mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
July $ Mcha ni maiti zinazotembea zinasubiri kuitwa mazombie ziwazuru watu. Mnajifanya mlikuwa watu wema mkashiriki mauaji sasa waliouawa nakuteshwa mbele zenu wawaeleweje?
HABIBU MCHANGE
Nasema asante kwa sababu za msingi kabisa ambazo ningependa kushirikiana nawe hapa kama ifuatavyo.
Baada ya mahojiano ya leo asubuhi kupitia Star TV na kuwahusisha Habibu Mchange na Mh.John Mnyika,Mchange amemwaga shutuma nyingi dhidi ya Chadema chama ambacho Mchange amekuwa mwanachama kabla ya mambo kwenda kombo. Shutuma na tuhuma za Mchange hazikupata majibu ya kutosha toka kwa Mh. Mnyika pengine kutokana na muda.
Msingi wa shukrani zangu kwa Mchange ni huu:
1. Malalamiko anayoyatoa Mchange leo yamekuwa yakitolewa na Chadema kwa muda mrefu dhidi ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama hasa usalama wa taifa lakini hakuna jitihada za dhati zilizoonekana kuchukuliwa hata kujiridhisha tu kama kuna ukweli au la.
2. Siku zote Chadema imekuwa ikisema ina ushahidi juu ya malalmiko yao lakini hakuna wananchi hatukuona jitihada zikichukuliwa hata kujiridhisha juu ya ushahidi ambao Chadema wanasema wanao,kumbuka mpaka leo tukio la bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha Chadema walisema wanao ushahidi wa video lakini kwa kuwa hawana imani na polisi paundwe tume ya kijaji ili watoe ushahidi walionao. Mpaka leo serikali iko kimya.
Kwa hiki cha leo ni Imani yangu sasa watendaji wasiotumia weledi watakimbilia kumhoji Mchange kwa kuwa tu amesema anao ushahidi ili kwa kumhoji yeye papatikane uhalali wa kuwahoji na viongozi wa Chadema,yamkini hata ile tume ya kijaji itaanzishwa na hapo jamii itaweza kupata ukweli toka pande zote mbili na kujua mbivu na mbichi.
Lakini kuna hili pia,kama Mchange kweli ni mzalendo alisubiri nini kutoa ushahidi kabla ya kufukuzwa ndani ya chama mpaka watu wamekufa kama ni kweli?
Huu unafiki wa kujifanya leo kuwa ulishiriki kupanga mipango ovu na ukakaa kimya mpaka ikatekelezwa na madhara yakatokea halafu leo ndio unakuja kusema,hapo kweli unataka tukuamini?
Rai yangu ni kuwa kama wananchi ni lazima tuwe makini hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu,siasa chafu zitatumika sana bila kujali zitamuathiri nani na kwa kiasi gani ilimradi mtendaji wa hayo ananufaika.
Kusema mwiba unatokea ulipoingilia,haitoshi.
TUMBO LENYE NJAA SIYO MSHAURI MZURI KWA MWANASIASA,KIONGOZI AU MTU YEYOTE..
Mlimfuga wenyewe, ngoja awavue nguo
habibu mchange
nasema asante kwa sababu za msingi kabisa ambazo ningependa kushirikiana nawe hapa kama ifuatavyo.
Baada ya mahojiano ya leo asubuhi kupitia star tv na kuwahusisha habibu mchange na mh.john mnyika,mchange amemwaga shutuma nyingi dhidi ya chadema chama ambacho mchange amekuwa mwanachama kabla ya mambo kwenda kombo. Shutuma na tuhuma za mchange hazikupata majibu ya kutosha toka kwa mh. Mnyika pengine kutokana na muda.
Msingi wa shukrani zangu kwa mchange ni huu:
1. Malalamiko anayoyatoa mchange leo yamekuwa yakitolewa na chadema kwa muda mrefu dhidi ya ccm na vyombo vya ulinzi na usalama hasa usalama wa taifa lakini hakuna jitihada za dhati zilizoonekana kuchukuliwa hata kujiridhisha tu kama kuna ukweli au la.
2. Siku zote chadema imekuwa ikisema ina ushahidi juu ya malalmiko yao lakini hakuna wananchi hatukuona jitihada zikichukuliwa hata kujiridhisha juu ya ushahidi ambao chadema wanasema wanao,kumbuka mpaka leo tukio la bomu kwenye mkutano wa chadema arusha chadema walisema wanao ushahidi wa video lakini kwa kuwa hawana imani na polisi paundwe tume ya kijaji ili watoe ushahidi walionao. Mpaka leo serikali iko kimya.
Kwa hiki cha leo ni imani yangu sasa watendaji wasiotumia weledi watakimbilia kumhoji mchange kwa kuwa tu amesema anao ushahidi ili kwa kumhoji yeye papatikane uhalali wa kuwahoji na viongozi wa chadema,yamkini hata ile tume ya kijaji itaanzishwa na hapo jamii itaweza kupata ukweli toka pande zote mbili na kujua mbivu na mbichi.
Lakini kuna hili pia,kama mchange kweli ni mzalendo alisubiri nini kutoa ushahidi kabla ya kufukuzwa ndani ya chama mpaka watu wamekufa kama ni kweli?
huu unafiki wa kujifanya leo kuwa ulishiriki kupanga mipango ovu na ukakaa kimya mpaka ikatekelezwa na madhara yakatokea halafu leo ndio unakuja kusema,hapo kweli unataka tukuamini?
Rai yangu ni kuwa kama wananchi ni lazima tuwe makini hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu,siasa chafu zitatumika sana bila kujali zitamuathiri nani na kwa kiasi gani ilimradi mtendaji wa hayo ananufaika.
Kusema mwiba unatokea ulipoingilia,haitoshi.
tumbo lenye njaa siyo mshauri mzuri kwa mwanasiasa,kiongozi au mtu yeyote..
Sijui ataelezea sakata la mauaji ya Chacha Wangwe.
Umuofia Kwenu Wana JF!;
Mimi nimeshuhudia LIVE mnyukano kati ya Kamanda Mnyika na Mchange, katika kipindi cha tuongee asubuhi Star TV. Kwa kweli nimesikitika sana km ifuatavyo;
- Kwanza nilishindwa kubainisha Ndugu yangu Mchange alikuwa anaongea kama mpinzani, CCM, ACT, au msaliti wa CDM.
- Kama yeye kweli anafahamu fika kuwa CDM wanahusika na vifo vya wale anaosema eti waliuliwa, nini kilichomfanya kukaa kimya miaka karibu minane baada ya Wangwe, na miaka kama mitatu ya Mwangosi km naye siyo sehemu ya dhamiri mbovu?
- Km hakuaminika katika hayo, nini kitatufanya leo tumwamini yeye na kuichukia CDM?
- Km anazungumza tuhuma nzito km hizo, nini kilichomzuia muda wote asishirikiane na vyombo vya dola kuwapata wauwaji km sio kupofushwa macho na dhamira yake kulingana na yale anyoyafahamu mwenyewe?
- Ndugu yangu Mnyika, Lisu, Slaa, Mbowe na wapenzi wema wa CDM, mjipe moyo kwa kujiuliza hayo yafuatayo; - Kwa nini wananchi wa kawaida wanawaoneni ninyi, na sii wasaliti wanaojidhirisha sasa kuwandio wawakilishi wa kweli?
- Kwa nini kina Mchange na wenzao sasa wanaongeza mapambano dhidi yenu (wapinzani) na kuisifu chama cha dola - KUNA NINI?
- Anapojiita yeye ni mwana CDM na siyo ACT maana yake nini?

Itafahamika tu na tutaheshimiana.,watanzania lazima wajue ukweli..!
Mh. Slaa alipokuwa akisoma majina ya mafisadi pale Mwembeyanga miaka ile alikuwa sahihi, pia Zitto alipotaka kutoa orodha ya walioficha mabilion Uswiss na Kafulila alipotoa "siri" ya Escrow account BOT, wote walikuwa sahihi maana kitendo hicho kwa lugha na taaluma ya wanaoifahamu, huitwa "whistleblowing".
Tendo hili haliishii kwa uchumi tu au kufanya na viongozi peke yake, hufanyika pia kwenye siasa, taasisi na hata serikalini.
Mchange ni whistle-blower kwa yaliyofanyika cdm, na hata kosa kama Slaa, Zitto na Kafulilla hawakuwa na kosa la jinai! "Mwiba hutokea pale pale ulipoingilia".
Habari ndiyo hiyoo! Tendo la mchange sio jinai ila ni ushirikiano wake kukomesha jinai!
Sheria inayolinda kitendo hichi ipo, wanasheria chimbeni Muone!