Nimewasikia wakuu, ninasema kwamba cha muhimu hapa ni kuheshimiana, matusi na kejeli, havitusaidii kitu, zaidi ya kuwafukuza wana-forum muhimu. Today I regret, kwamba tumepoteza wana-forum wengi imara kwa sababu ya matusi na lugha mbovu,
Watu kama Tafit, walikuwa ni moja ya dhaahabu ya hii forum, Kulikoni, Flemming, Msemakweli, Mafuti, Sizzla, Babu Ubwete, na wengineo ambao walikuwa imara na wasiotaka mchezo na ishu, sasa ungetegemea kuwa tumejifunza, NO! here wa are attacking the man, kwa sababu hatutaki mawazo yake, lakini serikali ikiyakemea magazeti ya Tanzania Daima, up in arms we are, OOH serikali haifai! Uhuru wa speech imekuwaje? Here we are doing exactly, tusichotaka kutoka kwa serikali, ndio maana ninasema viongozi wetu ni wasaniii, lakini sio zaidi ya sisi wananchi.
Huyu mtu Mugongox2, amekosa nini? angalau Mzee Yebox2 amemjibu kwa heshima, lakini wengine sielewi yaani matusi na kejeli tuuuu, ameuliza uwezo wa Freeman kiuongozi, kitu ambacho kinafanyika hapa kila siku kwa viongozi wa CCM, na upinzani pia, sasa matusi ya nini? Kitu gani mnachokificha na kukilinda kuhusu Freeman kwamba akiguswa tuu, inakuwa matusi, vitisho, na kwamba sisi wengine wote tuna wivu, lakini the fun thing ni kwamba hizi kejeli huwa hazi-apply kwenye upande wenu, it is kind of sad kwa mtu yoyote mwenye akili timamu, akiingia hapa na our behavior!
I mean muacheni kijana aweke vitu vyake, hoja hujibiwa kwa hoja wazee, na again ninampa kudos, kijana Mugongox2, unajua ni kijana mdogo sana, endleea na kuweka vitu vyako usiwe na wasi maana kelel za mlango huwa haizuiii mtu kulala ndani, I mean Mzee Invicible, heshima mbele mkuu, lakini mimi ninaheshimu mawazo ya mtu yoyote hapa bila ya kujali kama ni CCM, ni jana tu nimempongeza Mzee Ngurumo, kwa kuiweka serikali sawa katika article yake moja niliikiuta kwenye gazeti la bongo, on uhuru wa speech, inayowaita viongozi wetu wakuu wa CCM, Boys 11 Men, I mean perfect article, ninaheshimu sana msimamo, na ndio maana ninamheshimu huyu kijana maana msimamo wake ni strong na hayumbi, kuna watu kama Mkandara na Mwanasiasa( sometimes), ambao nao pia huwa hawayumbi na hasa Bob, kuna DR.WHO, na wengine wengi humu, lakini tunaenda wapi na hii tabia, ambayo inatufanya tupoteze wajumbe kila siku?
Mzee Mugongo keep it up, the good works, na wana-forum wengine pia tuendelee kukata ishu kiroho mbaya, hakuna kulala hapa!
Wazee tukate ishu tuache usaniii!