Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Huu ujingaujinga wa wajinga wachache kutumika kijingajinga unasababishwa na polisi legelege wanaofumbia uzushi kwa faida ya ccm.

Uchochezi mdogomdogo na uzushi ukiaachwa ukatamalaki ipo siku polisi watashindwa kuwadhibiti wahalifu halisi kwasababu

reference zitagoma. na tunapoenda ccm itakuwa nawakati mgumu sana 2015, maana wanajichimbia kaburi lao wenyenyewe

kupitiwa hawa akina shonza, mchange nk. wataibuka wengine na tuhuma za kipuuzi hivihivi na polisi wakireact umma unaweza

react na matokeo yakwa mabaya kuliko maelezo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kama utatuthibitishia hawa wauwaji wa daud Mwangosi ni Dr Slaa na Mbowe utatutendea haki, kinyume chake utakuwa

punguwani kama mchange waropaki msio na adabu, haiba wala akili za kawaida. huu ndio ukweli unaousema?

attachment.php

Mkuu hawa vibaraka washenzi wa CCM wanajua kuambiwa kubwabwaja tu akili wakiziweka kwa Didas Masaburii,watasema huyo askari ni CHADEMA,watasema Kamuhanda aliekuwa RPC Iringa ni CHADEMA,hao hawana tofauti ni malaya mbele ya pesa,watanena na kutenda lolote toka kwa mbwana zao CCM/ACT!!!
 
Tangu avishwe pete ya uchumba ndio kazidi kuwa mwehu. Mpuu.zi mkubwa wewe na ninakuhakikishia ndio umefika mwisho kisiasa. Too low for you
 
Nimenza kusoma hii thread nilipofika na kukutana na mahubiri ya Ukanda.. ndio nikaishia hapo na stori yote nikaona kama katuni ya zombi ike ya necta!?

Chadema wanaendelea na chaguzi zao kila kona ya nchi.. kuanzia ngazi ya nyumba!

Naomba nikupe pole.,maana haujui ni kipi unakizungumza.
 
kama utatuthibitishia hawa wauwaji wa daud Mwangosi ni Dr Slaa na Mbowe utatutendea haki, kinyume chake utakuwa

punguwani kama mchange waropaki msio na adabu, haiba wala akili za kawaida. huu ndio ukweli unaousema?

attachment.php

asante kwa picha mkuu , HIVI HUYU JULIANA ANA AMINI MUNGU KWELI ? HAYA YA HUYU MASIKINI MCHANGE KUDAI MWANGOSI ALIULIWA NA CDM ANAPATA WAPI UJASIRI WA KUYAKUBALI ? HUYU DADA NINA UHAKIKA ATAKULA LAANA KALI SANA NA ATAKUWA MFANO WA WANAFIKI WENGINE , MUNGU HAJAWAHI KUCHEKA NA MNAFIKI WA AINA YA JULIANA .
 
kuandika kwenyewe hujui,nyie vidagaa mnaotumika na ccm hamna impact yoyote..hivi chadema wahusike na mauaji kwenye nchi si watahukumiwa kunyongwa ndani ya wiki moja na hizi mahakama za ccm!!!kajipangeni upya na akina nape wenu.
 
Kama amazungumza uzushi, ni DEFAMATION mnaweza kwenda mahakamani kumfungulia mashitaka Habib kama mnaona alichokisema mbele ya vyombo vya habari ni uzushi na maneno ya kutengeneza.
 
Kama amazungumza uzushi, ni DEFAMATION mnaweza kwenda mahakamani kumfungulia mashitaka Habib kama mnaona alichokisema mbele ya vyombo vya habari ni uzushi na maneno ya kutengeneza.
huna akili wewe,tuhuma za mauaji zinapaswa kufatiliwa na polisi kwa kuwahoji watuhumiwa!!!
 
Mjinga wakanza kabla ya huyo Mchele ni wewe maana hata kuandika kumekushinda lakini sishangai maana intarahamwe wengi nimajinga sana
 
kuandika kwenyewe hujui,nyie vidagaa mnaotumika na ccm hamna impact yoyote..hivi chadema wahusike na mauaji kwenye nchi si watahukumiwa kunyongwa ndani ya wiki moja na hizi mahakama za ccm!!!kajipangeni upya na akina nape wenu.
Mnae mwanasheria mnayemuamini kuwa ana akili na mwerevu kuliko wanasheria wote duniani anaitwa TUNDU, kwanini msimpigie magoti aende akafungue kesi dhidi ya MCHANGE..??? jaribuni kufanya hivyo, kama mnaweza.
 
Kumbuka lazima aunganishwe na wewe ili ushaidi upatikane.ni kweli ulikuwepi

“[FONT=Times New Roman, serif]..whoeverstand on truth, constitute the majority of ONE..”[/FONT]

“[FONT=Times New Roman, serif]..anyman more right than his neighbors constitutes a majority of one..”- HENRY DAVID THOREAU.[/FONT]

[FONT=Times New Roman, serif]Nimefuatiliakwa makini kipindi cha television cha tuongee asubuhi kinachorushwana kituo cha Star tv, ambapo Kaka yangu Habib Mchange ameeleza kwaushahidi ulio bayana na kwa lugha dhahiri juu ya kinachoendelea ndaniya Chama Cha Demokrasia naMaendeleo (CHADEMA) kilichobatizwa jina lakuunda la USALITI- falsafa ovu iliyolenga kuwanyima haki, kuwaonea,kuwadhulumu na kuwatenga baadhi ya watu ndani ya Chama hichokulingana na Ukanda.[/FONT]

[FONT=Times New Roman, serif]Lakinipamoja na kuliweka bayana hilo, Kaka yangu ameeleza kiunagaubaga juuya mikakati ya kidhalimu iliyokuwa ikifanywa na Chama hicho, ambapoametaja kuwa ni pamoja na kuratibu mauaji, utesaji, utekaji nyara namikakati mingine ya hujuma kwa Raia wa nchi hii.[/FONT]

[FONT=Times New Roman, serif]Yapomambo ambayo nimejifunza na katika hayo lipo jambo kuu moja ambalo niUJASIRI, Kaka yangu huyu ameonyesha ujasiri wa hali ya juu, nasemahivyo kwa sababu najua kiwango cha UNYAMA ambao hao watu anaowakabiliulivyo, UJASIRI uliomfanya aweze kuikabili hofu ya maisha yake nakesho yake.[/FONT]

[FONT=Times New Roman, serif]Amesemakweli MCHANGE, ingawa amesimama peke yake lakini amesimama katikaHAKI na KWELI, na aliyesimama katika Haki na Kweli amesemama naMwenyezi Mungu. Mungu amechukua ahadi na dhima ya kumlinda, namtakiakila la kheri katika VITA hii.[/FONT]

[FONT=Times New Roman, serif]ITAFAHAMIKATU na TUTAHESHIMIANA..!![/FONT]
 
Kama amazungumza uzushi, ni DEFAMATION mnaweza kwenda mahakamani kumfungulia mashitaka Habib kama mnaona alichokisema mbele ya vyombo vya habari ni uzushi na maneno ya kutengeneza.

Wewe unaamini anachokisema Mchange?
 
Mnae mwanasheria mnayemuamini kuwa ana akili na mwerevu kuliko wanasheria wote duniani anaitwa TUNDU, kwanini msimpigie magoti aende akafungue kesi dhidi ya MCHANGE..??? jaribuni kufanya hivyo, kama mnaweza.
na waambie polisi wawakamate viongozi wa chadema wapelekwe mahakamani na hapo ndio mtamjua safari,mabere,lissu ni watu gani!
 
Back
Top Bottom