PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Utabiri wako unaweza kutimia, eti hata wakibaki wataru, sijui kama una maana ya SLAA, MBOWE na MNYIKA? wasipojirekebisha na wakasikiliza wahuni wa kwenye mitandao hakika watabaki watatu, wananchi mitaani wameshawachoka
subirini kimbunga kina kuja. watu wamesha amka hamuwezi kuwabadilisha kwa propaganda za kitoto,subirini rungu la katiba.