Mbowe na tafakuri zake...

Wanalazimisha tuyakubali wanayosema sasa ndio sahihi, wakati hawataki kuthibitisha waliokuwa wakiyasema kwanza yalikuwa uwongo

Yani mkuu hawa watu sijui ni kwamba hawana uwezo wa kutambua kwamba chochote kilichosemwa na upinzani against Lowasa ilikuwa pia ni direct attack ya serikali inayoongozwa na ccm, na kwamba hawawezi kutumia hizo attack sasa hivi kama hoja zao kwa sababu zinawafanya wanaoneka waongo na wanafiki wakubwa.
Ukisikia kushikwa pabaya, ndio kama hivi...ukitema nchalee, ukimeza nchale...
 
Kama unadhani mimi Ni mwanaccm jidanganye, siwezi kuwa shabiki wa ccm chama cha majizi na mafisadi, magufuli mbinafsi sana mwizi kama lowassa tu, ccm imeoza yote, nashangaa kumchukua fisadi wa ccm na kumfanya malaika kwenye kambi yenu
Kiukweli umetuchosha na mada zako nyingi kuhusu Lowasa ambazo zinatujazia server tuu na hazina mshikp.
Kaa chini,fikiri kwa makini kipi ukiandika kitajadilika sio kupkoteza matamko ya zamani na kuleta yajadiliwe. Kenya tulipovunja EAC 1977 tuliwaita manyangau Leo mbona hatuwaiti hivyo? Ni siasa tuu inakwenda na kubadilika kulingana na mahitaji. Huwezi kujikita hapohapo bila kusonga mbele.
Kwani wewe kama ulienda jando kuna MTU atakung'ang'ania kuwa una govi kwa vile zamani ulikuwa nalo? Sii umeshakatwa na sasa huna? Sasa kuendelea kuzungumzia govi lako wakati umeshalikata so utawaona hao watu ni wajinga kama tukuonavyo wewe?
Yapo mengi yakuleta JF yakajadilika na jina lako likawa kwenye list ya great thinkers kuliko kila kukicha kujikita kujikita kwenye jambo moja kama wale mabinti wa Corner Bar
 
Wewe huwezi kunipangia cha kupost, wala siwezi kupost kile kinakufurahisha wewe, kama umechoka niblock kwenye list yako hutaona nachopost, lakini kutoa mabaya ya fisadi lowassa sitaacha hapa
 
Kama sijaelewa kitu apa...
Kama ni fisadi mbona hamamkumshitaki ikiwa serikali ni yenu,,,,!!!

Kwan alieujua wizi wake alikua nani???

Aliekua na nyaraka za uhakika za ufisad wake pia???

Niliufahama vip huo ufisi wake????

Nilifikir wakumshitaki ni sis tuliokua na uhakika na jambo tulilozungumza...

Kwann yeye hakushitak waliomchamfua ikiwa serikal ilikua ni yake???

Mwiz ni mwiz tu hata akijipa cheo cha usalama wa mali za raia....
Kwa kukusaidia tu Lowasa aliangushwa na ccm sio CHADEMA wa cuf na kingine sakata la Lowasa ndo escrow, uliza Lowasa alilipwa sh ngap kwenye escrow kama kweli ye ndo master mind
 
Kwa kukusaidia tu Lowasa aliangushwa na ccm sio CHADEMA wa cuf na kingine sakata la Lowasa ndo escrow, uliza Lowasa alilipwa sh ngap kwenye escrow kama kweli ye ndo master mind

Ok nakuuliza lowasa alilipwa kiasi gani kwenye Escrow..?
 
Back
Top Bottom