Mandela angefanya Kama Kagame kuwasaka Wahalifu wa Kimbari kupitia Mahakama za Gachacha Wazungu wasingempenda, Mandela aliwasamehe Makaburu kwa unyama wote walioufanya kupitia Tume ya Maridhiano ya Askof Desmund Tutu
Mandela angefanya Kama Kambarage kuwapora Wazungu Mali Basi Wazungu wasingemkubali
Mandela alikuwa Mbwa kibogoyo baada ya kutoka ndio sababu Wazungu walimpenda mpaka kumjengea Masanamu mpaka Uingereza
Malisa alishafariki.Malisa yupo Wa Afya Njema.
Usihukumu!Je,ulimejiridhisha km hakuwa na dharula?!
Unajua maana ya upinzani?Vipi na wewe umeishashughulikiwa? maana na wewe ni mpinzani
Duuh. Wacha wee!!! Mahiga ndio alifanya hayo, duuh. Haya bhana, ndio uzuri wa keyboard. Unajamba tu vyoyote.Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Niliona Kitine akisimuliwa jinsi alivyo timuliwa na Mwl ilo likuwa kosa lake
1. Kama msaidizi wa mwl ktk mambo ya usalama alishindwaje kujua mambo yalikuwa hayapendwi na bosi wake.
2. Kama yeye alikuwa anapeleka taarifa za wengine kwa Mwl alishindwaje kumwambia kuwa amenunua gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za Mwalimu private cars were a sign of oppulence.Hivi kosa la Hassy Kitine lilikuwa kununua Gari au kutomjulisha Mwl kuwa kanunua Gari?
Enzi za Mwalimu private cars were a sign of oppulence.
Kila kitu kizuri sharti kiwe cha umma.
Hapo kisiri siri alikosa wafuasi wengi.
Miaka hiyo mzee wangu aliyekuwa akifanya kazi serikalini ilibidi akope benki halafu aombe kibali cha kununua Toyota Stout kule State Motors.Kulikuwa na Kampuni ya Magari ya Taifa
Pia kosa lingine japo alijitetea ni kuchukua Fedha ya kigen( Dola) na kwenda kununua Gari kitu ambacho ni Kama kuhujumu Uchumi ndipo akajitetea ali swap na Hassan Ngwilizi kwa kumwambia Ngwilizi amnunulie Gari akiwa Nje kwa Dola zake nae atampa equivalent Mjomba wake wa Tanga ili hoja ya kuwa alitumia Dola zilizopo nchini kununulia Gari kuikwepa
Miaka hiyo mzee wangu aliyekuwa akifanya kazi serikalini ilibidi akope benki halafu aombe kibali cha kununua Toyota Stout kule State Motors.
Kibali kilitolewa na Waziri wa Fedha, Msuya miaka hiyo.
Na baada ya hapo diesel ilikuwa kununua kwa kibali , nakumbuka kadi ya gamba rangi blue.
Jumamosi na jumapili hakuna gari ya binafsi kuonekana barabarani.
Leo nobody gives a damn una magari mangapi na unaenda wapi.
Tumetoka mbali.
Waziri Venance Ngula naye alinunua gari Ulaya kwa hela yake bila kibali.
Gari lilipofika likawa confisicated na kupelekwa uwanja wa Taifa Indoor stadium, pamoja na magari mengine.
Nafikiri magari hayo yalikaa hapo miaka karibu mitatu hadi yakaoza.
Juzi mkulu aliwaalika wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Walionekana Ikulu na idhini yake hata picha za ndani zikaonekana.
Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana Eagle mmo humu. Tujuze yuko wapi na kwa nini hakuhudhuria?
Naam!! Ilikuwa sio mchezo.Miaka hiyo mzee wangu aliyekuwa akifanya kazi serikalini ilibidi akope benki halafu aombe kibali cha kununua Toyota Stout kule State Motors.
Kibali kilitolewa na Waziri wa Fedha, Msuya miaka hiyo.
Na baada ya hapo diesel ilikuwa kununua kwa kibali , nakumbuka kadi ya gamba rangi blue.
Jumamosi na jumapili hakuna gari ya binafsi kuonekana barabarani.
Leo nobody gives a damn una magari mangapi na unaenda wapi.
Tumetoka mbali.
Waziri Venance Ngula naye alinunua gari Ulaya kwa hela yake bila kibali.
Gari lilipofika likawa confisicated na kupelekwa uwanja wa Taifa Indoor stadium, pamoja na magari mengine.
Nafikiri magari hayo yalikaa hapo miaka karibu mitatu hadi yakaoza.
Venance Ngula huyohuyo, wakati huo Lamwai ni machachari sana tu.Ebana kwa Miaka ile Baba yako bila Shaka alikuwa kwny Top brass ya Nchi kwa kuwa na Mshahara wa kukopesheka!
Enzi zile Umaskini ndio Kigezo cha uadilifu
Umenikumbusha Venance Ngula si Huyu aligombea Ubunge wa Ubungo 1995 akashindwa na Dkt Masumbuko Lamwai?
Asante kwa kuliona hilo...usichoke ndugu yangu.
..kuwapa vijana historia sahihi naamini ni mapambano,
..kuna jitihada za kuwapumbaza vijana wetu and you can see it in some of their contributions at JF.
..kwa hiyo nasisitiza USICHOKE.
Yes Ni Yule Yule alianza harakati toka Akiwa Mwanafunzi Chuo Kikuu Na Alipata Kuwa President wa Serikali ya Chuoni kwao.ORENGO uyu ni yule alikuwa wakili wa ODINGA alivyokuwa ana challenge matokeo ya uchaguzi ya ivi karibuni mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye alikuwa ni Mwanaharakati Kijana kutoka Chuo Kikuu. Lakini pia alikuwa anapendwa na Wanaharakati Wazee Kama kina Odinga Baba so alikuwa ameanza kuvutiwa na harakati.Duh!! ORENGA pia alikuwa jasusi au mwanaharakati wa kawaida tu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app