Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Mi nasikitika hawa tunao wasifia walishindwa kuwazuia walioingia mikataba ya ajabu ajabu pamoja kuchukua hela kwenye masandarusi. Kitengo sijui kililala? Nakumbuka hata machafuko ya Tunisia yalisababishwa na ukata wa wananchi. Kitengo inabidi waweke mpango mkakato kwenye intelijensia ya uchumi ndio nguzo kuu ya amani. Ikifika point of no return binadamu huwa haofii kupoteza chochote
Mkuu unaongea miaka ya Kikwete wakati watumishi wanaoongelewa ni kipindi cha Mwalimu.

Kuwa makini.
 
Unataka uniambie training ya kipindi cha mwalimu na jk tofauti ? Na maadili pia tofauti?
Its obvious.
Ma show off mengi wakati mafisadi wanatamba.
Miaka hiyo kuna mama wa benki kuu BOT, mama Simbaulanga, alidanganya na akaforge na kupata milioni 20!
Kisanga alichopata ni cha kufa mtu.
Jamaa walifanya kazi
yao kimya kimya.
 
Usilolijua ni sawa na usikuvwa giza mkuu ,endelea kuwaza hilo buhati mbya mision za wazee wa mjengo hautosikia story zao kama hawapo lakni kazi kubwa wanazofanya wanajua wao na mungu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Security intelligence inabidi iendane na economic intelligence ndio maana tunaamini hivyo maana maendeleo ya Rwanda yapo hadharani wapo smart hata kwa kuwapa uraia wataalamu hili mambo yaende. Kama TTCL na miundo mbinu walionayo wanashindwa song a, TBC vilevile kila siku wanarudi nyuma . Yaani mashirika ya serikali yenye watu wa kitengo wengi hayana income ya kueleweka hivi vitu vinajenga chuki ndio maana watu tunaona intelligence ya Rwanda inaelekea at least
 
Unataka uniambie training ya kipindi cha mwalimu na jk tofauti ? Na maadili pia tofauti?
Mabosi tofauti hutofautiana perception ya mambo plus ufuatiliaji.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Sikiliza TBC.

Kama uko redio za mitaani na social media ndiyo umepotea.

Kila siku saa 20:15-30 TBC Taifa, huwa wanatangaza nafasi hizo.
Huwa hawako open!

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Security intelligence inabidi iendane na economic intelligence ndio maana tunaamini hivyo maana maendeleo ya Rwanda yapo hadharani wapo smart hata kwa kuwapa uraia wataalamu hili mambo yaende. Kama TTCL na miundo mbinu walionayo wanashindwa song a, TBC vilevile kila siku wanarudi nyuma . Yaani mashirika ya serikali yenye watu wa kitengo wengi hayana income ya kueleweka hivi vitu vinajenga chuki ndio maana watu tunaona intelligence ya Rwanda inaelekea at least
Tbc waliwahi kusimama na private media zote zilipiga magoti hadi yule mwenye media nyingi maarufu alilia akabaki kuzozana na mkurugenzi wa tbc, beside it was kj time yule mkurugenzi akawa sacked. Mwisho tbc back to its knees.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Vijana tunapenda kuwadharau hawa Wazee. Wakati hata nchi ilivyo sasa ni kwakuwa waliijenga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wameijenga vipi wakati nchi ni masikini wa kutupwa hii!? Hawa ndio walikuwa wanamshauri Nyerere atumie rasilimali zetu kugharamia vita vya ukombozi katika nchi nyingine wakati hao tuliowakomboa hawatujali kwa lolote hivi sasa.
 
Um
Mahiga si Msukuma.

Ni mtu wa Iringa. Mhehe kama sikosei.

Sielewi kabila linahusikaje hapa.

Kama mnafikiri kateuliwa Uwaziri kukabila, huko hayuko mzee wa watu.

Sent from my Kimulimuli
Umenicopy vibaya Kk, Sikujibu kwa nia ya kibaguzi. Pia nashukuru kwa kunisahihisha kabila yake!!!!!!!!!!!!!
 
Sio stori za form two, tatizo kuna watu ukiambiwa uwezo wao akili yako lazima ikatae!

Ukisikia mtu ni jasusi basi tambua kuwa jasusi anao uwezo mkubwa kuliko mwanajeshi na siku zote kazi za ujasusi duniani kote wanafanya watu wenye akili sio ya kawaida na uwezo wa hali ya juu.

Unaweza kushangaa lakini ndio hivyo . Mtu ukisikia ni jasusi wa usalama wa taifa basi muogope!

Sent using Jamii Forums mobile app

Acheni kuwapa promo feki hapa! Wangekuwa watu makini na uwezo mkubwa nchi ingekuwa inaporwa rasilimali zake kiasi hiki?!
 
Huenda Mpaka sasa Tanzania haijapata Mtaalam wa kudungua ( Sniper) wa kiwango cha Mahiga

Kuna Mzee Mmoja Mstaafu wa pale Makumbusho aliwahi kuniambia Mahiga alijifunzia Yugoslavia ya Kijamaa 1970s Makitu kiasi kwamba kWenye Mazoezi Yao walikuwa wanapanda Magari mawili tofauti yanayoenda kwa kasi kwa uelekeo tofauti lakin Balozi alikuwa na uwezo wa kumdungua anaemtaka ndani ya Gari tofauti!
Hahahaaaa kama "SNIPER STAND OFF" MOVIE YA KIKOREA
 
Back
Top Bottom