William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Mzee Jasusi,
Heshima yako mkuuu, mimi sio Chinga samahani sana, hoja hujibiwa kwa hoja bila vitisho wala ukali,
Udhamini wa wazee wa Pwani kwa TANU, uliwapa wazee hao Waisilamu the upper hand over all the party's final decisions na muelekeo wa chama hicho, ambacho originally kilikuwa ni strickly cha watu wa pwani tu!
Mpaka ulipofikia wakati wazee hawa wadhamini wa pwani, na Waisilamu wakagundua kuwa hawana mtu wa front aliye strong politically, anayeweza kuwa-represent mbele ya Wazungu, the then watawala,
ndipo alipotokea "MAKAPUTULA" Mwalimu, na single handed ulikuwa ni uamuzi wa Doss Aziz aliyekuwa kiongozi mkuu na Muisilamu, kumpatia Makaputula uongozi wa chama hicho, uamuzi haukuwa collective as a chama, kwa hiyo ni clear kuwa wadhamini hawa walikuwa na monopoly au upper hand katika maamuzi ya mwisho ya chama hicho,
Makaputula au Mwalimu ndiye aliyekiletea chama hicho inclusiveness, kwa kuanza kuwa-recruit kina Kamwenye Muhogo Mchungu, Kambona, Bomani, na the likes, huku akikitanua na kukieneza mikoa yote nchini, na haikuchukua muda Dossi Aziz na wenzake wote yaani the originals Waisilamu wa Pwani na wadhamini wa chama hicho walitupwa pembeni na hatimaye Mzee Rupia, ndiye akwa the sole mdhaini wa chama hicho mpaka wakati wa kifo chake,
Kama kuuliza kwa nini wadhamini wote wa Chadema ni matajiri wa kutoka kabila moja, ni kuwa mkabila so be it lakini swali langu halijajibiwa Mzee Jasusi!