Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Hivi kumbe chadema siku hizi ndio wanaoajiri polisi.poor mchange. mbona mchange hasemi yeye alishiriki kuuuwa wangapi? kwa sababu amesema alikuwa nyuma ya key board
 
Sikujua kama ACT ina wanasiasa wasio na kitu in upstairs mfano wa Habib Mchange anayesema polisi walishirikiana na chadema kumlipua na kumuua Mwangosi(AMP)...!
Mkuu ulitegemea nini kutoka kwa Alliance for CCM and Traitors ? Habibi wa CCM mweye kukilimbitwa day n night lazima awatetee Mafisadi mwanzo mwisho ... Asipofanya hivyo kisharuala njaa kitaisha vipi? kama vipi mpotezeeni huyo ----- ...
 
Eti cdm walipanga kifo cha mwangosi na wakakitekeleza kwa mbinu za hali ya juu. Hapo ndipo nilipoona pumba za mchange. Kwa hiyo kamuhanda alishirikiana na cdm?
 
Mchange ameonesha kuwa yeye ni jeshi la mtu mmoja anapambana na taasisi nzima na vibaraka wao wote inatia aibu sana kama taasisi nzima inapambana na mtu mmoja kweli mchange 1 ni akina Mnyika milioni moja
 
ni mchumia matumbo tu huyo jamaa, arudi udom aclear supp. kwanza

  • :llama:
    • :wacko:
    • :flame:


 
Nonsense!
Asante mkuu ila najua hujaelewa namaanisha nini mkuu, btw nilimaanisha system inachukulia poa kwa wanasiasa wakati huku sie walala hoi ukisema kitu kesho yake defender hilo linakuja kukubeba unaambiwa mchochezi wakati wanasiasa wanaachwa, in this case kila mtu awajibike na kauli anayotoa mbele ya waandishi wa habari
 
Mchange VS Mnyika!!! khaaaaa jamani dharau hizi, huwezi kumuweka Mnyika na Mbulula kama Mchange kwenye mdahalo jamani, Abuse of intelligence
 
Mchange jeshi la mtu mmoja kamgaragaza Mnyika hadi katia aibu na hapo Lisu na Heche wakiingia mitini kamuumbua mambo mengi sana juu ya uwezo wake
 
Machadema yamekomaa na issue ya Mwangozi tu, mbona hamgusii mauaji ya Arusha, ya Musa Tesha na mengie?. Mmebaki na hilo tu la Mwangosi?
 
CDM wanahaha kumdhibiti Deus Mallya ili asiweze kutoa ukweli juu ya kifo cha CHACHA WANGWE, kwani
walikuwa wote wakati wa ajali yake....

1.JPG
 
Kama kweli aliua he must be haunted by chacha Wangwe ghost
 
very simple naye watamua ili hii habari iishe, heri lawama kuliko fedheha, Mallya hana chochote zaidi ya chama au Chacha Rasta
 
Damu ya marehemu huwa haipotei bure.

CHADEMA damu ya Wangwe inawalilia.
 
Back
Top Bottom