Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,890
Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba ya ajabu inauzwa bilioni kadhaa. Ukiangalia quality, na nyumba kama hiyo ya South au US unakuta imeachwa mbali kabisa. Mbaya zaidi unakuta kakiwanja kauongo.

Nini kinasababisha nyumba kuwa gharama hivyo, au ni kawaida?

Cheki hii nyumba ipo Sharif Shamba. Ukumbwa mita sq 200. Wanauza 200m?

1643500319233.jpg
 
Mzee kuna sehemu hununui nyumba, unanunua eneo(unamuhamisha mtu), we unadhani kuna mtu anaweza kulipa million 200 kisha akakaa kwenye hicho kibanda.
Magomeni, kinondoni, ilala, kariakoo hapawezi kuwa sawa na mvuti huko, mabwepande, dondwe n.k

Hata huko us unapopasema wewe, kibanda kinachouzwa nyuyoki(Newyork) hakina bei za kuchekeana.
 
Ni kweli. Lakini 200sqm huko Sharif shamba inafika 200m?
 
Nunua uwanja ujenge yako uone balaa la kujenga na ivi vitu vmepanda bei utaishia kwenye dirishs
A
Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba ya ajabu inauzwa bilioni kadhaa. Ukiangalia quality, na nyumba kama hiyo ya South au US unakuta imeachwa mbali kabisa. Mbaya zaidi unakuta kakiwanja kauongo.

Nini kinasababisha nyumba kuwa gharama hivyo, au ni kawaida?

Cheki hii nyumba ipo Sharif Shamba. Ukumbwa mita sq 200. Wanauza 200m?

View attachment 2102956
 
Ukitaka nyumba za bei rahisi nenda Chanika na Chamazi. Jumba zuriiiiii jipya kabisa linauzwa 18Milioni. Zinaitwa jenga uza!!!!!!
 
Mbovu balaa hizo na nyingi zinanyimwa Material.
Juzi nilienda hukona Fundi kukagua nakuta nyumba haijapigwa Linta ila imefaniyiwa finish nzur sana tuh!
 
Upatikanaji wa huduma za kijamii kama mashule, hospitali, polisi n.k huchangia kuchochea bei duniani kote. Usitegemee 200sqm ya Posta iwe sawa na Mabwepande.
 
Usemacho ni kweli kabisa....kuna jamaa alisema ardhi ya bongo ni kubwa kuliko ya Joberg,ama pritoria
 
Back
Top Bottom