Mchungaji Getrude Rwakatare amrithi marehemu Salome Mbatia

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,136
1,500
Jamani kwa sasa anajirusha na yule aliyekuwa mwenye Silent Club pale Mwenge ambaye pia ni muumini mmojawapo wa kanisa lake!

..halafu anawaambia nini waumini wake kuhusu ndoa na uesharati kabla ya ndoa? na ni Dr wa wapi huyu? kasoma wapi na lini?
 

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,061
2,000
..halafu anawaambia nini waumini wake kuhusu ndoa na uesharati kabla ya ndoa? na ni Dr wa wapi huyu? kasoma wapi na lini?

Koba,

Yule wa Silent Inn sii aliokoka na akafunga Club? Kama wanajirusha- je walifunga ndoa? Hii ndoa sijausikia- ila sii rahisi Mchungaji Mlokole kuwa na hawara nje ya ndoa!
 

Rwabugiri

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
2,776
1,195
..halafu anawaambia nini waumini wake kuhusu ndoa na uesharati kabla ya ndoa? na ni Dr wa wapi huyu? kasoma wapi na lini?

udaktari wa kupewa tu, yaani sipendi basi tu, wengine wawanyonyoa nywele, wengine wapewa ka peremende!!
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Koba,

Yule wa Silent Inn sii aliokoka na akafunga Club? Kama wanajirusha- je walifunga ndoa? Hii ndoa sijausikia- ila sii rahisi Mchungaji Mlokole kuwa na hawara nje ya ndoa!

Mwanae HUMPHREY kawa teja mdondo..yaani mdondo huwa unamtoka akishapona cocaine au crack...in short jamaa ni kama yale ma teja kwenye THE WIRE

Mwanae TIBE anataka kuwa kama KINJE

Mwanae ROSE amegeuka kuwa VENESSA BLUE


Mwanae MUTA ni kipenzi kikubwa cha GRASS au MARY JANE au WEED


sasa hebu niambie nyuma yake imeporomoka namna ile sasa what do you expect kwa huyu mama?

Je wasio walokole watapewa equal time kwake au ndio ataanza kuwabagua wasio walokole?
 

Nungwi

Senior Member
Sep 9, 2006
196
0
Udaktari wake wa kununua kama kina Fikiraduni na kundi lao la Udsm wakiongozwa na Chijoriga, Baisi nk. madokta feki.

huyu mama ananuka huko bungeni kuna kazi kubwa.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,874
2,000
Duh!!! Nungwi sasa hii kali . Maana nyie wazanaki bwana mnamwaga tu ila Mzanaki mwenzenu Mukono yuko kama nini sijui .
 

Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,398
1,250
Tamaa ya power ? Hapana she has one them for a very long time . Kanisa na uchungaji ni cover up na wote tunajua . Biashara za mashule ni zake kwa kutumiwa na wakubwa nandiyo leo wanaona ainghie kundini rasmi . Mwisho wake utakuja CCM watakapo mfukuza tena Zitto na yeye kusimama pale kwenye mimbari waumini watamuuliza na ndipo kanisa lake utaona lilikuwa na malengo si mambo ya kiroho.

Lunyungu umenifanya nikafikiri mbali sana. Nimemkumbuka Jim Jones na kanisa lake la "The People's Temple" na controversial situation iliyofuata Nov 1978. Nadhani kwa Lwakatare haitaishia hivyo, kwa kuwa yuko "nao", lakini sijui itakuwaje siku ikitokea wakashika madaraka "wengine". Nimemkumbuka pia "askofu" Margaret Wanjiru wa Kenya, ambaye mwaka jana ameshinda uchaguzi wa ubunge katika jimbo la Starehe, ukifuatilia kampeni zake, maisha yake binafsi yalivyo (likiwamo sakata la kumtusi mume wake wa zamani kuwa "ameliwa na mafunza", na kumtishia atamnyonga "kama kuku" ili apate nafasi ya kuolewa na mume mwingine "kijana" ambaye ati ni "pastor") utaona kuwa kumbe ufisadi ni mpana zaidi kuliko tunavyouzumngumzia hapa. Kuna "wachungaji" na "manabii" wengi wa namna hiyo Tanzania, sitaji jina la mtu, lakini anayejua habari za kina Jim Jones na huyu Margaret Wanjiru anaweza kufanya analogy na kupata majina mengi tu ya watu wa namna hiyo Tanzania. Tunahitaji kuwa makini sana na kuchukua tahadhari kubwa. Nanukuu maneno ya Jim Jones (marehemu)aliyokuwa ameyaandika kwenye ubao kwenye makazi ya waumini wake wa mwisho huko Guyana, kwenye mji wake aliouanzisha wa Jonestown (ulishatoweka): "THOSE WHO CANNOT REMEMBER THE PAST ARE CONDEMNED TO REPEAT IT".
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,683
1,195
Mwanae HUMPHREY kawa teja mdondo..yaani mdondo huwa unamtoka akishapona cocaine au crack...in short jamaa ni kama yale ma teja kwenye THE WIRE

Mwanae TIBE anataka kuwa kama KINJE

Mwanae ROSE amegeuka kuwa VENESSA BLUE


Mwanae MUTA ni kipenzi kikubwa cha GRASS au MARY JANE au WEEDsasa hebu niambie nyuma yake imeporomoka namna ile sasa what do you expect kwa huyu mama?

Je wasio walokole watapewa equal time kwake au ndio ataanza kuwabagua wasio walokole?

GT,
Heshima yako upawe mkulu mwenzangu.
Nimekua nikifuatilia michango yako na nakubali maswala unayotubwagia hapa swafi sana.Endelea vivyo hivyo bro.
My take on this so called "woman of God"...kama kuna watu yesu atawakana basi nd'o hawa.Huyu mama ni muongo kweli na sijui kwa nini anatumia kivuli cha dini kuendeleza dhambi zake? Mwenyezi Mungu atamzaba vibao we acha tu.Si unaona vile wanae wameishia ubavu tofauti kabisa na vile maandiko yanafundisha? A'fu ulinishangaza eti alikua anakula uroda na yule dereva cheki bobu Adam!Duh!!!!Hio mimi ilinipita nilipokua nafanya kazi pale shuleni mwake...mmmmmhhh!Kuna watu wanasema eti ni Hustler na mambo kama hayo.Mbali na kwamba simzibii rizki, nadhani uhuni na uokovu haviandamani kamwe.If she wants to engage in earthly acts then put the Lord's name aside.She is even making it hard for other people to prophess christianity because of her miondokozz.Sasa humo ndani ya siasa kafuata nini?Ulafi ama kiu cha uongozi?Are we now seeing her true colours?Je waumini wake waliosoma wanawaza nini?Makanisa yashakua dili siku hizi?Fanaleki jamani..yesu ni'arudi achape watu viboko.
Kuhusu hizo shule zake, wabongo ningependa kuwaambia ni bomu kishenzi.Yaani mwanako afadhali abaki shule za national curriculum kuliko kujaribu St Mary's.Iwapo mnataka prestige ya jina basi wapelekeni watoto wenu huko otherwise kama uko serious na education you are better off in the national curriculum ama ukacheze na Mzizima.Hao waalimu wakenya je mshafuatilia credentials zao...especially wale wa shule za primary?Msimsifu kijinga huku hamjui kua anawatapeli wazazi wakibongo.Mzungu alisema quality is better than quantity.Hio shule ya St Mary's International High School,Mbezi je imepeleka wangapi chuo kikuu? Chanzo cha wanafunzi kutofanya vyema ni nini?Kuna maswala muhimu ambayo ukiangalia juu juu huelewi lakini kwa undani utapatwa na mshtuko wa moyo kama vile unapatwa na heart attack.
Huyu mama amewatapeli wazazi wa kibongo na watoto wao, ameitapeli serikali ya Bongo na wananchi wake na la kusikitisha ni kua anacheza makida makida na jina la Mwenyezi Mungu.By entering politics she is now fair game.Katika wale wanae namjua Muta tu na namsikitikia sana especially in regards to his drug issues.Huyo kakake mwengine kumbe keshakua teja?Eehh of God is many!!!!
Naomba kuwasilisha.
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,683
1,195

LOL...chuo kikuu sio?Unajua huyu mama hata kusoma kwake ni kwa shida shida?Hivi vyuo vya marekani jamani!!!
 

Shukurani

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
253
0
Kama kumbukumbu zangu ni nzuri,wakati ule ubunge ni nafasi ya kuwawakilisha wananchi kiwelikweli, acha enzi hizi za biashara bungeni. Mchhungaji mmoja wa KKKT aliwahi kuwa mbunge wa sikumbuki ni wapi ila Mzee mwanakijiji atakumbuka vizuri lakini ndani ya sera za CCM wakati wa mwalimu,alitakiwa achague kuwa mbunge au kulitumikia kanisa,akachagua kubaki kanisani. Wasiwasi wangu ni kuwa wakati wa kampeni za uchaguzi,huyu mama hatatumia kweli influence yake kama mchungaji kuendesha kampeni kanisani na kuwafanya waumini wake ambao wanamwamini kukipigia kura chama chake kwasasbabu mchugaji kasema. sitaki kuamini hayo ila naamini hayo yatatokea.
 

Mwakilishi

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
484
195
Nakumbuka alianzia na ile NGO yake ya "Mission to the Needy" halafu alipoanza "kuwaliza" wenzie akina Magotti(ilikuwa kesi ndefu tu mahakamani sina details, though) watu wakaanza kuiita "Mission to the Greedy" Kidogo kanunua kiwanja kule Mbezi Beach, Mara kaanzisha St. Mary's Tabata, nakumbuka kumsikia akimtambulisha mama mmoja Mzungu aliyekuja toka US, mmoja wa wafadhili wake enzi zile akisema anaitwa Mary na ni rafiki yake sana hivyo shule itaitwa St. Mary kwa heshima yake. Hiyo ilikuwa pale Mnazi mmoja alifanya mkutano wa hadhara wa kuwaonyesha wafadhili wake kuwa naye anahubiri injili.

Mkuu Ab-Titchaz hicho chuo chake wala huko Marekani hakitambuliwi na mtu. Halafu isitoshe Ph.D haitolewi kama honorary degree hata siku moja, chunguza utaniambia!
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,683
1,195
Nakumbuka alianzia na ile NGO yake ya "Mission to the Needy" halafu alipoanza "kuwaliza" wenzie akina Magotti(ilikuwa kesi ndefu tu mahakamani sina details, though) watu wakaanza kuiita "Mission to the Greedy" Kidogo kanunua kiwanja kule Mbezi Beach, Mara kaanzisha St. Mary's Tabata, nakumbuka kumsikia akimtambulisha mama mmoja Mzungu aliyekuja toka US, mmoja wa wafadhili wake enzi zile akisema anaitwa Mary na ni rafiki yake sana hivyo shule itaitwa St. Mary kwa heshima yake. Hiyo ilikuwa pale Mnazi mmoja alifanya mkutano wa hadhara wa kuwaonyesha wafadhili wake kuwa naye anahubiri injili.

Mkuu Ab-Titchaz hicho chuo chake wala huko Marekani hakitambuliwi na mtu. Halafu isitoshe Ph.D haitolewi kama honorary degree hata siku moja, chunguza utaniambia!


Mwakilishi,heshima yako upawe kakangu,

Kwa hivyo ni vile vyuo feki ambavyo haviko accredited!!Damn huyu mama kwa kuhadaa watu.Aliona akimtambulisha mzungu kwa wabongo basi nd'o gooooool!!!Watu watakimbia kuenda shuleni mwake.Mmmmh! Mama huyu jamani dhambi tupu h izi.Kweli anajiangalia kwenye kioo akiamka?Na anawaza nini huyu mtu?Akadanganye wabongo sio?Sasa kaingia mchezo mbovu na I hope yuko tayari kuvuliwa nguo kadamnasi.
 

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
985
1,250
Huyu mama baada ya kuanzizha shule nyingi mpaka wazungu wake wakamshtukia, sasa ameamua kuzi-register shule mpya kwa kutumia majina ya wanawe. Kuna shule mmoja ameanzisha hivi karibuni pale Avocado, Kawe inaitwa Lincoln Academy.....hiko chini ya jina la mmoja wa wanawe!!
 

Mugo"The Great"

JF-Expert Member
Oct 7, 2007
263
225
Wakati umefika wa kujua mbivu na mbichi manake na yeye atakuwepo kikao cha wabunge wa CCM. Je, ataungana na uwajibikaji wapamoja kwa maslahi ya EL, JK, na sisiemu huku WADANGANYIKA WAKIENDELEA KUUMIA?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom