Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,641
- 8,576
Mbowe yupo sahihi maana amekomaa na issue ya 50/50 hakuna la maana anafany
Hii ndio inasemwa ya kwamba ukimhendekeza sana mbwa atakufuata hadi msikitini. JPM alikuwa hapendi ujinga ujinga kama huu!Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.
Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.
Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?
Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?
Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.
#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#
View attachment 1813320View attachment 1813322