Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,489
- 2,399
SWALI TATANISHI KWA MBOWE: Je mkiitwa baadaye mwaka huu au mwakani hamtaenda? Je mkiitwa soon mkienda mkapewa chai mtakata?
Kwa kuwa uliomba kuonana naye, yeye ndo anaamua wende lini. Wewe ni mtu mzima na mkubwa tulia. Ata usipoenda Ikulu, umesharuhusiwa kufanya siasa, wewe kukuruka na ujenge chama. Mengine baadaye. Kama una chama dhaifu kufikia malengo itakuwa si rahisi. Piga kazi maana tunataka MATURE & STRONG Opposition hili 2025 kampeine ziwe za maana. Kila atakayepata uongozi 2025 hasijisahahu kama enzi hizo. Kazana tafadhali hili wakitoka usingizini unakuwa umemaliza kazi. Uwanje umepewa usingoje kukutana na mtu. Kumbuka ni mpizani wako na wewe SIYO CCM B.