Naam,
1. Kwa namna hii thread ilivyokwenda, wanabodi wanaweza kunielewa kwa nini kila mara huwa nnasema kuwa ..
among the Chademas I know so far, Mwanasiasa is their presidential material. Mmeshuhudia alivyo tofauti na wengine katika kujenga na kukabili hoja kwa hoja. Keep it up Mwanasiasa. I hope they realise this and give you usukani. Amen.
Hata hivyo kuna matatizo katika majibu ya Mwanasiasa. Ntaeleza na kuhoji baadae nikiwa na muda kuja kuchangamsha zaidi mjadala.
2. Mnyika badala ya kumjibu DrWHO aliyeanzisha thread, yeye ameamua kukwepa maswali na kujibu vitu vingine tofauti kabisa akielekeza mashambulizi kwa Kulikoni, maana
DrWHO hajasema degree tatu wala hajasema miezi 18. So hujajibu hata swali moja, kazungusha zungusha tu.
Yes, Kulikoni alisema degree tatu na kwa miezi 18, na kishakufafanulia kuwa huo ulikuwa ni mtego kwako na uliungia vizuri tu [Ref:
http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=25932&postcount=105]. Mtego ulikuwa kudhihirisha kwamba unakuwa choosy katika kujibu, kuna vitu unakuwa very fast kulogin na kujibu, lakini suala la ufamilia ndani ya Chadema inakaribia mwezi wa nne sasa unalipiga tarehe (ahadi zilianza tangu Novemba mwaka jana), leaving the forum wondering kuna ugumu kujibu hilo. Hata kama linahitaji vikao, miezi minne basi?!. Tunasubiri ahadi ya safari hii ya 'within this week'.
Kuendelea kwako kurudia point hii hii kuwa eti Kulikoni kadhamiria kupotosha ni tantamount to character assasination against him too. Kama lengo lilikuwa ni kudanganya, halafu mimi huyo huyo ndio nilete link ya kudhihirisha uongo wangu?! C'Mon. Mara zote nnapomiss facts kwa bahati mbaya, kisha nikagundua kukosea au nikapewa facts tofauti na nikaridhika nazo, huwa nakubali mara moja. I did not wait for you to bring references za hansards alizozungumza Mbowe, nlienda mwenyewe kucheki na kuadmit nilimiss the fact that jamaa alikuwa waziri kivuli wa fedha. Kwa hiyo nampa benefit of doubt kuwa labda, penginepo, huenda ikawa .. kutouliza kwake maswali ni kwa sababu ameyajumuisha aliyotaka kuyasema/kuyauliza into speech yake ya kuchangia wizara husika.. hata kama spichi hiyo si yake peke yake ni.. msimamo wa upinzani kwa ujumla.