Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Safi sana mtumishi wakichelewa kiona jipu weka vyeti hadharani,hafai kabisa pia Ni mtihani kwa serikali ya wanyonye ya hapa kazi tu!
 
Hiyo haimwondolei sifa kuwa mkuu wa mkoa, hatakama angekuwa hajui kusoma na kuandika bado angekuwa na sifa.
 
Miaka gani hiyo hii ujinga muwadanganye wajinga mlionao huko CDM
Naona mnaruka ruka kama panzi, mnatoka kwenye vyeti feki mnakuja kwenye cheti cha Division zero kama kipo.
Hapa hoja ya msingi ni Makonda atoke mbele na vyeti vyake vyote OG kuanzia cha darasa la 7 mpaka chuo kikuu. Hizi nguvu unazotumia kupindisha hoja ungekuwa unazitumia kumwambia Bw. Daudi atoe vyeti vyake, kufunga au kuzima haya malumbano.
 
Tokea lini div 0, akapewa certificate? Miaka hiyo anasoma Makonda mtu alipata div 0, kulikuwa hakuna cheti
kipindi cha nyuma watu walkuwa wanapewa vyeti hata kama una 0,wameacha kutoa vyeti kuanzia miaka ya 2000 kama sikosei
 
Kwanza elewa hivi:
Anayetuhumu anatakiwa athibitishe. Huwezi kumuita mtu mwizi halafu umwambie athibitishe kuwa yeye siyo mwezi.

Pili hayo madai au tuhuma Gwajima anatakiwa awasilishe mamlaka husika. Mimbari ya Kanisa ni kuhubiri siyo kuthibitisha tuhuma
Gwajima alikua anazungumza na familia yake...
Ni wajibu wake kuweka mambo sawa ukizingatia tuhuma alizo Pewa.
Bahati mbaya au nzuri huyo bashite lazima aibuke tu kwenye harakati hizo za Bishop kutaka ku-clarify mambo.
Mlaumu alie vujisha hii video... Maana yeye kasema kabisa haya ni maongezi ya familia.
 
Back
Top Bottom