelezo. Huu ni aina ya Uongo ambao unausambaza kwa Njia za Ujanja ujanja ili usiingie kwny Mikono ya Vyombo vya sheriay
Result slip...ni cheti kisichokuwa formal, hujui hilo?
 
Matokeo ya zero si yanatoka? Na Je aliepata zero inamaana baraza huwa wanadestroy nakala za kumbukumbu ya matokeo yake?
Naamini kutakuwa Kuna statement of results ili kama umeonewa what if ukikata rufaa wakawa wame destroy kumbukumbu zako? Tuamini kuwa uaminifu taasisi nyingi umekuwa na walakini siajabu Kuna mtu kavujisha nakala ya statement of results ambayo ni sawa na cheti so tusipotoshe maada kwa kukazania hamna cheti cha zero.
 
Ila Gwajima ajifunze kusamehe kumbe Makonda ni homeboy kabisa.
 
Cheti cha zero hakipatikani Ndio sababu hata CCM wakisema Mbowe Ana zero ya form six huwa hawa semi cheti wanacho. Ukiwa Miongo uwe na Kumbukumbu.

Wekeni hadharani hayo Matokeo halisi ya Makonda na ya kughushi!

Mtu Mwenye akili akisikiliza vizuri hiyo audio utasikia namna ya usanii wa Gwajima kwa mfano anajiepusha kwa kutumia Maneno Kama vile a Wana Yule au Kiumbe Yule au kujifanya kasahau Jina la Makonda then Waumini ndio wanataja kwa Sauti then yeye anaendelea kutoa Maelezo. Huu ni aina ya Uongo ambao unausambaza kwa Njia za Ujanja ujanja ili usiingie kwny Mikono ya Vyombo vya sheriay
wewe nae unaongea nn?kwa hiyo MTU akipata ziro result slip haitolewi?kwa taarifa yako hadi gwajima kuongea hivo ashapelekewa kila kitu.ana waumini wanaofanya baraza so ni kitu simple tu kumpa vithibitisho.
 
Pamba ya jioni...wanaitaga elimu ya watu wazima.. Nadhan akisema cheti cha zero anamaanisha matokeo ya zero..nna uhakika hata icho cheti cha Paulo hana ila ni matokeo yao..
Ndo maana nikasema habari imekaa kiuongo anaposema anavyeti kumbe anamaanisha matokeo!!!Kuhusu kusoma Nyegezi ni kweli mzee wangu kamfundisha pale Fisheries
 
Gwajima amesema anavyo vyeti vya Daudi Bashite vipo ofisini kwake. Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kuwa Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

.

salute kwa Gwajima!!! ZERO alafu anasumbua wazee wa watu ma engineer.
 
Gwajima amesema anavyo vyeti vya Daudi Bashite vipo ofisini kwake. Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kuwa Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

.

Anadai anavyeti viwili kile cha div four na kile cha div zero nataka tu kujua ni miaka gani necta inatoa cheti kwa div zero na ikiwa hana hicho cheti basi naye anatafuta kick kupitia kwa familia yake na mwisho wa cku ni kuendelea kufuatilia movie isiyo na maana na kupotezeana muda
 
Hii habari inauongo mwingi sana Kwanza anasema darasa la saba hakufaulu lakini akasoma Pamba kisha anasema anavyeti vya ziro form4

Umeisikiliza hiyo audio clip vizuri lakini? Kakuambia kuwa Yeye alifeli darasa la 7 ndipo kuna Mwanamke mmoja wa Kihaya akampa Cheti cha Nduguye ambacho Jamaa alikitumia kusomea Pamba Kidato O level hadi hapo alipozungusha Keep left ( Zero ). Yawezekana hapo katika Vyeti vya Division Zero Mchungaji alipitiwa tu ila nahisi alitaka kusema labda ana result slip yake ambapo ninaamini huwa zinapatikana huko Barazani au Shuleni hivyo hajakosea sana.

Kosa kubwa la RC Makonda ni kuanzisha vita ya mawe wakati kumbe Yeye Sterling mwenyewe anaishi katika Nyumba ya Vioo kitu ambacho ni hatari sana. Wahusika wasipoteze muda katika kulijadili hili kwani ni ukweli usiopingika kuwa RC Makonda kafoji Cheti na pia ni Mtupu Kichwani kwani wapo hata waliosoma nae wameshatoa Shuhuda zao nyingi tu katika platforms mbalimbali tena wakiwa na uhakika. Tuacheni kutetea upuuzi huku tukiwaona kila anayemsema RC Makonda humu basi ni Muuza Unga au ni CHADEMA wakati ukweli ni kwamba kuna ambao tupo humu tumesharidhika na Ungumbaru ( Umasikini ) wetu hivyo hatuna cha kupoteza na tupo CCM huko huko alipo Yeye na wala pia hatumkosoi labda tunakitaka Cheo chake tukiamini kuwa duniani hakuna Cheo Kizuri kama kuwa Muadilifu, Mwenye Nidhamu na Mkweli kwa kila jambo kitu ambacho kimsingi humfurahisha mno Mwenyezi Mungu.

Katika hili tuacheni Unafiki RC Makonda hatoshei Kiuongozi hasa kutokana na Kashfa hii kubwa na tunashangaa kwanini hadi sasa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli bado tu hajamtumbua.
 
Too sad maana unaweza kuta hata wafanyakazi wa ikulu ni waumini wazuri wa gwajima na alivyokuwa anaongea hapo walikuwa wanashangilia, what makes you think kwamba hataweza kupata details zote za bashite?10,000+ followers tena loyal wasiwepo idara nyeti?
 
wewe nae unaongea nn?kwa hiyo MTU akipata ziro result slip haitolewi?kwa taarifa yako hadi gwajima kuongea hivo ashapelekewa kila kitu.ana waumini wanaofanya baraza so ni kitu simple tu kumpa vithibitisho.

Gwajima ndio Nani mpaka umfanye reference hapa?

Tunahitaji ushahidi wa Matokeo ya zero ya na hayo ya kufoji kwanini mzunguke sana Mara sijui Nina namba ya aliempa Vyeti Mara Nina address ya alipokaa wakati anasoma hayo yote ya nini?

Weka vyeti vyake vya Zero hadharani Mchezo uishe
 
So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
Kwanini basi Ndalichako anapotea pesa ya serikali kukagua watu wenye vyeti feki.
 
Prof.ndalichako shikamoo mama najua upo humu ndani .NAOMBA FANYA YAKO MAANA UMELETA HESHIMA SANAA MTAANI SAHV KILAZA NA KIPANGA WANAONEKANA NA TUNAHESHIMIANA SANAA
 
Back
Top Bottom