Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

SWALI TATANISHI KWA MBOWE: Je mkiitwa baadaye mwaka huu au mwakani hamtaenda? Je mkiitwa soon mkienda mkapewa chai mtakata?
Kwa kuwa uliomba kuonana naye, yeye ndo anaamua wende lini. Wewe ni mtu mzima na mkubwa tulia. Ata usipoenda Ikulu, umesharuhusiwa kufanya siasa, wewe kukuruka na ujenge chama. Mengine baadaye. Kama una chama dhaifu kufikia malengo itakuwa si rahisi. Piga kazi maana tunataka MATURE & STRONG Opposition hili 2025 kampeine ziwe za maana. Kila atakayepata uongozi 2025 hasijisahahu kama enzi hizo. Kazana tafadhali hili wakitoka usingizini unakuwa umemaliza kazi. Uwanje umepewa usingoje kukutana na mtu. Kumbuka ni mpizani wako na wewe SIYO CCM B.
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema wito wao wa kwenda Ikulu kwa ajili ya kunywa chai na kufanya mazungumzo na rais Samia kuhusu mambo mbalimbali ya nchi umepuuzwa. Hivyo amesikitika sana.
20210609_174743.jpg
 
Itoshe kusema wewe una chuki binafsi na Mbowe na ndio maana hutaki kujibu hoja yake bali una mu attack yeye as a person.

Shows how nincompoop of a loser you are.
Mbowe anayeamini kuwa ,demokrasi ni kurithishwa chama na baba mkwe na kuwa mwenyekiti wa kudumu.Eti nae kiongozi.
 
Alishakuona we ni tapeli we mzee kwenda huko.
Hafu huna shukrani pamoja na kumtengenezea mashahidi wa kubumba Sabaya bado unataka kumuendesha
 
Alishakuona we ni tapeli we mzee kwenda huko.
Hafu huna shukrani pamoja na kumtengenezea mashahidi wa kubumba Sabaya bado unataka kumuendesha
Chadema wana roho za kishetani kabisa
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Subira yavuta heri. Mkianza kumchokonoa na kumtupia maneno makali, hata kama alikuwa na mpango wa kukutana nanyi anaweza kuamua kughairi.
 
Mbowe anaposema, nanukuu;
"ipo siku atatutafuta na hatatupata". mwisho wa kunukuu.

Je, kwa kauli hii ya Mbowe hichi siyo "kitisho" kwa Rais?
Kwamba ipo siku Rais wa nchi atawatafuta na asiwapate ina maana gani ?
Madam SSH kuwa makini, ukiwa "mpole" sana hawa watu wa CHADEMA watakukalia kichwani.
They are political hooligans and you have to be very careful.
 
Mbowe yupo sahihi maana amekomaa na issue ya 50/50 hakuna la maana anafanya.
Mpuuzi tu Mbowe hana lolote,hana mamlaka ya kumshurutisha raisi,yule ana ratiba zake.Kiherere tuu kwani alisema atakutana na chadema au vyama vya upinzani
 
1: Kwamba ipo siku atawatafta na hatawapata,hahahaha very amaizing

2: Walimwandikia barua ya mwaliko kukutana nae lakini kaikalia kimya akihofia wanaenda kumaliza chai ya ikulu.
Leo hii rais anaamlishwa na wapinzani
 
Mbowe h.ana ubavu wa kumpangia mama Samia Cha kufanya

Ubavu alionao ni kula ruzuku tu za chama bila makamanda kushtuka
Huyo ni rais aliyepatikana kwa wizi wa kura chini ya maagizo ya yule dhalimu aliyeko motoni.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom