Kama amazungumza uzushi, ni DEFAMATION mnaweza kwenda mahakamani kumfungulia mashitaka Habib kama mnaona alichokisema mbele ya vyombo vya habari ni uzushi na maneno ya kutengeneza.
Kwenye hiyo device yako hakuna nukta wala mkato? Maana umetiririka tu ka gari lililofail breki kwenye mteremko
Mbona mnaweweseka sana, Mchange amewashika pabaya.
"Msumari ulipoingilia ndipo utakapotokea"
Sio makosa yangu ni makosa labda ya kazi.
Ni kweli KWAMBA MH
TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KWENYE UKANDA WA MAZIWA MAKUU
KWA SASA NA INASEMEKANA KWAMBA HAJAWAHI KUWEPO KAMA YEYE , LAKINI
KUMTUMIA KWENYE KESI ZA KIPUUZI NI SAWA NA KUMVUNJIA HESHIMA TU
.
Nafuu waliyo na ushahidi wa mabomu wako tayari kutoa ushahidi wao mara tu baada ya kutekelezwa kwa masharti waliyo yaweka na wanahaki ya kuweka masharti kwa maana ushahidi ni wao.Kuliko watu kama hawa wanaotapikatapika utafikiri kuku aliye ugua mdondo lakini hawataki kupeleka ushahidi wao kwenye vyombo vya sheria na hawataki kueleza wazi ni kitu gani wanachokitaka.
Mkato upo bwana, hiyo miwani yako ina vumbi, btw kuwa mwanasiasa raha sana maana unazungumza unavyotaka na hufanywi kitu chochote.
Wengi tunajiuliza huyu habib mchange ndiye nani?
Na anatumiwa na akina nani na kwa manufaa ya nani?
-je,kweli anajua chanzo cha mauaji ya mwangosi na wale walioshiriki anawajua au ni hasira za kutajwa na madiwani wa shinyanga katika mipango ya kulipua helkopta ya dk.slaa?
Je ni kipi kilichomfanya ajitoe ufahamu kiasi cha kusema chadema wanahusika na mauaji ya mwangosi?
=marejeo:
Utesaji wa dk.ulimboka ni nani hakuusikia,hata watesaji na watekaji mbona walitajwa na ulimboka mwenyewe kupiti kwa mwanasheria wake mr.kicheere.
Lakini hadi sasa serikali ilishachukua hatua yoyote kwa wale walotajwa na ulimboka?
=ukumbusho:
Habib mchange elewa kuwa madiwani waliwatuhumu na hawakutaja kuwa mnahusika na mauaji yoyote yale.
-ila wewe kwa kutokutambua wala kuelewa taratibu za kisheria umeamua kulipuka kwa kuwatuhumu watu directly kwa maslahi unayoyajua wewe,mmh! Pole sana kijana.
=ushauri:
Hakikisha unajidhatiti kisheria kwa kushirikiana na wale walio kutuma,maana soon utakuwa unazijutia kaul
Mchange mchange mchange!kweli huyu tunakaa kumjadili?kweli?huyu shoga mdogo anaetegemea kuolewa tunamjadili!?hembu makamanda tukajenge chama.cdm muda wa kupoteza tunautolea wapi!.
Mh. Slaa alipokuwa akisoma majina ya mafisadi pale Mwembeyanga miaka ile alikuwa sahihi, pia Zitto alipotaka kutoa orodha ya walioficha mabilion Uswiss na Kafulila alipotoa "siri" ya Escrow account BOT, wote walikuwa sahihi maana kitendo hicho kwa lugha na taaluma ya wanaoifahamu, huitwa "whistleblowing".
Tendo hili haliishii kwa uchumi tu au kufanya na viongozi peke yake, hufanyika pia kwenye siasa, taasisi na hata serikalini.
Mchange ni whistle-blower kwa yaliyofanyika cdm, na hata kosa kama Slaa, Zitto na Kafulilla hawakuwa na kosa la jinai! "Mwiba hutokea pale pale ulipoingilia".
Habari ndiyo hiyoo! Tendo la mchange sio jinai ila ni ushirikiano wake kukomesha jinai!
Sheria inayolinda kitendo hichi ipo, wanasheria chimbeni Muone!
..whoeverstand on truth, constitute the majority of ONE..
..anyman more right than his neighbors constitutes a majority of one..- HENRY DAVID THOREAU.
Nimefuatiliakwa makini kipindi cha television cha tuongee asubuhi kinachorushwana kituo cha Star tv, ambapo Kaka yangu Habib Mchange ameeleza kwaushahidi ulio bayana na kwa lugha dhahiri juu ya kinachoendelea ndaniya Chama Cha Demokrasia naMaendeleo (CHADEMA) kilichobatizwa jina lakuunda la USALITI- falsafa ovu iliyolenga kuwanyima haki, kuwaonea,kuwadhulumu na kuwatenga baadhi ya watu ndani ya Chama hichokulingana na Ukanda.
Lakinipamoja na kuliweka bayana hilo, Kaka yangu ameeleza kiunagaubaga juuya mikakati ya kidhalimu iliyokuwa ikifanywa na Chama hicho, ambapoametaja kuwa ni pamoja na kuratibu mauaji, utesaji, utekaji nyara namikakati mingine ya hujuma kwa Raia wa nchi hii.
Yapomambo ambayo nimejifunza na katika hayo lipo jambo kuu moja ambalo niUJASIRI, Kaka yangu huyu ameonyesha ujasiri wa hali ya juu, nasemahivyo kwa sababu najua kiwango cha UNYAMA ambao hao watu anaowakabiliulivyo, UJASIRI uliomfanya aweze kuikabili hofu ya maisha yake nakesho yake.
Amesemakweli MCHANGE, ingawa amesimama peke yake lakini amesimama katikaHAKI na KWELI, na aliyesimama katika Haki na Kweli amesemama naMwenyezi Mungu. Mungu amechukua ahadi na dhima ya kumlinda, namtakiakila la kheri katika VITA hii.
ITAFAHAMIKATU na TUTAHESHIMIANA..!!
Hahaha mpuuzi afunguliwe kesi,kumbe hayo ndiyo mliyotumwa na mabwana wenu kutupotezea muda?Mnae mwanasheria mnayemuamini kuwa ana akili na mwerevu kuliko wanasheria wote duniani anaitwa TUNDU, kwanini msimpigie magoti aende akafungue kesi dhidi ya MCHANGmE..??? jaribuni kufanya hivyo, kama mnaweza.