Pohamba,
..ila mzee mwenzangu naomba nitofautiane na wewe kuhusu suala la wahaini wa Kenya waliokimbilia Tz.
..kati ya waliorudishwa Kenya ni Hezekiah Ochuka na Paschal Okumu. Baada ya jaribio kushindwa waliteka ndege na kuja Tanzania.
..serikali ya Tanzania iliwarudisha Kenya kwa kubadilishana na Hatty Mac Ghee na wenzake. Walipofika Kenya Ochuka na Okumu walishtakiwa ktk mahakama ya kijeshi na kuhukumiwa kifo.
..hata bwana JAMES ORENGO kuna mahali inaandikwa kuwa alikuwa deported Tz na kukabidhiwa kwa maafisa usalama wa Kenya.
Basi miye na ushamba wangu nkajua wakati huo boss wa hicho chombo alikuwa Gama(siyo mimi lakini)Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Tanzania's ex-Spy Master queries ministers' doctoratesThat guy is as straight as a ruler edge!!
Lakini jina ni Hassy Kitine , si Hans Kitine.
Watu wengi hawajui kuwa ni Mkinga kutoka Makete lakini aliyekulia na kusomea Tukuyu, Mbeya.
Nashukuru kwa Nyongeza na usahihisho pia
Jukumu letu humu ni kuwapa Vijana Historia ambayo haipo kwny Mtaala Rasmi wa Shule
fafanua kidogo " mambo ya kipuuzi"kwaninavyomjua Kitine huwa hapendi mambo ya kipuuzi.
Ina mana huyu Maige alikuaga Mkuu wa usalama wa Taifa??Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Kitine yuko Ikulu ndio ni moja wa washauri wa Ngosha...Juzi mkulu aliwaalika wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Walionekana Ikulu na idhini yake hata picha za ndani zikaonekana.
Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana Eagle mmo humu. Tujuze yuko wapi na kwa nini hakuhudhuria?
Aliutibua vp huo mpango? Na ilikauje mwalimu akataka kupigwa shaba??Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Nini kilitokea mkuuWakuu wa Usalama wa Taifa wanapumzika kuja kazini huwa hawastaafu, nilimshangaa sana Mzee wetu Mzee Ngoyai kuamini Mzee Apsn Mwang'onda kaastafu mpaka akamuamini akawa ndio Cordinator wa Kampen zake za Urais hata baada ya kuhamia Chadema.
Yaliyotokea Wiki ya Mwisho ya October kabla ya kupiga kura ndani ya Kambi ya Ukawa yatakuwa yamempa Somo kubwa sana Mstahiki Mzee Ngoyai japo we can't undue the Past
Inawezekana mkuu, lakini zengwe kumcontain Kitine ili asijegombea urais lilitengenezwa mwaka 1997/98 wakati Sumaye akiwa W/Mkuu, rais akiwa Mkapa...mbona wengine wanasema alifanyiwa mzengwe na WANAMTANDAO.
..na Membe ndiye aliyetumwa kumlipua bungeni?
..Kitine alishindwa ubunge na jamaa wa NCCR.
..baadaye ikatokea nafasi iliyokuwa wazi kutokana na kifo cha Tuntemeke.
..Kitine alikwenda akagombea na kushinda. Baada tu ya matokeo kutangazwa Mkapa akamteua Uwaziri.
..sasa waliokuwa wanautamani Uraisi wakaona Kitine atakuja kuwa too powerful ndiyo wakaamua kuilipua upya na scandal ya mke wake.
Alikuwa imran kombe. baada ya kombe akachukua apson na baadae Othman rashidAliemrithi Hassy Kitine ni Nani?
Ni sawa na kubisha Mkapa hakuwahi kuwa Waziri wa Habari na Utangazaji kwa kuwa nafasi unayokumbuka ni Uwaziri wake wa Mambo ya Nje
Mzee msuguri anaumwa. Ameshakuwa mzima sana. Waitara si alipewa kazi na mkulu..nilimuona Mzee Mwanguku mstaafu wa Magereza naye amealikwa.
..Mwanguku ni wa zamani labda aliondoka Magereza kabla hata Mzee Mwinyi hajaingia madarakani. Sina uhakika lakini.
..Pia sina uhakika kama alistaafu mwenyewe au kuna mtikisiko ulitokea akalazimika kujiuzulu. Naomba unikumbushe kuhusu suala hili.
NB.
..IGP Philemon Mgaya, Gen.David Musuguri, Gen.Marwa Waitara, na Col.Hassy Kitine,.ndiyo wastaafu ambao hawakuhudhuria.
..Inawezekana wanasumbuliwa na matatizo ya utu uzima.
Cc Pascal Mayalla
Inaweza kuwa si sahihi.1980-1983
hahahahaaa sio hivyo mkuu,sie ni wahenga tu.na wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea."Eagle Wing House"ina wenyewe mkuu.by the way,huwa nafurahishwa sana na uandishi wako,maana unamtaka msomaji atulize akili kuuelewa.Sawa ngoja nijitahidi na nijilazimishe Kukuamini Mkuu. Ila hongera sana kwa kuwa mwana ' Eagle Wing House ' Mkuu kwani nyie ndiyo wenye nchi bhana na mnaila nchi kweli kweli. Ngoja Mimi nibaki tu na hizi Kazi zangu Kuu tatu za Ukulima, Ufugaji na Uvuvi.