Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Kitenge unazijua habari zake. Unadhani raia wa kawaida wale wanausalama wako watatu na umeshaona mmoja katoa silaha angeweza kuwafata? Raia wa kawaida asingekuwa na ujasiri huo.
kwa hiyo ni mtu gani huyo!!?

Ngw'ana Kabula
 
Usalama wa Taifa wa sasa wanadili kushughulikia upinzan tu
Na sio kushughulikia afya ya nchi

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Shukran sana kwa ushuhuda wako!

Huyu die Balozi Augustine Mahiga Nguli wa Diplomasia na Ujasusi na Ukachero wa kiwango kisichomithilika!

Siasa bana, Huyu Jamaa utakuta kwny Masuala ya Protocal za Kisiasa anatakiwa Paper zake za Kazi za Kidiplomasia anatakiwa kuzipeleka kwa John Magufuli ili azi approve na hata kupunguza au kuongeza kitu!
protocal!
na siku anazipeleka ameweka mikono nyuma!
 
Mr X alisema walijaribu kumkamata lakini akawatoroka kwa kuruka ukuta wa nyumba aliyokuwa akiishi.

Akasema wakati wakimkimbiza Komandoo Tamim alidandia gari moja pick-up iliyokuwa imebeba masanduku ya bia na kuanza kuwarushia risasi wana usalama waliokuwa wakimkimbiza, hivyo akapigwa risasi na kufa.
Umechanganya mambo hapa, huyu alikuwa ni mabere marando mtaalam wa dark target
 
Alex Furgeson alisifiwa sana akiwa Manchester japo hakuwa anacheza na Wenger analaumiwa sana Arsenal japokuwa Yeye sio Mchezaji nadhan utakuwa umeelewa kwanini Namsifia Mwl Nyerere kwa kuwa Yeye ndio Kiongozi Mkuu aliekuwa anateua Hao unaowataka niwasifie

Labda hujui tu kuwa Mipango Mikubwa yote huwa lazima ipate baraka za Rais kabla ya kutekelezwa na ikitokea Rais ni Fwalaaaa anaweza akaropoka hadharan Kama Fulani alivyoropoka kuhusu Suala la Kibiti na kudukuliwa kwa simu ya Mwanasiasa aliekuwa anafuatiliwa na Usalama kuhusu kuwasiliana na Acacia

Rais Nyerere lazima tumsifu alipokuwa kafanya vizuri Kama ninavyomkosoa anapokuwa alikosea ndio u Great thinker
Yanaropokwa yasiyiropokekwa, zamani za tanu, viongozi wa wakubwa lazima wapitie kitengo, Kama sio huko basi ni pale chuo cha siasa na uongozi, Leo Hi naona wanaokotana tu, wamebaki tu kujiita wababe wa kivita na hawajawahi kanyaga hata mgambo, na yule mkuu wa wakuu wa mikoa anajiita mtaalamu wa shabaha sasa sijui hizo shabaha aliwahi kumlenga nan, polis wangeanza na huyu ntu... Na kitengo naona haushirikishwi Sana kupanga safu ya uongozi wa inji siku hizi
 
Thank you umenigusa sana baada ya kutambua utulivu mkubwa alionao Mzee Mahiga.Kwa mtazamo wangu waziri mahiga ni miongoni mwa mawaziri wachache wenye nidhamu ya hali ya juu na watiifu wa dhati kwa rais wetu.Ameshika nafasi kubwa za kuaminika kimataifa kakini bado anaitumikia nafasi yake ya uwaziri bila majivuno.Huyu ni mfano wa kuigwa na lazima tujivunie kwamba Rais bado ana mawaziri wazuri wakiwemo akina Hussein Mwinyi na Prof. Mubarawa.Kwa kumalizia lille tukio la mke wa Mahiga na yaliyofuatia baada ya pale yangeweza kuleta mtikisiko kwake lakini alitulia kama siyo yeye.
Hadi muinyi muadilifu?, waadilifu wameisha hii
 
Back
Top Bottom