Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
nitumieni maswali yenu yote... na yote nitamuuliza.. kazi itakuwa kwake kujibu
nitumieni maswali yenu yote... na yote nitamuuliza.. kazi itakuwa kwake kujibu
nitumieni maswali yenu yote... na yote nitamuuliza.. kazi itakuwa kwake kujibu
Jamani msiyaandike maswali hapa.. nitumieni kwenye PM...
Maswali yangu kwa DJ Mbowe.
alichangia kwa kiasi gani dada zetu kupata ukimwi pale billicanas? jee alikuwa anawapa nasaha? na wakiuguwa aliwasaidia kwa madawa ya kurefusha maisha?
katika matokeo ya mitihani yake ya kwanza aliyofanya januari matokeo yametoka mwezi machi mwanzoni na amefeli masomo mawili kati ya manne. amefaulu kozi work mbili tu na mitihani miwili amefeli. jee kwanini amefeli? na ataacha lini kuandikiwa course work na balile?
na akanunishe kuwa Balile hajampeleka pale chuoni ili kumsaidia yeye course work.
seminar amekuwa hachangii chochote anasinzia tu. kwanini hivyo?
Mnyika msimshirikishe kwenye mijadala inayohusu Elimu kwani yeye si mpenzi wa elimu na si msomaji. anataka kuongoza chama cha wajinga.
mwanakjj naomba nami nimpigie maswali Mbowe jee nitumie ile simu yake inayoanza na +4478......?