Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
Mibavicha hapa itakuja kutukana lakini ukweli ushawekwa wazi..uongozi wa chadema ujibu hoja hizi la sivyo hali yao itakuwa mbaya sana 2015...!!
walio tuhumiwa kuuwa waende mahakamani wakajisafiahe lasivyo jamii inajua walimuua Chacha.
Wauaji wengine ni wale wenye ushahidi wa mabomu Arusha walioamua kwa maksudi kabisa kukaa nao ushahidi nyumbani kwao waangalie wao na wake zao.
"..whoeverstand on truth, constitute the majority of ONE.."
"..anyman more right than his neighbors constitutes a majority of one.."- HENRY DAVID THOREAU.
Nimefuatiliakwa makini kipindi cha television cha tuongee asubuhi kinachorushwana kituo cha Star tv, ambapo Kaka yangu Habib Mchange ameeleza kwaushahidi ulio bayana na kwa lugha dhahiri juu ya kinachoendelea ndaniya Chama Cha Demokrasia naMaendeleo (CHADEMA) kilichobatizwa jina lakuunda la USALITI- falsafa ovu iliyolenga kuwanyima haki, kuwaonea,kuwadhulumu na kuwatenga baadhi ya watu ndani ya Chama hichokulingana na Ukanda.
Lakinipamoja na kuliweka bayana hilo, Kaka yangu ameeleza kiunagaubaga juuya mikakati ya kidhalimu iliyokuwa ikifanywa na Chama hicho, ambapoametaja kuwa ni pamoja na kuratibu mauaji, utesaji, utekaji nyara namikakati mingine ya hujuma kwa Raia wa nchi hii.
Yapomambo ambayo nimejifunza na katika hayo lipo jambo kuu moja ambalo niUJASIRI, Kaka yangu huyu ameonyesha ujasiri wa hali ya juu, nasemahivyo kwa sababu najua kiwango cha UNYAMA ambao hao watu anaowakabiliulivyo, UJASIRI uliomfanya aweze kuikabili hofu ya maisha yake nakesho yake.
Amesemakweli MCHANGE, ingawa amesimama peke yake lakini amesimama katikaHAKI na KWELI, na aliyesimama katika Haki na Kweli amesemama naMwenyezi Mungu. Mungu amechukua ahadi na dhima ya kumlinda, namtakiakila la kheri katika VITA hii.
ITAFAHAMIKATU na TUTAHESHIMIANA..!!
[FONT=Times New Roman, serif]..whoeverstand on truth, constitute the majority of ONE..[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]..anyman more right than his neighbors constitutes a majority of one..- HENRY DAVID THOREAU.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Nimefuatiliakwa makini kipindi cha television cha tuongee asubuhi kinachorushwana kituo cha Star tv, ambapo Kaka yangu Habib Mchange ameeleza kwaushahidi ulio bayana na kwa lugha dhahiri juu ya kinachoendelea ndaniya Chama Cha Demokrasia naMaendeleo (CHADEMA) kilichobatizwa jina lakuunda la USALITI- falsafa ovu iliyolenga kuwanyima haki, kuwaonea,kuwadhulumu na kuwatenga baadhi ya watu ndani ya Chama hichokulingana na Ukanda.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Lakinipamoja na kuliweka bayana hilo, Kaka yangu ameeleza kiunagaubaga juuya mikakati ya kidhalimu iliyokuwa ikifanywa na Chama hicho, ambapoametaja kuwa ni pamoja na kuratibu mauaji, utesaji, utekaji nyara namikakati mingine ya hujuma kwa Raia wa nchi hii.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Yapomambo ambayo nimejifunza na katika hayo lipo jambo kuu moja ambalo niUJASIRI, Kaka yangu huyu ameonyesha ujasiri wa hali ya juu, nasemahivyo kwa sababu najua kiwango cha UNYAMA ambao hao watu anaowakabiliulivyo, UJASIRI uliomfanya aweze kuikabili hofu ya maisha yake nakesho yake.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Amesemakweli MCHANGE, ingawa amesimama peke yake lakini amesimama katikaHAKI na KWELI, na aliyesimama katika Haki na Kweli amesemama naMwenyezi Mungu. Mungu amechukua ahadi na dhima ya kumlinda, namtakiakila la kheri katika VITA hii.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]ITAFAHAMIKATU na TUTAHESHIMIANA..!![/FONT]