Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

Arusha sasa ni moto,Gambo kijana mchapakazi anatiririsha maendeleo kama mvua.
Habari hizi za Gambo zimfikie mdaiwa sugu bwana Godbless Lema akiwa mafichoni Kenya.
 
Unaiba then unarudisha ulipoiba.

Huyu anawekeza 25m akijua kabla ya miaka 5 kuisha atakuwa na nusu billion.
 
Jamani ndugu yetu.bia yetu..toka ccm imeshinda. kapotea kabisa kada mtiifu.wa Lumumba..
 
Hizo fedha huenda zinatolewa na Jiwe lengo likiwa ni kujaribu kumjenga kisiasa huyu mtu wake.Tukumbuke hilo ni moja ya majimbo ambayo CCM walikuwa wanayataka sana


Bado Gwajima na wengine.

Hatuwataki hata mfanye nini
 
Apewe rushwa kwa lipi ?

kwa yaleyale ya ukuu wa mikoa wahindi walikuwa wanalalamika kuombwa pesa na kusumbuliwa na huyu dogo vilevile alikuwa ana toa ahadi ya sehemu za migogoro kama viwanja wakati serikali imeshatoa maamuzi hivyo wana mpa chochote. Jiulize pesa anapata wapi? Pesa za majimbo au! Mapema hivi
 
CCM haipo Arusha, hayo maigizo yenu endeleeni nayo tu, but siku baba yenu akiondoka mkamkosa wa kuwabeba mgongoni, ndio mtaifahamu vizuri Arusha Mjini.
Mbunge aliyepita alifanya nini! Zaidi ya kubugia tu bila kuangalia wananchi wake kazi ilikua kupiga domotu.
 
Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha

View attachment 1626445View attachment 1626446

Tuliahidi
Tunatekeleza

Mbona taarifa ya habari imesema tofauti na maelezo yako Mkuu; michango imetolewa na Kiwanda cha sunflag kama sikosei na mh. gambo ndiye alienda kuomba huo msaada na meneja alisema waliamua kutoa baada ya yeye kukataa kupokea pesa..
 
Back
Top Bottom