Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
unajua unachomaanisha?
Anamaanisha ANACHOJUA.
unajua unachomaanisha?
Mods Hii Iunganishe Kwenye Wizi Wa Mbowe Nssf. Jitu Likiwa Jizi Linakuwa Kauzu Kweli. Kawaibia Nssf Na Anafanya Mtukano Kwa Aliyemuibia.
Jamani huyu Freeman Mbowe alikopa pesa NPF (NSSF) kama alivyokopa Mh. FT Sumaye!! Sasa huo si ufisadi? Nadhani hao wote ni mafisadi! Mbowe asionewe huruma!!
Jamani huyu Freeman Mbowe alikopa pesa NPF (NSSF) kama alivyokopa Mh. FT Sumaye!! Sasa huo si ufisadi? Nadhani hao wote ni mafisadi! Mbowe asionewe huruma!!
Katika uchaguzi kinahcohitajika si mabadiliko tu ya sheria lakini mabadiliko ya utaratibu mzima, pamoja na tume ya kusimamia uchaguzi na UWT kupigwa marufuku kuwa na jukumu lolote katika usimamiaji wa kuhesabu kura.
Kimepita kitambo Mwenyekiti wa Chama cha Kidemokrasia (Chadema)hajasikika kwa makala zake zile maarufu kama "Tafakuri ya Mbowe".
JF ikiwa ni jungu kuu lisilo kosa ukoko nawasilisha rasmi kwenu wadau kuulizia kulikoni Mwenyekiti mbona kimya?
Mbowe yuko busy, kadandia boti la Dr. Slaa na Zitto, wasije wakamzidi kete.
Wapenzi wake wanaami Mbowe naye eti anaweza kuwa rais. I ngelikuwa huku majuu vijana wangeshaanza kuchangamkia post yake, lakini kwa nyumbani haiwezekani maana bila resources sio rahisi kuwang'oa wazee hata kama wanajikongoja.
kwani mmheshimiwa keshamaliza masomo kule hull?
pengine yuko busy na mtabu si unajua tena
KadaMpinzani,
Mkuu hizo safari za Bagamoyo kila Jumapili zimekwisha?
Hakuna Hata mmoja mwenye jibu la kwa nini hatuoni tena makala zake? maana yote hapo juu ni kutapata, hakuna alinayeeleza kwa nini yuko kimya kwa sasa. Nakumbuka wakati JF watu walikuwa nanajadili kwa data, huu ndio muda wa kupata au kupeana majibu kwa data sio kwa kufikiria tu, hili au lile. Walioko karibu nae wamwulize ili jamii ijue vipi? Kaka Myika waweza saidia kwenye hili au mwenezi wa CHADEMA. Tuweke facts jamvini sio maneno matupu
naunga mkono Mnyika aje atueleze nini kilichomsibu bosi wake ! mbona kimya, kunani ?
Awaeleze wewe na nani? Acha umbea kijana fanya kazi
nafikiri hapa tunaongea mambo ya maana Ben, na kama unaona hutaki kuwa mmoja wa hao wa kuelezwa juu ya maendeleo ya mbowe, sio lazima uchangie hii thread, zipo threads nyingi tu na unaweza kwenda huko kuchangia !
Bora saa nyingine ukae kimya na kuficha upumbavu wako !
[/B]
Angalo leo umesema kitu.Kumbe unajua hivi sasa mbona siku zote hufanyi hivyo?
Ni lini ulijua hapa JF huwa tunaongea mabo ya maana? Ungejua hivyo ungeharibu mijadala huku kwa kuleta unazi kwenye mijadala muhimu ya taifa? Ndiyo maana wakati mwingine inanilazimu kukuuliza kama unakuaga fresh siku zote maanake huwa najiuliza unavutaga nini kabla hujapost hapa JF.
Usinichekeshe Eti kujadili masuala ya MBOWE kiudaku udaku ndio mambo ya maana? Plz usiiharibu JF kwa kutufanya wote tuoneekane wadaku,tafadhali heshimu member wa hapa.
wewe na wenzako mko tu busy kuharibu thread za maana kama Buzwagi,EPA,Richmond etc. halafu mnajifanya kuwa serios na persona lives za wanasiasa hapa.Hili Jamvi ni kwa ajili ya mambo mazito ya taifa tu!