samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
sasa siukawaambie wanalumumba wenzio unatuambia sisi ili tukusapoti utaahira wako, nenda lumumba, na mtaaa wa ufipa sisi bado tunajiimarisha au nisera zimewaishia
Mnae mwanasheria mnayemuamini kuwa ana akili na mwerevu kuliko wanasheria wote duniani anaitwa TUNDU, kwanini msimpigie magoti aende akafungue kesi dhidi ya MCHANGE..??? jaribuni kufanya hivyo, kama mnaweza.
Nimenza kusoma hii thread nilipofika na kukutana na mahubiri ya Ukanda.. ndio nikaishia hapo na stori yote nikaona kama katuni ya zombi ike ya necta!?
Chadema wanaendelea na chaguzi zao kila kona ya nchi.. kuanzia ngazi ya nyumba!
Sasa mbona @w.j.malecela kaanzisha thread kuwa hii ni issue ya CHADEMA NA MCHANGE na kwamba CCM haiwahusu. Wewe hapa uko upande upi? I think CCM mna mambo mengi ya kudili nayo kuliko kucheza ngoma "isiyowahusu". Otherwise wewe na Malecela mtakua mnajichanganya. Kama kweli hamhusiki basi mkae kimya.Itafahamika tu na tutaheshimiana.,watanzania lazima wajue ukweli..!
Kama chadema wanafikiri Machange ni mzushi na waende mahakamaniMh. Slaa alipokuwa akisoma majina ya mafisadi pale Mwembeyanga miaka ile alikuwa sahihi, pia Zitto alipotaka kutoa orodha ya walioficha mabilion Uswiss na Kafulila alipotoa "siri" ya Escrow account BOT, wote walikuwa sahihi maana kitendo hicho kwa lugha na taaluma ya wanaoifahamu, huitwa "whistleblowing".
Tendo hili haliishii kwa uchumi tu au kufanya na viongozi peke yake, hufanyika pia kwenye siasa, taasisi na hata serikalini.
Mchange ni whistle-blower kwa yaliyofanyika cdm, na hata kosa kama Slaa, Zitto na Kafulilla hawakuwa na kosa la jinai! "Mwiba hutokea pale pale ulipoingilia".
Habari ndiyo hiyoo! Tendo la mchange sio jinai ila ni ushirikiano wake kukomesha jinai!
Sheria inayolinda kitendo hichi ipo, wanasheria chimbeni Muone!
Hivi mahakama imemruhusu Mchange kuzungumzia kesi iliyoko mahakamani?
Whistle-blowing haifanyiki namna ile. Alitakiwa apeleke taarifa kabla uharibifu haujatokea ama muda mfupi tangu apate habari. Taarifa zile ziambatane na maelekezo sahihi nini kiko wapi kimefanya nini kwa nani ajili ya nini wakti gani na kwa nini. Whistleblower, mara nyingine anaweza asifahamike kabisa lakini taarifa zikawa sahihi na mara nyingine anafahamika lakini anahitaji anonymity kwa ajili ya kupunguza social costs.
Hizi ni taarifa ziko wazi na zimesemwa hadharani na zinajulikana. Kuzicomplicate kwenda kwenye mfumo wa whistle blowing ni namna ya kuwapa nguvu polisi na usalama wa taifa kutokuzifanyia kazi kwa kisingizio cha kukosa uhalisia wake. Wamepata taarifa kutoka kwa watu halisi wanaofahamika, wachukue hatua ili majungu, ufisadi na ugaidi Vikomeshwe!.PERIOD!.
wote lakini ni Viongozi wenu?