Mbowe na tafakuri zake...

Mbowe na tafakuri zake...

Respect mkuu,

Naona sasa umekaa sawa! Hapo nimekuelewa kiaina. Hao werngine nilimaanisha wewe na Masaka,Sam,Zemarcopolo,Shy nwa wengine kama hao.Maaanake unaposema ulikuja kivyako sikuelewi kwani kuna posti mwenzako MASAKA alikua anajisifia kwamba mmekuja kupambana na wanachadema sa if members humu ndani wote ni wanachama wa vyama vya siasa.

Mbona alipokutaja kwanini hukuongea haya maneno uliyoongeahapa ndani leo?
 
sasa tujadili tafakuri za freeman mbowe maana ndio somo la hii thread !
 
Kuna taarifa alikuwa anaandikiwa sasa sijui mwandishi wake kagoma au vipi.

Just being curious....
You cant be serious; this can be defamation mind you and there is no sense of curiosity in your statement.
 
Hapa ndio sitaki kabisa kuwaamini wanasiasa wa nchi hii,
 
Attachments

  • 1439448908590.jpg
    1439448908590.jpg
    116.4 KB · Views: 590
Mkuu wapo wanaokuelewa,endelea kufukua Kila sehemu.
 
Sawa basi tumekubali Lowasa hafai ila tumemchukua hvyo hvyo, mnataka kipi kingine? Kama ni fisadi mbona hamkumshitaki wakati serikali ni yenu wenyewe
 
Mimi ni mwanaCCM mwenzako lakini wewe huenda una homon za kike kama hutiwi au kuliwa!
 
Lowasa ni mti wenye matunda mazuri. Hauishi kupopolewa na mawe. Lowasa ni jembe mahasimu wanahaha.
 
Sawa basi tumekubali Lowasa hafai ila tumemchukua hvyo hvyo, mnataka kipi kingine? Kama ni fisadi mbona hamkumshitaki wakati serikali ni yenu wenyewe

Kama sijaelewa kitu apa...
Kama ni fisadi mbona hamamkumshitaki ikiwa serikali ni yenu,,,,!!!

Kwan alieujua wizi wake alikua nani???

Aliekua na nyaraka za uhakika za ufisad wake pia???

Niliufahama vip huo ufisi wake????

Nilifikir wakumshitaki ni sis tuliokua na uhakika na jambo tulilozungumza...

Kwann yeye hakushitak waliomchamfua ikiwa serikal ilikua ni yake???

Mwiz ni mwiz tu hata akijipa cheo cha usalama wa mali za raia....
 
Mimi ni mwanaCCM mwenzako lakini wewe huenda una homon za kike kama hutiwi au kuliwa!

Kama unadhani mimi Ni mwanaccm jidanganye, siwezi kuwa shabiki wa ccm chama cha majizi na mafisadi, magufuli mbinafsi sana mwizi kama lowassa tu, ccm imeoza yote, nashangaa kumchukua fisadi wa ccm na kumfanya malaika kwenye kambi yenu
 
Back
Top Bottom