mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,085
- 5,488
Niulize tu jamani! kwa nini wewe hujazaliwa kunguni au kama wewe ni kunguni kwa nini yai lako halikuharibika? Kama wewe ni binadamu hairuhusiwi kuwapa chakula mahabusu mahakamani!! umeelewa wewe kichwa maji?Da chadema wana roho mbaya sana yaani mbwembwe zote zile kuwa Kila siku kunawasamalia wanaleta chakula mahakamani kume wanakul mashabuki tu atuhumiwa hawapewi? Mara walete keki yaani wana zambi sana wakiambiwa wmtoe wanakataa eti mwacheni tu mbwakabisa hawa