Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

umeongea kwa uchungu sana.wafia mageuzi tupo mkuu usichoke,tuunganishe nguvu tuwaaibishe hawa mashetwani§ccm
Hawa vijana wanachekesha sana mchange kanenepa mashavu yamemvimba kwa kuendesha propaganda anasema chadema wameweza kuwafanya wananchi wawaonee huruma na kuwaamini, anasema wameweza kuwe na civil disobedience anasahau wananchi ni wazalendo wanaona,wanasikia,wanahisia na utambuzi wakati wa mabadiriko umefika na hakuna wakuzuuia ni wananchi hawa hawa wanaonekana wajinga ambao watakataa kuburuzwa
 
Chadema ni taifa kubwa hutaweza kuuwa viongozi wake wala kuwasweka ndani bila sababu za msingi na nchi ikabaki salama ,chama kimebeba siha ya wananchi wengi wa kutosha kutokukubali dhuluma yeyeto muonyeni mwenyekiti wa CCM asije akafanya makosa hatabaki salama

Nchi hii haitatawalika tena by slaa
 
Mchange na huyo aliyemtuma , aseme nani alikuwa wa kwanza kutangaza kifo cha Wangwe kwa wabunge wa Chadema na KUB wa wakati huo ambaye alikuwa Hamad Rashid? Alipata wapi taarifa za ajali hiyo?
 
Nchi hii haitatawalika tena by slaa


Mkuu nimekuuliza swali halina majibu au

quote_icon.png
By Tony Gwanco

Wewe hadhi yangu inakuhusu nn jadili mada au unatafuta mme humu jf


Unafaham hasa walau kwa mstari mmoja maana halisi ya verified user ID hapa JF?

maana unatukana hovyo, unaropoka hovyohvyo, michango ya hovyohovyo nk hasa michango yako ya hapo awali.
 
Hiyo mbinu yenu haitasaidia kitu mukilingia usalama wa taifa nusu wako upinzani sasa munajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe hakuna polisi wala jeshi ambalo limewahi kuuwa wananchi wake wote wakamateni , mahakama zipo, mukiwaweka ndani bila hukumu , mahakama za wananchi zitatenda kazi yake hakuna atakayekubali ujinga wa serikali inayoongozwa kimafia

wauaji lazima wakamatwe tu .wanatarime wamejua ukweli leo
 
Sasa Mchange ni chama gani? Anataka kutaga au ni nini?

Huyu alifukuzwa cdm kama mbwa mwizi!hana kazi zaidi ya kutumwa kama hivi leo , ni mwehu pekee anayeweza kudai mwangosi aliuawa na cdm , yaani hata shetani ni lazima ashangae , nimeamini ukila hela za watu hakika utatumika hata kwenye mambo ya aibu !
 
CHADEMA njia mliochagua ya kujijenga kisiasa kwa kuua watu ni ovu na sasa inawatokea puani.
 
Hivi moderator wa jamii forum nimeweka uzi unaomuuliza mchange mawsali ajibu kwa nini mmeutoa?
 
Walimuua wangwe ili walepesa za chama

unao ushahidi ? Unafahamu kwamba dereva wa wangwe alifungwa , lakini haraka sana aliachiwa kwa msamaha wa rais , unajua kwanini ? Hawa unaowaiga wanachosema akina MCHANGE and co wako kazini mjomba , tumia akili yako kuchambua mambo .
 
Hata wewe upo kazini

Kama hamjauwa mnaogopa nn.kwa nn mtumie nguvu kubwa kujibu hiyo hoja ya mchage
 
habib mchange anajua kujenga hoja sana ni vijana wachache ndani ya chadema wenye uwezo kama wa mchange.john mnyika kaibika sana na chadema yake waliomtuma
 
Hata wewe upo kazini

Kama hamjauwa mnaogopa nn.kwa nn mtumie nguvu kubwa kujibu hiyo hoja ya mchage

Hatutumii nguvu kubwa ila wewe ndo unakosa kuelewa msimamo wetu

1. Je nikweli Mbowe na Slaa wameuwa Daudi mwangosi? naomba majibu kwahili swali.

2. Unafaham kazi za polisi na mahakama? kama ndiyo naomba ujibu kwa usahihi maswali yafuatayo

a) Mchange anaushahidi amechukuwa hatuagani kuhakikisha haki inatendeka kwa wafiwa na marehem

b) Jeshi la polisi linafanyanini kuchukuwa hatua maana teyari shahidi amejitokeza

3. Uchaguzi wa Igunga mnyika alikuwa Zambia, sio huko Igunga nk

Lakini kwa haya machache tumefundishwa logic, projection na trajectory, tumefudishwa calculus na differential equation,

tumefundishwa falsafa na mambo mengimengi. Lengo nikutufanya tufikirie na kutoa walau majibu sahihi kwa nearest fact.

Tutamwamini vipi Mchange endapo

1. Picha zinaonesha wazi polisi wanamuwa mwangosi?

2. Anapiga kelele majukwaani badala ya kuenda polisi ( anasema hajaenda......tena anasema kapeleka ushahidi......mwiba

hutokea ulipo ingilia...) Je kwa maelezo ya kuparaza na kubabaisha namna hii unawezaje kumwamini mchange?

Tafadhali Tony Gwanco tujadili hoja kwa hoja weka pembeni mbwembwe na kashifa.
 
kwa mtu alie soma psychology haumpi shida kukujua we ni mtu wa aina gani;

1.una umri mdogo

2.bado una elements za uanafunzi

3.kama uko above 25 basi hauko well matured

4.ume athiriwa na maisha ya kijiweni

5.haukupata malezi yaliyo mema kutoka kwa wazazi wako kutokana na sababu nisizo zijua

6.una ubishi wa asili

7.uko addicted na ulevi

8.una msongo wa mawazo

9.una ujanja wa kuiga

10.Una abnormal ya kitu fulani ktk mwili wako.

kati ya haya mambo 10 kuna mahala una fiti na hilo halina ubishi.

mkuu,nadhani wewe upo namba 4
 
kwa mtu alie soma psychology haumpi shida kukujua we ni mtu wa aina gani;

1.una umri mdogo

2.bado una elements za uanafunzi

3.kama uko above 25 basi hauko well matured

4.ume athiriwa na maisha ya kijiweni

5.haukupata malezi yaliyo mema kutoka kwa wazazi wako kutokana na sababu nisizo zijua

6.una ubishi wa asili

7.uko addicted na ulevi

8.una msongo wa mawazo

9.una ujanja wa kuiga

10.Una abnormal ya kitu fulani ktk mwili wako.

kati ya haya mambo 10 kuna mahala una fiti na hilo halina ubishi.


Huyo mkuu yupo hapo pekundu.

Taratibu ataelewa kama hataelewa, Taifa la Tanzania linaelekea gizani na huko ndiko tunakoelekezwa.
 
Back
Top Bottom