Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,417
Sasa hapo Kinondoni mnahangaika nini kama mnajua kuwa Mchange ni Houseboy?are you serious?yule si mwehu tu anaropoka!!!zitto kaufyata itakuwa huyu houseboy wake!
Sasa hapo Kinondoni mnahangaika nini kama mnajua kuwa Mchange ni Houseboy?are you serious?yule si mwehu tu anaropoka!!!zitto kaufyata itakuwa huyu houseboy wake!
Habarini za jumapili wakuu,, Asubuhi ya leo nimemsilikiliza habibu hakika binafsi amenisikitisha ameniachia maswali mengi bila majibu kubwa nihili kwanini haya yasemwe leo alikuwa wapi muda wote wakati matendo yakihalifu yakiratibiwa na kutekelezwa? Ametamka bayana alikua nyuma keyboard wakati waharakati zote,amemtaja mnyika ktl tukio la tindiikali Igunga kuwa alihangaika siku mbili kuficha tindikali,kaeleza mauaji ya Mwangosi, Chacha Wangwe nk,,kimsingi mchange ameturusha nyuma sana kafumua vidonda vilivyo anza kupona kawatesa ndg wamarehemu ameifufua huzuni yao kwafaida yake naami anayo ajenda nahayuko pekeyake kunamradi anautekeleza nawapo wanaougharamia wanaugharimia ilikumliza tena mjane wa Mwangosi wanugharimia ili kuwaumiza upya watoto marehemu Wangwe wanayafanya hayakwafaida zao,, bado naami mchange hayuko peke yake wapo mabosi anaowatumikia Swali Habibu unamtumikia nani? ?
Na bado mkuu, Arfi ndiyo atakuja kuwamaliza kabisa, makamo mwenyekiti siyo mtu mdogo, ni lazima atakuwa anajua in and out
Naomba nikupe pole.,maana haujui ni kipi unakizungumza.
Kwenye hiyo device yako hakuna nukta wala mkato? Maana umetiririka tu ka gari lililofail breki kwenye mteremkoHivi wanasiasa weu kwanini serikali inawaogopa namna hiyo kiasi kwamba wanaruhusiwa kusema chochote wakati ingekuwa sie tungeambiwa ni uvunjifu wa amani, haki iko wapi hapa wakai kila siku wanapiga kelele kila mtu ana haki sawa mbele ya sheria wakati wao wanatamka lolote na hakuna kitu
Naona umeingia zamu mkuu. Karibu kwa mjadalaMnatapatapa bure na viroja badala ya hoja,huyu mamluki toka lumumba tutampuuza kama tunavyowapuuza magamba wenzie.CDM kisiki cha mpingo wala hakina haja ya kumjibu huyo mchumia tumbo anayetafuta umaarufu kupitia mgongo wa cdm
SLAA wakati anatangaza list of shame , uhalifu ulikuwa haujafanyika? basi waende kwa court
Maneno ya Mchange yamewachoma kweli CHADEMAMchange kanena kweli ukweli uliomchungu kabisa.
Unaweweseka wewe. Na ni nani unamdanganya?
Kama amazungumza uzushi, ni DEFAMATION mnaweza kwenda mahakamani kumfungulia mashitaka Habib kama mnaona alichokisema mbele ya vyombo vya habari ni uzushi na maneno ya kutengeneza.
Mh. Slaa alipokuwa akisoma majina ya mafisadi pale Mwembeyanga miaka ile alikuwa sahihi, pia Zitto alipotaka kutoa orodha ya walioficha mabilion Uswiss na Kafulila alipotoa "siri" ya Escrow account BOT, wote walikuwa sahihi maana kitendo hicho kwa lugha na taaluma ya wanaoifahamu, huitwa "whistleblowing".
Tendo hili haliishii kwa uchumi tu au kufanya na viongozi peke yake, hufanyika pia kwenye siasa, taasisi na hata serikalini.
Mchange ni whistle-blower kwa yaliyofanyika cdm, na hata kosa kama Slaa, Zitto na Kafulilla hawakuwa na kosa la jinai! "Mwiba hutokea pale pale ulipoingilia".
Habari ndiyo hiyoo! Tendo la mchange sio jinai ila ni ushirikiano wake kukomesha jinai!
Sheria inayolinda kitendo hichi ipo, wanasheria chimbeni Muone!
Umeshirikisha ubongo wako ipasavyo wakati unaandika haya?Kama huelewi somo unauliza. Slaa hakuwa whistle blower. Na hata angekuwa ana blow whistle, alikua sahihi kwa sababu alitoa taarifa ile muda muafaka baada ya kupata zile habari. Kwa hali yoyote alikuwa sahihi kwa sababu alitoa taarifa zile muda muafaka baada ya kuzigundua. Tena alikuwa tayari kushirikiana na vyombo vya dola katika hilo, lakini serikali ndiyo ilinywea kufanyia kazi taarifa alizokuwa amewapa.
Na kwa nyongeza tu, ikiwa serikali ya Tanzania inashindwa kufanyia kazi taarifa zilizobayana kama a list of shame, mauaji ya Mwangosi, Ugaidi wa kina Mchange, Masele, nape, kinana, makamba na mwigulu, ni dhahiri haiwezi kushughulikia whistle-blows ambazo hakuna mtu atajitokeza kusema aliwaambia.
hapa ndipo napoyadharau magalasa ya lumumba kwa udini!!Kinachomponza Mchange ni jina lake la mwanzo, HABIBU
Umevurugwa wewe. Haya unamwambia nani?Hana jipya huyo mamluki wa lumumba,anadhani cdm itahangaika naye ili kumpa umaarufu usio wake? Huyu ni wa kupuuzwa tu na kama katumwa na hao vibaraka wenzie basi ajue cdm ni kisiki cha mpingo na hakihangaishwi na wachumia tumbo kama yeye
Kitendo cha Mchange kusema alikuwa nyuma ya wapangaji criminal activities, hakuripoti uovu mpaka ukatokea, amejiingiza katika matatizo kisheria. He criminalize himself , he put himself in crime scene "watch what you say "your words can be used against you at the court". Akihama CCM, atafia segereaMh. Slaa alipokuwa akisoma majina ya mafisadi pale Mwembeyanga miaka ile alikuwa sahihi, pia Zitto alipotaka kutoa orodha ya walioficha mabilion Uswiss na Kafulila alipotoa "siri" ya Escrow account BOT, wote walikuwa sahihi maana kitendo hicho kwa lugha na taaluma ya wanaoifahamu, huitwa "whistleblowing".
Tendo hili haliishii kwa uchumi tu au kufanya na viongozi peke yake, hufanyika pia kwenye siasa, taasisi na hata serikalini.
Mchange ni whistle-blower kwa yaliyofanyika cdm, na hata kosa kama Slaa, Zitto na Kafulilla hawakuwa na kosa la jinai! "Mwiba hutokea pale pale ulipoingilia".
Habari ndiyo hiyoo! Tendo la mchange sio jinai ila ni ushirikiano wake kukomesha jinai!
Sheria inayolinda kitendo hichi ipo, wanasheria chimbeni Muone!