babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
gwajima ni dr. wa nini???
Seems like U akubali alinunua cheti na Kutumia Jina LA Mtu. Swali ni Jee. Why change Names. Kwa Nn asomee jina LA Mwingine?Sijui upumbavu ni tusi,?! Am sorry nimejikuta limenitoka tu juu yako.! Hivi unajua kulikuwa na walimu ambao hata darasani hawajaenda, Ila wanakula mshahara wa gvt kwa jina la mtu? Leo mnataka kufananisha na mtu aliyesoma kwa jina la mtu mwingine, sio kupata kazi.! Je paul hajasoma? Hajapata elimu? Kama amesoma tuhuma zenu ni nini?
Yaani wewe ndiyo umejiunga jf jana ili umtetee Bashite?Mtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.
Yaani wewe ndiyo umejiunga jf jana ili umtetee Bashite?Mtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.
CV YA PAUL MAKONDA
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
2. Majina yake halisi ni *Daudi Albert Bushite*
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bushite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.
6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg.Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Mayor Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management &Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokua akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na _carries 3_ ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa _carry over_ na _supplementary_. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community &Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community &Economic Development kwa jina la _Paul C Makonda_badala ya majina yake halisi ya _Daudi A Bushite_
19. Jina Makonda_ analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge_ lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda_baada ya kuapa mahakamani.
20. Ndugu Daudi Albert Bushite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
Viongozi wa Dini hawatakiwi kuwa wanafiki,unafiki wao ndio umetufikisha kuficha ficha mambo ambayo hayastahili kufichwa hata kidogo,hebu tazama wale wanafiki wa bakwata waislamu wenzangu wanavyomkufuru M/Mungu kwa kumtetea mtu mchafu kisa kimsikiti cha GSM, Gwajima Msafi yeye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.....Go Dr. G go Baba maana watumishi tulinyanyasika sana kwa uhakiki usiokwisha,sasa namtaka mheshimiwa atoke hadharani atangaze ule uhakiki wa miezi mi 2 umekwisha tayariHoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic

Njia aliyotumia Bashite kujua kuwa Gwajima anatumia dawa za kulevyaYeye alivitoa wapi?
Issue sio kapata zero tu, bali vyeti halali vya makonda viko wapi?Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Hata sasa zero hupati chetiTokea lini div 0, akapewa certificate? Miaka hiyo anasoma Makonda mtu alipata div 0, kulikuwa hakuna cheti
huyo wala c ccmAcha upuuzi wako nyie ndio nambari one wa kutetea maovu?hivi leo gii unataka kusahau operation ambayo inasababisha maelfu ya watu kutoajitiwa?kuhakiki vyeti
Kwani unga umeanza kuingia Bongo juzi ?Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Si unaona jamaa anashinda kwa viongozi wa dini anaombewa?Hii inaitwa “Kill Or Be Killed"....shida ya michezo mibaya ukiishamkosea step adui yako kidogo tu naye akapata chance yakukuchapa hutokaa uamini kitakachokutokea na ndo kinachomtokea Bashite.kama kweli Gwajima kayasema haya lazima atakuwa na hard evidence maana ni jambo zito.
Amtukane na Gwajima halafu aone kitakachompata jumapili ijayo katika kanisa la ufufuo na uzima.Gwajima ni tabibu wa waropokajiMuulize Mhariri wa gazeti la Manji alipouliza kuhusu vyeti,aliyakoga matusi hahahahaa yule kiumbe ni mshenzi sana
Dawa ya moto ni moto tuHoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic