Leaving certificate ya Daud Bashite itatusaidia kujua kama alipata div.0.CDM hamna akili NECTA hawakupi Cheti ukipata DIV 0 huyo mwehu wenu hicho Cheti chenye Ziro kakitoa wapi
kwani cha ole sendeka watu walikupata wapi
Hahaha, au akanusheLeaving certificate ya Daud Bashite itatusaidia kujua kama alipata div.0.
Material .....yeye Bashite si alimtangaza kwenye vyombo vya habari na yeye kaamua kumuanika kwa style yake.......Gwajima kaamua KU download Bondo...
Matokeo yake yalikuwje?alifaulu au alifeli?Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Baba yako anaitwa nani?Labda tuanzie hapoAcha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Hata Gwajima amesema hivyo hivyo, kwamba baada ya kupata cheti alienda Chuo cha uvuvi kusoma, sasa sijui unataka tujue alifundishwa na babako.Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu





bwaa Daudi BashiteNa gwajima na yeye kasema atamshangaa sana mama ndalichako kama atakaa kimya. Nadhani ujume utakua ushafikaHapa,,Kama MTU hataachishwa kazi ,ntashangaa..ntaomba wote waliofukuzwa kazi kwasababu kama ya chet cha Bashite nch nzima warudi makszini...mi nashangaa sana vilsza wengi walobahatka kpata kszi za kupewa hats kama mapoyoyo..wanachonga sana huona wao ndy wenye mingi akili!!!
Amesema alitumia vyeti vya form4 vya mtu mwengine kujiunga Na chuo. Sio Kama katumia vyeti vya chuo vya mtu mwengine ni vyeti vya sekondari.Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Tatizo ni cheti tatizo ni kuzungusha na kutumia cheti kisicho chako...na kuhudumu kama mkuu wa mkoa..Olesendeka ilikuwa ni matokeo sio Cheti hata Mbowe watu wanajua alipata ziro ila hawasemi wanacheti chake ukipata Ziro hupati Cheti pumbavu zenu
Kma aliye pewa kapewa mbona wanahangaika kutaja wasio na vigezo amq wanafunz nq wafanyakaz hewa....aliyepewa kapewa ndio lakini je kapewa kihalali? Hilo ndo swali.Mtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.