una uhakika kuwa hiyo mipango alipanga yeye na si wababe wetu wa ujasusi idarani!?
Alex Furgeson alisifiwa sana akiwa Manchester japo hakuwa anacheza na Wenger analaumiwa sana Arsenal japokuwa Yeye sio Mchezaji nadhan utakuwa umeelewa kwanini Namsifia Mwl Nyerere kwa kuwa Yeye ndio Kiongozi Mkuu aliekuwa anateua Hao unaowataka niwasifie
Labda hujui tu kuwa Mipango Mikubwa yote huwa lazima ipate baraka za Rais kabla ya kutekelezwa na ikitokea Rais ni Fwalaaaa anaweza akaropoka hadharan Kama Fulani alivyoropoka kuhusu Suala la Kibiti na kudukuliwa kwa simu ya Mwanasiasa aliekuwa anafuatiliwa na Usalama kuhusu kuwasiliana na Acacia
Rais Nyerere lazima tumsifu alipokuwa kafanya vizuri Kama ninavyomkosoa anapokuwa alikosea ndio u Great thinker