Hawa wazee walifundwa na wakafundika. Sio hawa unawachukua UVCCM tena sio UVCCM yakina Lukuvi, Kikwete nk. Hawana busara za uongozi, akishakuwa kiongozi, lugha za staha kwa watu wanazikosa.Thank you umenigusa sana baada ya kutambua utulivu mkubwa alionao Mzee Mahiga.Kwa mtazamo wangu waziri mahiga ni miongoni mwa mawaziri wachache wenye nidhamu ya hali ya juu na watiifu wa dhati kwa rais wetu.Ameshika nafasi kubwa za kuaminika kimataifa kakini bado anaitumikia nafasi yake ya uwaziri bila majivuno.Huyu ni mfano wa kuigwa na lazima tujivunie kwamba Rais bado ana mawaziri wazuri wakiwemo akina Hussein Mwinyi na Prof. Mubarawa.Kwa kumalizia lille tukio la mke wa Mahiga na yaliyofuatia baada ya pale yangeweza kuleta mtikisiko kwake lakini alitulia kama siyo yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app