Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

Mimi ni rais sipangiwi na mtu cha kufanya. Hii ilikuwa ni kauli pendwa ya mwendakuzimu na watz wapumbavu tukaisadiki kama torati, kuna wapumbavu wanamchukulia rais kama mungu mtu, kama tu rais kaombwa wito ili tujadiliane wadanganyika mmefura namna hii, sipati Picha siku rais akizabwa Kofi kama yule mfaransa sijui wadanganyika mtafuraje?
 
Magufuli kazitawala sana fikra zenu!

Hivi huwa unamuota ndotoni usiku?

Ukiwa unakunya, huwa unamuwaza Magufuli?
Mwendakuzimu ilikuwa zikipigwa simu toka ubeberuni alikuwa anamsakizia polepole azipokee, yule mbabu alikuwa anakosa kabisa amani linapokuja suala la kuzungumza lugha za kibeberu.
 
Mimi ni rais sipangiwi na mtu cha kufanya. Hii ilikuwa ni kauli pendwa ya mwendakuzimu na watz wapumbavu tukaisadiki kama torati, kuna wapumbavu wanamchukulia rais kama mungu mtu, kama tu rais kaombwa wito ili tujadiliane wadanganyika mmefura namna hii, sipati Picha siku rais akizabwa Kofi kama yule mfaransa sijui wadanganyika mtafuraje?
Huyu hapa
JamiiForums485238726.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mama anasubiri barua za vyama vingine kama UDP, CHAUMA, NCCR- MAGEUZI, CUF, TADEA, UPDP, ili akiwaita waende wote wakunywe chai ikulu
Mama asifanye kosa kwa kuwaita chadema peke yao, aviite vyama vyote ikiwezekana Kila chama cha upinzani kiwakilishwe na watu wasiozidi watano, chadema watajichagua wenyewe Nani ataenda na kwa kuwa CCM ndio chama tawala nao pia waalikwe kwa uwingi kidogo napendekeza CCM wawe si chini ya 30, hapo ndio kikao kiendelee.
 
Mbowe is very arrogant, yaani Rais kaapishwa ndani ya wiki anaandika barua wakutane na Rais, who the hell is Mbowe? Yaani mtu hata hajakaa kupanga serikali yake, ww unaandika barua kutaka kukutana nae, mkiambiwa Mbowe Form 6 kapata division 0 kubwa sasa mnaanza kuelewa.. Very very arrogant. Tena ingakuwa mm ndio Mh. Rais, sikutani na mtu mpuuzi hivi, pumbaf kabisa Mbowe
 
Hizo sasa ni chuki.
Watanzania tusifanye siasa kuwa uadui. Ukimwonyesha mwenzio chuki utakuja kuvuna chuki.
 
Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.

Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.

Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?

Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?

Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.

#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#

View attachment 1813320View attachment 1813322
Na wewe unakoses sana kumpangia Mwenyekiti Mbowe cha kuongea. Pambaneni na hali yenu nyie masalia ya dikteta Magufuli
 
Muda wa kwenda kugawa rasilimali zetu Kenya anao, kwanini wa kukutana na jemedari Mbowe kujenga umoja wa kitaifa, which is far better, hana!!?
CHADEMA wanatakaga kuonyesha kwamba wako very important! Chama cha Mbowe na cha Hashim Rungwe, vyote vina hadhi ile ile, ni vyama vya upinzani!
Hivyo, raisi hawezi kukipa CHADEMA kipa umbele kuliko CUF, CHAUMA, etc.
Kwanza CHADEMA, Mbunge mnae mmoja tu! na hamkufanya kitu! . Wakina Mdee wamewakomalia hamkufanya kitu - sasa mtishie raisi eti atawatafuta! ?
Neno lenu mnalopenda kutumia - "kujimwambafai" ndiyo maana yake. Mama Samia hajawaponda, ila saizi ya wakati wenu ikifika mtasikilizwa. 'First, important things first'
 
Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.

Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.

Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?

Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?

Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.

#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#

View attachment 1813320View attachment 1813322

Tangu lini Sukuma genge mkawa ma-pro mama? Au ni yale yale ya kumchinja Kobe kuhitaji timing?

Pamoja na utangulizi huo usisahau yasemwayo na waungwana:

IMG_20210610_084619_197.jpg

Mbowe kaza uzi hapo hapo. We too are up to this job.

Hizi zingine ni kelele za vyura wale wale tu. Hawana lolote vyawa hawa wa mwendazake wanaodhani tungali awamu ya tano.

Misri tulishatoka haturudi tena huko.

Hiiiiii bagosha!
 
Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.

Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.

Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?

Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?

Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.

#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#

View attachment 1813320View attachment 1813322
Mama Samia akutane na Chadema kwa lipi? Mama piga kazi za maendelea achana na majungu ya hao Chadema hawana jipya ndo maana umewatosa
 
CCM washaanza kumharibu Mama, wameanza kumshauri eti aanze kuwabane kina Mbowe maana kuwaachia huru wanatembea mikoani bila vibali vya mikutano ni hatari kwa CCM 2025.

Mama kuwa makini na hao washauri wako wa Lumumba.
 
Mbowe is very arrogant, yaani Rais kaapishwa ndani ya wiki anaandika barua wakutane na Rais, who the hell is Mbowe? Yaani mtu hata hajakaa kupanga serikali yake, ww unaandika barua kutaka kukutana nae, mkiambiwa Mbowe Form 6 kapata division 0 kubwa sasa mnaanza kuelewa.. Very very arrogant. Tena ingakuwa mm ndio Mh. Rais, sikutani na mtu mpuuzi hivi, pumbaf kabisa Mbowe
Kikwete anao ushawishi ndani ya utendaji wa Rais Samia, kipindi cha awamu ya nne Mbowe aliutumia sana uwezo wa kidiplomasia wa JK haswa ule uhuru wa kisiasa uliokuwepo.

Awamu hii pia Mbowe atasikika sana kwani Mama anatembea mule mule kwenye njia za JK. Tatizo ni uwezo mdogo wa Mbowe kujiongeza kama mwanasiasa.

Haonekani kukua kimtazamo, bado ni yule yule mwanaharakati wa matamko mengi yanayompa umaarufu wa muda mfupi wa kwenye media.
 
Back
Top Bottom