misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,638
- 14,267
Duh!! Pohamba [emoji1] [emoji1]Siku nyingine utaelezwa Nani alimleta TB Joshua na kwanini aliletwa na Nani aligharimia Safar yake na kwa kazi gani na jee malengo ya kuja kwake baada ya Uchaguzi yalifanikiwa au laa?
Unajua kwanini Uwanja wa ugenini ukifunga goli huwa yanahesabika mawili japo nyote mlikuwa idadi sawa uwanjani Mwanzoni Mwa Mchezo ?
Sent using Jamii Forums mobile app