Mchungaji Getrude Rwakatare amrithi marehemu Salome Mbatia

Mtu

JF-Expert Member
Feb 10, 2007
471
195
Sasa sijui uchungaji atauacha? maana uchungaji ni kazi ya ki utume!

I am confused!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Duh,Kudadadeki walah......C C M Juuuuu.
Usanii juu ya usanii,sidhani kama ataachia sadaka za kanisani atakula kote kote...atakuwa mzee wa kanisa ikishindikana kabisa
 
Mtu

JF-Expert Member
Feb 10, 2007
471
195
Huyu mama mafaili yake ya jinsi alivyopata zile pesa basi itabidi hii thread ihamishwe au itafungwa kwani tutambiwa kuwa tunaingilia PRIVATE LIFE yake ndio maana kama mna moyo basi tusubiri aapishwe kisha hapo ndio tutafungua Pandoras box
Imetulia.....suala la private life huwa silielewi elewi.....mbona Mitume wanaonegelewa ije kuwa hawa watawala.....
 
Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,670
2,000
Duh,Kudadadeki walah......C C M Juuuuu.
Usanii juu ya usanii,sidhani kama ataachia sadaka za kanisani atakula kote kote...atakuwa mzee wa kanisa ikishindikana kabisa

we mtu wewe
amini amini nakuambia kwamba ataacha sadaka maana hizo sandakalawe atakazozipata huko ktk mabaraza ya kifisadi zitazidi sadaka... yangu macho
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Nakuunga mkono Mwa-wa-kike
Tena imesemwa kwamba msifungwe nira na wasioamini, tokeni mkajitenge nao. Mnakumbuka kifo cha Yohana Mbatizaji?? Ni kwa kuwa alisimamia kweli dhidi ya mtawala, ja mama huyu alishawahi kusema ukweli wowote au kuusimamia?? i mean sijamsikia akikemea rushwa wala ufisadi, sana sana anahubiri kuhusu maisha bora na namna ufahari bila kuangalia upande wa pili. Ahubiri kuhusu kuchuma mali kwa hila wala nini....
Ooops nisije nikadhibitiwa bureee.. acha nifunge bakuli langu maana nikisema sana nitaambiwa naingilia praiveti za watu.

Ila mjue kuwa watu wengine wanatumia dini kama kichaka cha hulka na matamanio yao. Ili uwe mtu wa Mungu ni lazma uikane nafsi yako na uuze vyote ulivyo navyo kisha umfuate mungu.

eeeh mbona sinyamazi tuu...?

Pia angalieni sana siku za mwishi watatokea manabii wengi wa uongo wakisema Kristo yupo huku na watatokea hata makristo wengi ila msiwaamini maana yaacheni magugu na ngano vikue pamoja na mwisho magugu yatang'olewa na kutupwa motoni katika lile ziwa liwakalo moto wa kiberiti usiozimika....

Nikiendelea kusema najiua....

Afadhali umenyamaza maana nilikuwa nimeanza kushangaaa kwi kwi kwi kwi.

Nina uhakika huyo aliyeanzisha issue ya yesu hapo hakujua anachofanya au ameamua tu kufanya uchokozi wa ajabu.
 
Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
321
225
Nchi hii inahitaji uwepo wa Mungu ktk kuendelea kwake tatizo kubwa hata watu Mungu wamekwisha kupotea ndiyo maana inatia wasiwasi pale mtu wa Mungu anapopewa madaraka. Lakini kusema na ukweli nchi hii itanusuriwa na viongozi waadilifu wampendao Mungu na Kumwogopa. Kama baadhi ya viongozi wa dini wangekuwa hawaendi ovyo uteuzi huu wa Rwakatare ungekuwa ni furaha na faraja kwa Watanzania. Tungefurahi lakini sasa ni kitendawili. Mwenye kukitegua ni yeye Rwakatare namna atakavokuwa Bungeni na uwajibikaji wake.
 
Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
985
1,250
Huyu mama mafaili yake ya jinsi alivyopata zile pesa basi itabidi hii thread ihamishwe au itafungwa kwani tutambiwa kuwa tunaingilia PRIVATE LIFE yake ndio maana kama mna moyo basi tusubiri aapishwe kisha hapo ndio tutafungua Pandoras box

Sina haja ya kusema mengi sana lakini naweza kusema kuwa si kweli alianzia kwenye BIMBWI bali huyu yeye aliwahi tuu na mamabo yake ya NGO in 1989-1990 ambako alikuwa kipewa mitumba na makanisa ya wainjilisti like CHICAGO, USA.

Na katika kipindi hicho hico aliachana na MUMEWE ambaye kwa kweli alikuwa ni mzinzi tuuu(hilo simtetei yule mzee) lakini huyu mama kitu kilichomuinua ni GENOCIDE IN RWANDA na hapa ndipo itabidi tuingie deep na uhusiano wake na MOSHI MAJUNGU,ZILE INTL SCHOOLS ZAKE,dereva wake etc

kuna mengi sana ya kusema hapa na kama sikosei MWANAKIJIJI anamjua sana huyu mama ila najua kuwa hii ES atakuwa hana data nayo

Tusubiri aapishwe kisha ndio tutaanza kumchambua huyu Mchungaji turned Mwanasiasa

GT,
You are right on point. Umegusia baadhi ya njia alizochukua huyu mama kufika alipofika. Actually hiyo issue ya mitumba kutoka Chicago, ilianzia mwaka ule yalipotokea yale mafuriko ya Tanga. Hao wainjilisti wa chicago walituma kontena la nguo kwa mama huyo kwa ajili ya kutoa msaada kwa walioathirika na hayo mafuriko. Guess yule mama alifanya nini na kontena hilo.....
 
Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,738
1,225
My immediate concern is obviously about the implications on separation of church and state....

BUT

Kila mtu ana haki ya kuchangia katika nafasi za kisiasa.Kama Askofu Desmond Tutu angesema mimi mchungaji sishiriki siasa maendeleo ya upinzani dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini yangedhoofu sana.

Mkumbuke hata James Earl Carter alikuwa rais wa Marekani akiwa mchungaji.Balozi Richard Stith alikuwa balozi wa Marekani Tanzania akiwa mchungaji, Dalai Lama ni kiongozi wa kidini lakini anashiriki katika active politics za Tibet kupinga utawala wa China.

Swala la kuruhusu viongozi wa kidini kushiriki katika siasa liachiwe makundi yenyewe ya kidini yaamue.mashahidi wa Yehova hawaamini katika mfumo wa siasa wa dunia hii na sio tu hawaruhusu viongozi wao kushiriki katika siasa, bali hata waumini hawaruhusiwi kupiga kura, it works for them. Sasa kama huyu mama anatoka katika dini isiyoruhusu kushiriki siasa, that becomes an issue.
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
GT,
You are right on point. Umegusia baadhi ya njia alizochukua huyu mama kufika alipofika. Actually hiyo issue ya mitumba kutoka Chicago, ilianzia mwaka ule yalipotokea yale mafuriko ya Tanga. Hao wainjilisti wa chicago walituma kontena la nguo kwa mama huyo kwa ajili ya kutoa msaada kwa walioathirika na hayo mafuriko. Guess yule mama alifanya nini na kontena hilo.....

Nakumbuka mwaka 1992 gazeti la BUSINESS TIMES (enzi hizo lilikuwa refu kama mzalendo) lilitoa mlolongo wa tuhuma dhidi ya huyo mama na ile kesi yake na Mumewe.

Unajua pamoja na fitna zote hizo huyu mama mimi kwangu ni true definition of a HUSTLER...na kama nilivyosema hapo awali ile vita ya RWANDA ilimsaidia kwa kiasi kikubwa kwani aliwatumia vilivyo wale wakimbizi aliowajaza kwa MOSHI MAJUNGU... na wazungu wa CHICAGO lile liliwagusa mno na ukizingatia wengi wa wale wakimbizi walikuwa ni wakatoliki lakini huyu mama yeye hakujali na along the way wale ma evangelists toka CHICAGO waliona why not give her more money...na of course na yeye hapo akajipanga vizuri na zile TAX EXEMPTIONS alizokuwa akipata achilia mbali ukaribu wake na LUHIGO pale bandari ya Dar ambako of course alipewa misamaha ya kila namna

LEO ameingia kwenye Properties,dini, shule ya ST MARYS zinafanya vizuri tuu.

Sasa sijui nani kamwambia aingie kwenye siasa na namwonea huruma jinsi atakavyo vurumishiwa matusi na kashfa za kila namna...na kwa bahati mbaya huyu mama fitna anazozijua yeye ni za kuwapata hao wazungu lakini fitna za majukwaa kujibizana na akina CUF na CHADEMA sijui kama ataziweza

The bottom line siasa ni mchezo mchafu na rafu kwenye siasa ni norm sasa sijui kama atalast huyu na sijui kawapa CCM kiasi gani lakini hayo yote yatasemwa na wale aliogombona nao siju za nyuma ambao watataka kutumia nafasi yake ya kisiasa kulipiza

Kitu kingine ni wale watoto wake ambao wawili wana criminal recods sasa sijui atawaambia nini watu kuhusu maadili wakati yeye na dini yake kashindwa kuwafundisha maadili wanae. Lakini the bottom line kama pesa anazo na NGO zake zinawanufaisha WATANZANIA hiyo kwangu ni big PLUS sema asianze matusi tuu
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,697
2,000
Biblia Inasema Yesu Akuja Kukomboa Waliokwishakombolewa Amekuja Kukomboa Wale Wenye Dhambi Jamani,,,mungu Ana Makusuddi Kumchagua Mama Kuwa Mbunge Labda Karamagi Na Wenzie Watauza Malizao Na Kugawia Maskini Wakikiri Walizipata Si Kialalina Tena Hata Kutaja Njia Walizotumia ,,tukisema Waache Wafu Wazike Wafu Wao,,je Hawa Watakombolewa Na Nani,,

" Kwa Maana Wote Wamefanya Dhambi Na Kupungukiwa Na Utukufu Wa Mungu
 
Pedro

Senior Member
Nov 17, 2006
114
0
Kama Angekuwa Anaacha Uchungaji, Basi Angeshafanya Hivyo Zamani Wakati Anagombea Kiti Hicho Kupitia Viti Maalum, Ambapo Sasa Kakilamba Bwererere..cheche..
Dini Ni Deal, Mishule Na Miradi Mingi Ya Huyu Mama Inatisha Kuamini Kuwa Ni Muumini Wa Mungu, Na Kama Ni Hivyo Kwenye Siasa Anatafuta Nini????? Watanzania Tunaatiwa Pilipili Mdomoni Na Tunalazimishwa Kuila Wakati Tuna Uhuru Wa Kukataa Kuila Kwani Tunajua Wazi Kwamba Ni Chungu.

Nshomile sikulaumu wewe hata kidogo, ila viongozi wetu wametuonyesha watanzania wote kwamba siasa ni kitu mbaya sana na watu tumeamini hivyo. Kimsingi siasa ni chombo cha kuwasaidia walalahoi na wananchi wote kwa ujumla, elimu, shule siasa n.k ni vyombo halali sana vinavyotakiwa kutumika kusaidia wananchi, kama mtu anaamini vinginevyo basi ni experience tu waliyotuonyesha wanasiasa wetu na wenye shule ambao wameitumia kutukandamiza na kutufanya tuamini kwamba siasa ni kitu mbaya na kama mutu anapenda Mungu, dini na watu basi asiingie kabisa kwenye siasa.

Jamani wapenda watu na wadini wenye maadili wakati ni huu, ingieni kwenye siasa muonyeshe mfano tofauti na wanasiasa wetu mtusaidie jamani.
 
Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
985
1,250

Nakumbuka mwaka 1992 gazeti la BUSINESS TIMES (enzi hizo lilikuwa refu kama mzalendo) lilitoa mlolongo wa tuhuma dhidi ya huyo mama na ile kesi yake na Mumewe.

Unajua pamoja na fitna zote hizo huyu mama mimi kwangu ni true definition of a HUSTLER...na kama nilivyosema hapo awali ile vita ya RWANDA ilimsaidia kwa kiasi kikubwa kwani aliwatumia vilivyo wale wakimbizi aliowajaza kwa MOSHI MAJUNGU... na wazungu wa CHICAGO lile liliwagusa mno na ukizingatia wengi wa wale wakimbizi walikuwa ni wakatoliki lakini huyu mama yeye hakujali na along the way wale ma evangelists toka CHICAGO waliona why not give her more money...na of course na yeye hapo akajipanga vizuri na zile TAX EXEMPTIONS alizokuwa akipata achilia mbali ukaribu wake na LUHIGO pale bandari ya Dar ambako of course alipewa misamaha ya kila namna

LEO ameingia kwenye Properties,dini, shule ya ST MARYS zinafanya vizuri tuu.

Sasa sijui nani kamwambia aingie kwenye siasa na namwonea huruma jinsi atakavyo vurumishiwa matusi na kashfa za kila namna...na kwa bahati mbaya huyu mama fitna anazozijua yeye ni za kuwapata hao wazungu lakini fitna za majukwaa kujibizana na akina CUF na CHADEMA sijui kama ataziweza

The bottom line siasa ni mchezo mchafu na rafu kwenye siasa ni norm sasa sijui kama atalast huyu na sijui kawapa CCM kiasi gani lakini hayo yote yatasemwa na wale aliogombona nao siju za nyuma ambao watataka kutumia nafasi yake ya kisiasa kulipiza

Kitu kingine ni wale watoto wake ambao wawili wana criminal recods sasa sijui atawaambia nini watu kuhusu maadili wakati yeye na dini yake kashindwa kuwafundisha maadili wanae. Lakini the bottom line kama pesa anazo na NGO zake zinawanufaisha WATANZANIA hiyo kwangu ni big PLUS sema asianze matusi tuu

Ha ha ha umenikumbusha ghorofa la kwa majungu. Pale ndipo palikuwa kijiwe changu pale.

Anyway, unajua huyu mama alisota ile mbaya kabla hajafika alipofika. Aliteswa sana na mume wake mpaka akaamua kufungasha virago na kuhamia pale flat za Ilala. Pale Ilala alikuwa anaishi kwenye 1 bedroom apartment na watoto wake 4, ambao 3 kati yao ni wanaume. Alijuana na hao wainjilisti wa Chicago baada ya kwenda kusomea mambo ya uchungaji (sina uhakika) huko.

Sikumbuki kuandikwa na kwenye Business Times, lakini nakumbuka alishawahi kuandikwa kwenye Family Mirror na mhariri mmoja wa kizungu (Mama Tarimo)ambaye alikuwa anaishi jirani yake kule Mikocheni. Na issue iliyoandikwa kwenye hilo gazeti ilikuwa ni ile ya kontena la mitumba aliloliingiza nchini kwa ajili ya walio athirika na mafuriko ya Tanga.

Kuhusu wakimbizi wa Rwanda, ni kweli wale ndio waliompa breakthru. Alifanikiwa kuwashawishi baadhi ya Wanyarwanda wale kusali katika kanisa lake wakati huo lilikuwa linaendeshwa katika madarasa ya shule ya Ushindi, Mikocheni. Hapo ndipo wazungu wake waakanza kumwaga misaada. Wale wazungu walikuwa wanatuma kuanzia pesa, nguo, mpaka madawa. Speaking of madawa, guess yule mama alifanya nini na kontena za madawa?....Hint: Alifungua pharmacy yake pale kinondoni. You can guess the rest....

Wakati huo wa makontena ya madawa, kulikuwa na tetesi kwamba alikuwa anashirikiana na drug dealers wa kibongo kupenyesha madawa ya kulevya. Kuna dealer mmoja, ambaye alikuwa ni raia wa nchi mmoja West Africa (siikumbuki) alikuwa anaishi pale pale mikocheni. Na ilikuwa inasememkana kwamba yule dealer alikuwa anapenyeza mizigo yake ndani ya zile kontena. Na kwa sababu zile kontena zilikuwa zinaingizwa kupitia umbrela ya udini na kwa misaada ya wakimbizi, basi yalikuwa hayakaguliwi. Na kumbuka kipindi hicho tulikuwa na Bw. Rukhusa as our Head of State, plus MD wa bandarini alikuwa utahadhi Mzee Athumani Janguo. Hebu niambie mzigo gani ambao umgekumbwa na bughudha za kukaguliwa kama mwenye mzigo hataki uguswe?

Ile St. Mary alifungua na Filbert Bayi. Lakini down in the road, waligongana, basi yule mama akaamua kununua share zote za F. Bayi. Hapo ndipo F. Bayi akaenda kufungua shule yake. All in all, ni kweli kwamba ile shule inafanya vizuri as english medium school. But that's about it. Bado ina struggle ku fit in na curriculum ya standard education ya Tanzania. Watoto wengi wanaomaliza pale huwa hawana elimu ya kutosha (according to Tz curriculum) ku-tackle National Examination. Of course, hii issue inahusu shule zote zinazo claim International school titles. And this is a whole another topic.

I'm not gonna get into details about watoto wake na uchungaji wake. kifupi ni kwamba, kama kuna kitu ame fail basi ni ulezi. Kati ya watoto 4, 1 tu ndio afadhali. Na hiyo afadhali yake ni kasheshe.

Anwyay, kama ulivyosema GT, huyu mama ni true hustler. Siku zote huwa ninasema, kati ya mama wajanja Tz, huyu mama ni #1...yuko chini sana #2 au 3. Ni mmoja wa wabongo walichuma juani na kula kuvulini kisawasawa. Kwa bahati mbaya michezo michafu mingi imekuwa involved in the process. But that's what Tanzania ilivyokuwa na ilivyo hivi sasa, who can blame her?? Hopefully, tunakokwenda ni kuzuri.
 
Pedro

Senior Member
Nov 17, 2006
114
0
Mshindwe Kwajina La Yesu Jamani Biblia Inasema Pamoja Na Kuwaita Mafisisadi Bado Tuheshimu Mmamlaka Ya Nchi,,sasa Kama Mungu Amemteua Mama Rwakatare Kwa Ajili Yenu Basi Naomba Tumheshimu Kama Biblia Isemavyo Ndio Hivyo Ashashika Mamlaka Tena

Yaani mtu kuteuliwa na CCM ndio imekuwa uteuzi wa Mungu?
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Ha ha ha umenikumbusha ghorofa la kwa majungu. Pale ndipo palikuwa kijiwe changu pale.

Anyway, unajua huyu mama alisota ile mbaya kabla hajafika alipofika. Aliteswa sana na mume wake mpaka akaamua kufungasha virago na kuhamia pale flat za Ilala. Pale Ilala alikuwa anaishi kwenye 1 bedroom apartment na watoto wake 4, ambao 3 kati yao ni wanaume. Alijuana na hao wainjilisti wa Chicago baada ya kwenda kusomea mambo ya uchungaji (sina uhakika) huko.

Sikumbuki kuandikwa na kwenye Business Times, lakini nakumbuka alishawahi kuandikwa kwenye Family Mirror na mhariri mmoja wa kizungu (Mama Tarimo)ambaye alikuwa anaishi jirani yake kule Mikocheni. Na issue iliyoandikwa kwenye hilo gazeti ilikuwa ni ile ya kontena la mitumba aliloliingiza nchini kwa ajili ya walio athirika na mafuriko ya Tanga.

Kuhusu wakimbizi wa Rwanda, ni kweli wale ndio waliompa breakthru. Alifanikiwa kuwashawishi baadhi ya Wanyarwanda wale kusali katika kanisa lake wakati huo lilikuwa linaendeshwa katika madarasa ya shule ya Ushindi, Mikocheni. Hapo ndipo wazungu wake waakanza kumwaga misaada. Wale wazungu walikuwa wanatuma kuanzia pesa, nguo, mpaka madawa. Speaking of madawa, guess yule mama alifanya nini na kontena za madawa?....Hint: Alifungua pharmacy yake pale kinondoni. You can guess the rest....

Wakati huo wa makontena ya madawa, kulikuwa na tetesi kwamba alikuwa anashirikiana na drug dealers wa kibongo kupenyesha madawa ya kulevya. Kuna dealer mmoja, ambaye alikuwa ni raia wa nchi mmoja West Africa (siikumbuki) alikuwa anaishi pale pale mikocheni. Na ilikuwa inasememkana kwamba yule dealer alikuwa anapenyeza mizigo yake ndani ya zile kontena. Na kwa sababu zile kontena zilikuwa zinaingizwa kupitia umbrela ya udini na kwa misaada ya wakimbizi, basi yalikuwa hayakaguliwi. Na kumbuka kipindi hicho tulikuwa na Bw. Rukhusa as our Head of State, plus MD wa bandarini alikuwa utahadhi Mzee Athumani Janguo. Hebu niambie mzigo gani ambao umgekumbwa na bughudha za kukaguliwa kama mwenye mzigo hataki uguswe?

Ile St. Mary alifungua na Filbert Bayi. Lakini down in the road, waligongana, basi yule mama akaamua kununua share zote za F. Bayi. Hapo ndipo F. Bayi akaenda kufungua shule yake. All in all, ni kweli kwamba ile shule inafanya vizuri as english medium school. But that's about it. Bado ina struggle ku fit in na curriculum ya standard education ya Tanzania. Watoto wengi wanaomaliza pale huwa hawana elimu ya kutosha (according to Tz curriculum) ku-tackle National Examination. Of course, hii issue inahusu shule zote zinazo claim International school titles. And this is a whole another topic.

I'm not gonna get into details about watoto wake na uchungaji wake. kifupi ni kwamba, kama kuna kitu ame fail basi ni ulezi. Kati ya watoto 4, 1 tu ndio afadhali. Na hiyo afadhali yake ni kasheshe.

Anwyay, kama ulivyosema GT, huyu mama ni true hustler. Siku zote huwa ninasema, kati ya mama wajanja Tz, huyu mama ni #1...yuko chini sana #2 au 3. Ni mmoja wa wabongo walichuma juani na kula kuvulini kisawasawa. Kwa bahati mbaya michezo michafu mingi imekuwa involved in the process. But that's what Tanzania ilivyokuwa na ilivyo hivi sasa, who can blame her?? Hopefully, tunakokwenda ni kuzuri.

WATU WA MIKOCHENI B UTAWAJUA TUUU

EBWAN I WAS WRONG NI FAMILY MIROR NDIOLO WALIO MWANDIKA NA YULE MAMA YAO AKINA NOELI NA NEEMA NAMKUMBUKA YULE...MWINGEREZA YULE

EBWANA INAWEZEKANA IKAWA TUNAJUANA

hivi unamkumbuka MUDI PANKI, JF NA KELENGE? EBWANA UNAJUA KAMA DARUSI KAWA GAY? HALAFU UNAMKUMBUKA YULE LINA HALF KASTI WA KINGUNGU NA KICHAGA WALIKUWA WANAISHI PALE PEMBENI YA LILE TITANIC AU JUMBA LA MOSHI MAJUNGU?

Ebwana huyo drug dealer alikuwa anaitwa MAMADOU ni msenegali na alikuwa anaishi huku mwanzo karibu na nyumba ya AL DEEN yaani nazungumzia kule karibu na gorofa la MAJANI YA CHAI na baada ya pale alihamia kule maeneo ya BEVERLY HILLS 9jirani na akina mwanamboka na si mbali sana na blue Palms kule kwa neyeye...sie kule tulikuwa tunakuita maji machafu japo wenyewe( akina JUDY MDOPE) walikuwa wanapaita Beverly hills

Ndio JANGUA laikuwa anajiona anakula kule Bandarini lakini mjanja wake yule mama alikuwa ni LUHIGO ambaye of course ni kabila lake.

Kuhu watoto ni kweli mtoto wake wa mwisho huyo mama MUTA naona huo mpira uilimshinda huko USA apo alipata scholarship lakini si unajua mpira unamasharti yake na mojawapo ni KUTOKUVUTA GANJA 24/7

Mwingine nni Humphrey ambaye of course naye inasemenakana alipigwa Bomba baada ya kushindikana na kuanza kumpa ma presha mama wawatu..inshort HUMPHREY amekuwa JUNKI au waswahili wanasema TEJA MDONDO! na kumrudisha bongo hakujasaidia kitu

Mwingine anaitwa TIBE huyu alioa huko USA akazaa na demu la kinyamwezi kama unategemea huyu atakuwa katulia then ujue kuwa ni mgonjwa wa maradhi ya vijana wengi wa kibongo na pili anataka kupgrade naye atoke at par na marafiki wake wapya akina Kinje lakini kama ujuavyo akina Kinje ni OLD MONEY sasa inakuwa ngumu kwa TIBE kufit in

Mtoto wake mwingine huyo mama na ni forst born wake anaitwa ROSE...huyu Rose bwana faili lake hatuwezi kulimaliza lakini naweza kuadmit kuwa nilikuwa nina crasha naye enzi hizo alipokuwa anafanana na FAITH EVANS lakini sasa hizi amekuwa throwback b if you know what i mean

Sasa simlaumu sana huyu mama kwa kushindwa kuwapa maadili watoto lakini vile vile usisahau kuwa yanayomkuta mama RWAKATARE ni mambo ambayo yanaweza kumkuta mzazi yoyote ile...we are not perfect lakini yeye alikuwa anayo dini na cha ajabu kuwa hata dini nayo0 haikusaidia kitu..i cant waif for her public lecture huyu mama unless akeep low profile
 
Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
985
1,250

WATU WA MIKOCHENI B UTAWAJUA TUUU

EBWANA INAWEZEKANA IKAWA TUNAJUANA

hivi unamkumbuka MUDI PANKI, JF NA KELENGE? EBWANA UNAJUA KAMA DARUSI KAWA GAY? HALAFU UNAMKUMBUKA YULE LINA HALF KASTI WA KINGUNGU NA KICHAGA WALIKUWA WANAISHI PALE PEMBENI YA LILE TITANIC AU JUMBA LA MOSHI MAJUNGU?

Du! sasa nimejua kweli wewe ni mzee wa business na kontena ya kwa Makata for real. Lile ghorofa la kwa Majungu ilikuwa noma. We acha tu! Hivi unajua kuwa business siku hizi ni showroom ya magari?

Nina uhakika tunajuana. Lakini ni bora tubakie nyuma ya computer hivi hivi. Kwa sababu usije ukakuta wewe ndiye yule uliyenipora mpenzi wangu Mwanahamisi wakati ule. Kwa hiyo naogopa nisije nikapandisha hasira na kuanza kufurumusha lugha isiyokubalika kwenye forum yetu "Tukufu."

Anyway, hao washikaji wote uliwataja nimeonana nao miezi michache iliyopita nilipokwenda bongo. Nimejionea vitimbwi vya Darusi kwa macho yangu mwenyewe. Kwa kweli tumempoteza kijana wetu.

Sasa kuhusu huyu mama, hakika uteuzi wake unakamilisha ile doubt aliyoitoa mzee..... (nimesahau jina) kwamba "isije ikafika wakati CCM ikatangaza tenda za uongozi." Kwa kifupi, huyu mama hastahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi. Hana maadili ya uongozi bora hata chembe, let alone experience za uongozi. Amefanya madhambi mengi ya kuhujumu uchumi, sambamba na uchungaji wake. Hakika huo uteuzi wa ubunge amepata baada ya kushinda hiyo "tenda" iliyotangazwa ndani ya CCM.
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Ebwana wee kweli quick mover....talk about MWANAKHAMISI nilisikia MUDI PANKI aliamua kuchukua jumla jumla wakati JULIE MZUNGU kaka yake LINA mzungu pale jirani na kwa majungu ndio hivyo tena...hivi bado wanaendelea kufuga nguruwe pale? Omari sico nasikia yuko unyamwezini wakati pale kwa akina MTWATA nasikia kumekuwa baaa....chili makubeli naye nasikia yuko London na mfaume kimario nasikia naye yuko Unyamwezini...unajua lile gorofa la kwa majungu lilikuwa linaitwa TITANIC kama lile gorofa la Mtikila kule karibu na shule ya Ushindi

Hilo la darusi kuwa GHAY au GAY bado nashindwa kuswallow maana maishani kwangu sijawahi kuona kijana wa kichagga ambaye kawa shoga na kwa kweli hata sijui lawama apewe nani...haya vipi akina CLAIRE na SHUBIRA wale watoto wa pilot jirani na kwa akina Darusi wapo? Unamkumbuka HAMIDU MACHUPA mdogo wake OSCAR? ebwana jamaa nilikutana naye Brazil japo watu Bongo wanajua yuko South Africa...na sikuhizi anaitwa DLAMINI! je unamkumbuka Abdallah Mwenda?

Back to topic:

Mbona hujaleta za akina Humphrey na Tibe? vipi ulionana na
Rose? mwanzo nilisema kuwa alikuwa anafanana na Faith Evans nilikosea...actually Rose alikuwa anafanana na Tisha Campbell wa kwenye ile comedy ya Martin
 
Naona umekuwa so excited mpaka umesahau mada inahusu nini. Ninajua current status ya watu wote uliowataja. Kama nilivyosema nilikuwa bongo miezi michache iliyopita. Kwa hiyo nimeonana na almost watu wote uliowataja. Lakini naomba tusiharibu mada, tuwasiliane kwenye PM kwa story zaidi za "mtaani."

Nimeziruka story za watoto wa mama Rwakatare kwa makusudi. Ukweli ni kwamba najua old na current stories/status za watoto wote. Ila sidhani kama kuna umuhimu wowote wa kuwazungumzia kwenye hii mada. Mada ni mama Rwakatare na kuteuliwa kwake kuwa mbunge. Itakuwa hatuwatendei haki wanawe kwa kuwazungumzia kwenye hii mada. Nafikiri umenielewa. Ila kama una insist, basi tuwasiliane kwenye PM.
 
Dotori

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
545
0
Politicians are shedding crocodile tears kuhusiana na matatizo ya wananchi, but in real sense they care less. They after power and more power. Nchi itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno.
 
Pundamilia07

JF-Expert Member
Oct 29, 2007
1,439
1,225
Ni watu wachache wanaoweza ku-appreciate jitihada na mafanikio ya Mch. Dkt. Lwakatare. Mimi nikiwa kama mtanzania ninampongeza sana Mch. Dkt Lwakatare kwa kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum. Mwenyezi Mungu azidi kumbariki na kumwongezea moyo wa upendo.
Wapo wengi waliokuwa na pesa zao wakaamua kufanya biashara mbalimbali, lakini Mch. aliamua awekeze katika elimu, tena elimu ya watoto ambayo ndiyo urithi mkubwa kuliko urithi mwingine wowote.
Kwa jitihada zake, ana hudumia watoto yatima wapatao 2000 (naweza kusahihishwa) kuanzia malazi, mavazi, chakula na elimu. Wapo wengi wenye nafasi zao lakini hawajaweza hata kupita mahali kuwaombea msaada japo mtoto yatima mmoja.
Kwa vile hapa JF tunadhani kuongea ni rahisi, lakini tunasahau kwamba mwenye maneno mengi si mtendaji.
Kabla hujamsakama Mchungaji, jiulize, je wewe nafasi yako ni ipi katika jamii na umeifanyia nini jamii hiyo.
Kwa mara nyingine, nakutakia kila la heri Mchungaji Dkt Lwakatare.
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,533
2,000
GT,
. Mada ni mama Rwakatare na kuteuliwa kwake kuwa mbunge. Itakuwa hatuwatendei haki wanawe kwa kuwazungumzia kwenye hii mada. Nafikiri umenielewa. Ila kama una insist, basi tuwasiliane kwenye PM.

QM.

Una HEKIMA!!
 
Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,814
2,000
Ni watu wachache wanaoweza ku-appreciate jitihada na mafanikio ya Mch. Dkt. Lwakatare. Mimi nikiwa kama mtanzania ninampongeza sana Mch. Dkt Lwakatare kwa kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum. Mwenyezi Mungu azidi kumbariki na kumwongezea moyo wa upendo.
Wapo wengi waliokuwa na pesa zao wakaamua kufanya biashara mbalimbali, lakini Mch. aliamua awekeze katika elimu, tena elimu ya watoto ambayo ndiyo urithi mkubwa kuliko urithi mwingine wowote.
Kwa jitihada zake, ana hudumia watoto yatima wapatao 2000 (naweza kusahihishwa) kuanzia malazi, mavazi, chakula na elimu. Wapo wengi wenye nafasi zao lakini hawajaweza hata kupita mahali kuwaombea msaada japo mtoto yatima mmoja.
Kwa vile hapa JF tunadhani kuongea ni rahisi, lakini tunasahau kwamba mwenye maneno mengi si mtendaji.
Kabla hujamsakama Mchungaji, jiulize, je wewe nafasi yako ni ipi katika jamii na umeifanyia nini jamii hiyo.
Kwa mara nyingine, nakutakia kila la heri Mchungaji Dkt Lwakatare.

Mkuu Pundamilia07,

Nakuunga mikono na miguu, hapa JF, we are champions of talking the talk but when are we going to start walking the walk? She may not be an angel but at least she has done something good for her motherland.

Mama Rwekatare mimi nakupalilia kwenye hizo shule. Kama Wakenya na Waganda wanaweza kwanini sisi tushindwe? Hata kama walimu ni wageni, lakini wanaosoma si ni watoto wetu? Tujitahidi na sisi tuwe na sifa zinazotakiwa ili tupate kazi kwenye hizo shule.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom