Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Makonda ni hodari sana kuvitumia vyombo vya habari,Nasubiri nione akivitumia ili akanushe tuhuma hizi vinginevyo vyombo vya Habari vimtafute atuambie ukweli wa hili.
Tukumbuke wengi wamepoteza ajiri zao kwa ajili vyeti vya kughushi Kwa nini yeye a achwe? Wapi Ndalichako? Wapi NGOSHA?
Muulize Mhariri wa gazeti la Manji alipouliza kuhusu vyeti,aliyakoga matusi hahahahaa yule kiumbe ni mshenzi sana
 
Dah! Magufuli kimyaaaaa kauchuna kama hasikii haya wakati anapita humu.
Muosha Huoshwa

Tunasubiri amtumbue, na asipofanya hivyo basi awarudishe kazini wale woote akiowatumbua kwa kuwa na vyeti feki.
 
Mkuu unaishi wapi? Operation ya watumishi hewa na vyeti feki umeifuatilia.
Bora ungecomment bila kutukana coz na wewe hujui kitu.
Nna rafiki yangu kasoma kilimo na ni mtaalamu wa kilimo na mchapakazi had wakulima walisikitika kuondoka kwake.
Tatizo ni kwamba alienda kusoma form six kwa cheti feki. Alifany vizur form 6 akaenda chuo ch kilimo nako kfanya vizuri.
Lakin had sasa anasubiri hukumu mahakamani n kazi alishafukuzwa.

Bashite is next
 
Wewe mwenyewe ni haramu in one way or another, swali langu Paul hajasoma? Hakupitia hizo hatua za vyuo? Kama amepita tuhuma zenu juu yake ni elimu au utendaji wake? Ama uthubutu aliofanya kutimiza wajibu wake.
TCU wanatafuta vilaza wasio na sifa ujue, wale walioingia vyuoni kwa ujanja ujanja kama wa huyu mbeleko, kwa kubebwa bebwa!!
 
Mkuu unaishi wapi? Operation ya watumishi hewa na vyeti feki umeifuatilia.
Bora ungecomment bila kutukana coz na wewe hujui kitu.
Nna rafiki yangu kasoma kilimo na ni mtaalamu wa kilimo na mchapakazi had wakulima walisikitika kuondoka kwake.
Tatizo ni kwamba alienda kusoma form six kwa cheti feki. Alifany vizur form 6 akaenda chuo ch kilimo nako kfanya vizuri.
Lakin had sasa anasubiri hukumu mahakamani n kazi alishafukuzwa.
Cheti feki, je makonda chake ni feki? Au sio chake.!( jina analotumia kazini ni jina halisi kwa elimu halisi)? Tatizo ni jina au elimu?
 
hatusikilizi chochote dhidi ya makonda. sasa hapa kazi tu na wauza unga. wajibu tuhuma na kibao wapo lupango. hawampotezi mtu maboya.
Kwahiyo lile zoezi la kuwakamata watumishi wenye vyeti feki lilikuwa ni kwa ajili yetu sisi walala hoi?
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?

SAMAHANI NAULIZA TU..
Hiviii... ukizungusha 0 Form FOUR je unapata certificate? inayoonyesha umezungusha??
 
Gwajima awe Askofu bandia au vyovyote vile mtakavyo muona Lakini tunahitaji kujuwa u kweli wa hili.
 
Hii vita inaelekea kumgeukia vibaya ndugu mtuhumiwa
CV YA PAUL MAKONDA
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
2. Majina yake halisi ni *Daudi Albert Bushite*
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bushite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.
6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg.Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Mayor Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management &Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokua akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na _carries 3_ ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa _carry over_ na _supplementary_. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community &Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community &Economic Development kwa jina la _Paul C Makonda_badala ya majina yake halisi ya _Daudi A Bushite_
19. Jina Makonda_ analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge_ lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda_baada ya kuapa mahakamani.
20. Ndugu Daudi Albert Bushite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
 
Back
Top Bottom