..whoeverstand on truth, constitute the majority of ONE..
..anyman more right than his neighbors constitutes a majority of one..- HENRY DAVID THOREAU.
Nimefuatiliakwa makini kipindi cha television cha tuongee asubuhi kinachorushwana kituo cha Star tv, ambapo Kaka yangu Habib Mchange ameeleza kwaushahidi ulio bayana na kwa lugha dhahiri juu ya kinachoendelea ndaniya Chama Cha Demokrasia naMaendeleo (CHADEMA) kilichobatizwa jina lakuunda la USALITI- falsafa ovu iliyolenga kuwanyima haki, kuwaonea,kuwadhulumu na kuwatenga baadhi ya watu ndani ya Chama hichokulingana na Ukanda.
Lakinipamoja na kuliweka bayana hilo, Kaka yangu ameeleza kiunagaubaga juuya mikakati ya kidhalimu iliyokuwa ikifanywa na Chama hicho, ambapoametaja kuwa ni pamoja na kuratibu mauaji, utesaji, utekaji nyara namikakati mingine ya hujuma kwa Raia wa nchi hii.
Yapomambo ambayo nimejifunza na katika hayo lipo jambo kuu moja ambalo niUJASIRI, Kaka yangu huyu ameonyesha ujasiri wa hali ya juu, nasemahivyo kwa sababu najua kiwango cha UNYAMA ambao hao watu anaowakabiliulivyo, UJASIRI uliomfanya aweze kuikabili hofu ya maisha yake nakesho yake.
Amesemakweli MCHANGE, ingawa amesimama peke yake lakini amesimama katikaHAKI na KWELI, na aliyesimama katika Haki na Kweli amesemama naMwenyezi Mungu. Mungu amechukua ahadi na dhima ya kumlinda, namtakiakila la kheri katika VITA hii.
ITAFAHAMIKATU na TUTAHESHIMIANA..!!