Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Kwa maoni yangu Star Tv wamejitahidi ila kuna point ya msingi ya Mnyika ni kuwa kwanini wanapenda mada za vyama vya Siasa badala ya kuleta mada za changamoto ambazo taifa linakumbana nazo? Ni kuw chombo kinatumika kuhamisha concentration za wananchi.


Sawa lakini, kwa chombo makini kinawezaje kumwamini anaekuambia Daudi mwangosi kauwawa na akina mbowe?

Kwanini wasimbane maana nikichaa, na Star TV hawajaonesha umakini kwa kuendelea kumpa airtime kichaa.
 
Dah leo ndo nimeelewa kuwa nchi hii kuna vilaza. Sasa huyu jamaa angeshindaje uchaguzi Bavicha if he cant even put his shit together.

Mchange nilikuwa cjawahi msikiliza ila leo nimemuona Kilaza tu baada ya kusema Mnyika alikuwa Igunga wakati huo huo kumbe Mnyika alikuwa Zambia
 
Tunajua mijadala ya kisiasa kwa sasa huongeza watazamaji hivyo kuvutia wadhamini wengi.ila kwa hiki kipindi chenu Star Tv kama hamtobadilisha baadhi ya mambo lengo lenu la kuongeza watazamaji halitofanikiwa.
 
Jamani watanazia mchange ni sisimizi asiye weza pambana kwa namna yeyote ile na Mungu hii nchimuda umefika kwa mabadiliko kwa hiyo akuna yeyote atakaye weza pingana na Mungu
TTumuone huruma huyu Dogo kwa kujitoa ufahamu
 
Kwa nini star tv hawakuwaita madiwani waliotoa shutuma kwa Mchange, Mwigulu, Masele na wengine? Wamehamisha focus kwenye tuhuma nyingine kwa CDM badala ya kuwapambanisha Mchange na wenzake na Madiwani.

Uli na mahala fijho homeboy.
 
Hizo ni fikra zako!


Zangu, ndiyo nitakuuliza swali moja

Nani aliyesababisha kifo cha Daudi Mwangosi?

Chombo makini cha habari hakiwezi palilia ushenzi wa aina hiyo. naomba jibu ili nielewe Ritz na Mchange mnalevel sawa za uelewa.
 
...Tmshinikize Rais aunde tume ya kijaji kuchunguza vifo vyote vilivyotokea katika mikutano na maandamano ya CHADEMA kama CHADEMA wanavyodai kila mauwaji ya aina hiyo yanapotkea. Sijajua kwa nini Rais anaogopa hilo.

lakini mbona data zipo on air viongozi wanatajana

kwanini polisi wanapewa mzigo mzito hivi
tuache ushabiki wa kisiasa ni wakati sasa damu za watu zisipuuzwe waliotaja kuwa wanaudhibitisho wakamatwe na watoe huo uthibitisho

bassiiiiiii
 
kijana yuko makini yule, hadi raha kumsikiliza.

kwa ccm ya leo mtu muongo ni makini kwenu.lakin mtu kama Hamphley Polepole ni muongo na mpuuzi. R. I. P CCM
 
Sawa lakini, kwa chombo makini kinawezaje kumwamini anaekuambia Daudi mwangosi kauwawa na akina mbowe?

Kwanini wasimbane maana nikichaa, na Star TV hawajaonesha umakini kwa kuendelea kumpa airtime kichaa.

Upo sawa ndugu ila wangempa Mnyika tu muda ingekua hawapo fair.But Mchange nilikuwa cmpati vizuri lkn nashukuru Star Tv imenifanya nijue ujinga wa Mchange,jamaa ni Null set kabisa anaongea kiushabiki tu.
 
Habib Mchange ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT yeye anasema bado ni mwanachama wa Chadema , kweli ukiwa Mnafiki huwezi kujizuia kuendeleza unafiki hata siku moja .......
 
lakini mbona data zipo on air viongozi wanatajana

kwanini polisi wanapewa mzigo mzito hivi
tuache ushabiki wa kisiasa ni wakati sasa damu za watu zisipuuzwe waliotaja kuwa wanaudhibitisho wakamatwe na watoe huo uthibitisho

bassiiiiiii

Ndo ujiulize kwa nini wanaokamatwa na kuulizwa ni CDM tu na siyo CCM? Kuna nini kinaendelea?
 
Back
Top Bottom