Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

CCM watu wenu mnao watuma mjue tusha wajua sasa subirini kuondoka madaraka propaganda chafu hazina nafasi kwanza chadema ni chama cha watu makini mimi na subir tamko la chama kuhusu hi propaganda zalimu kwa masilahi ya taifa na wapenda mabadiliko
 
Siasa za kitoto sana mchange unaleta... Wewe Ni chizi., nasema tena mchange Ni chizi
 
Katka mauaji ya Mwangosi mara zote nimesema alikuwa SET-UP!
Hata bila uchunguzi wa kina nimekuwa nikisema inakuwaje mtu aliyetonywa juu ya matukio ya kesho yake , bado akakaidi.
Na baadaye hakupata huruma kwa wale waliomtonya, ikiwa na maana waliijua hiyo set up mapema.
Mbaya zaidi aliyemtonya bado akapandishwa cheo!!

Nakumbuka vizuri hata aliyekuwa mlezi wa CHADEMA mikoa ya Iringa na Mbeya , mzee Nyimbo,alinawa mikono kuwa kuna mchezo mchafu uliofanywa juu ya kifo cha Mwangosi.
Halafu mtoa mada hebu tujuze, pamoja na machungu yako kwa Mwangosi, CHADEMA imewafanyia nini mjane wake na watoto?

Wewe mwehu nini!, hivi kwa nini usiulize serikali imemfanyia ni mjane na watoto wa mwangosi????.Unataka cdm wafanye nini ili iweje???.
 
Wewe mwehu nini!, hivi kwa nini usiulize serikali imemfanyia ni mjane na watoto wa mwangosi????.Unataka cdm wafanye nini ili iweje???.
Nilikuwa naangalia mnyukano mkali asubuh ya leo,iko dhana kuwa mnyika ni mtu mahili katika kujibu hoja,nasema alijitahdi lakini sehemu kubwa alikuwa akitumia mjadala huo kukijenga chama chake kwa kupambana na asichokuwa na majibu yake.sasa ukiniuliza je alifanikiwa nasema hapana,hali ilikuwa ngumu sana kwake na nadhani anatafakari huko huko aliko.
 
kesho ITV wanaweza
wakaanzisha mada ya kuwatetea cdm ili wamshambulie Mchange kweli startv
ipo fair sana

Mengi ni mwanCcm anayejitabua lakini Dialo (mmiliki wa star Tv) hajajitambua ndo maana chombo chake kinatumika kipropaganda.. anyway chama chako cha ACT kimekufa hata hakijafika Chalinze
 
Star TV na CCM ndiko walikofika sasa hivi, Huwezi kuwa makini na kazi yako then ukaunda mdahalo na mtu mwenye akili kama Mchange, na nalaumu sana kwanini Mnyika kakubali enda ongea na mwenda wazimu kama yule

Kama wana akili hao chadema kwanini walipoteza muda kumponda mchange
 
Leo, alialikwa Star TV katika kipindi cha Tuongee asubuhi. Alipaswa kuwa yeye, Mnyika,Heche na Mchange katika studio za Dar. Star TV hawakuwa na nia njema. Ililenga kuwapambanisha akina Lissu na Mchange. Lengo lilikuwa kutazama mpambano wa maneno na kuufurahia. Ikagundulika.

Kwa hali iliyopo Mchange hafai kukaa meza moja na Lissu kujadili mambo ya CHADEMA, Kama ni mtego,umeonwa na Wakili Lissu. Studio akaachiwa Mchange aseme atakayo. Ajiite mwanachama wa CHADEMA awezavyo. Pekeyake akapwaya. Dili likabumbuluka.

Ama kweli Lissu ni msomi. Amekwepa janja za wapenda bifu katika chama chake na wachora picha na vibaraka wao. Ameng'amua mapema. Hongera Lissu!
 
Last edited by a moderator:
mchange na Lissu sawa na mbingu na ardhi, muulize Werema.Star tv sasa wanakuwa kama tbccm
 
mchange na Lissu sawa na mbingu na ardhi, muulize Werema.Star tv sasa wanakuwa kama tbccm

hivi hawa star tv mbona kiwango chao kiko chini sana , hivi habib ni wa kumpambanisha na MH TUNDU LISSU kweli ?
 
Kumfananisha Lissu na Mchange ni sawa na kufananisha speed ya Chafya na Speed ya Ushuzi
 
Last edited by a moderator:
Sikujua kama ACT ina wanasiasa wasio na kitu in upstairs mfano wa Habib Mchange anayesema polisi walishirikiana na chadema kumlipua na kumuua Mwangosi(AMP)...!
 
Na kweli huyu mke wa ACT na CCM amelopoka ile mbaya.na subirie moto utakao muwakia ,tena anasema anatafuta wanachadema awaue. huu mtega umemnasa
 
Back
Top Bottom