Ha ha ha ha ha. Sasa
huyu bwana anatetea nini huyu. Mara mm ni chadema mara chadema inakufa
kwa kasi. Ha ha ha ha
acha shobo wewe
waliokuwa star tv si viongozi wenu
ni wa CCM au CUF
waliokuwa wanarushiana maneno si viongozi wenu
TUNAWATIZAMA TU
pita mbali nami wewe tomboy
Unawajua mazwazwa wa CDM.
huyo mchange hata akae miaka 100,hawez kuudanganya umma kuamini huo ujinga wake nimemsikiliza muda mrefu hata adabu hana ya kueshim mjadala,nandio mana kaz zake za hovyo ovyo kama alivo yy,idiot
machange kapwaya sana.anaongea hiki na kile bila mpangilio.hana sera.kaulizwa kwa nini tumwamini lakini hajaweza kujibu zaidi ya kutoa tuhuma dhidi ya viongozi wa chadema.kaenda mbali zaidi kwa kusema wanamageuzi ni wauaji.na yeye ni mpinzani tumwite muuaji pia.
Unajichekesha wakati Mnyika yupo hoi.Ha ha ha ha ha. Sasa huyu bwana anatetea nini huyu. Mara mm ni chadema mara chadema inakufa kwa kasi. Ha ha ha ha
Mwiba unatoka ulipoingilia.
Huyu mchange anapuyanga puyanga tu hoja zake anatokwa povu balaaa