Ramani za nyumba na hoteli za kisasa Smart homes with smart locks Tanzania

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
76
56
Pale unaposema kitu chochote ni cha kisasa unamaanisha kinatumia technologia ambayo haijazoeleka. Maana yake ni kitu kilichotengenezwa na maarifa mapya. Na technologia izi hazijawekwa zote mahali Pamoja ili ujue jinsi ya kuzipata. Lahasha, technologia izi kwanza zinabadilika kila siku na zinakusubiri wewe kama muwekezaji mwenye malengo na mwenye kupenda utofauti wa kazi zako uzitafute.

Kuna technologia kwanzia jinsi ya kuchimba msingi wa nyumba mpaka nyumba inakamilika. Nikimaanisha utaalam na maarifa mapya yapo kwenye kila kitu unachotaka kukiweka kwenye nyumba yako. Tuseme madirisha, milango, meza za kuwekea TV, Mahali pa kusomea, Jikoni ndio kabisaa kuna technologia zinabadilika kila siku. Ni kama Vyombo vya kuparulia karoti, vimeenda vikibadilika mpaka leo kuna vyombo ambavyo ukioneshwa, hautaamini kwamba watu wanavitumia.

Bila kusahau utaalamu wa kuwekea nyumba yako ulinzi, Iwe ni chumbani kwako au Mahali unapoficha hela, Au milango ya nyumba ambayo usingependa mtu aingie.

Kuna ulinzi wa mali kwa wafanyabishara
. Labda umefungua Mpesa yako alafu watu wanakudanganya kuwa kuna mtu aliingia akachukua hela ila hatumjui. Wanapenda sana kutumia hili neno “Kuna mtu

Kwanini ukubali kuambiwa kuna mtu na akati technologia ipo ya kukujulisha ni nani?

Kuna technologia rahisi kabisa ya kukupa attendance ya watu kazini kwako. Wakati wanaingia tunakufungia kimashine mlangoni, Kabla mtu hajaingia anaweka kidole kwenye mashine alafu unapata data za nani kaingia sa ngapi. Nani kaingia lini na sangapi ili uweze kupanga vizuri mishahara.

Kwaio technologia zipo kwa ajili ya nyumba na makazi pia na maeneo ya kufanyia biashara.

Kutumia neno ramani ya nyumba na maanisha pia katika kuchora ramani ya nyumba yako. Unahitaji ma engineer watakao weza kukuchorea ramani ya kisasa. Sikuhizi nyumba zinazojengwa zinaonesha hadi sehemu utakayofulia itakavyo kuwa.

Lakini Wazungu wanasema “Safety first” kabla haujaweka kitu chochote kizuri ndani ya nyumba yako unatakiwa kuzingatia usalama, kwanza. Kwaio ni wakati mzuri sasa wa kuongelea namna ambavyo utahusisha usalama wa mali na afya yako hata Mapenzi ndani ya nyumba yakaongezeka.

Usalama unakupa uhuru.

Haikutakiwa kiwe kichwa cha Habari maana wengi mnafahamu usalama unakupa uhuru. Unapoendelea kuchelewa kuangalia swala la usalama kwa bahati nzuri. Swala la usalama litarudi tena kkukumbusha kuwa linahitajika.

Mfano kipindi ambacho unakuta mtu anaweka fensi ya umeme. Ni pale unapokuta amesha ibiwa kitu cha thamani alichokiacha nje bila kumjua mwizi ni nani.

Haikutakiwa kufika ile siku ya kuibiwa ndio ufanye maamuzi. Lakini kwa wengi huwa wanafanya maamuzi wakiwa wamechelewa.

Kuna kuweka camera kwenye jengo lako , Au nje ya duka lako na ukawa unaweza kujua nani, ameingia dukani kwako au kanyoosha mkono kuiba ndani ya droo dukani kwako. Ni pale ambapo tu utafanya maamuzi ndio utapata uhuru Zaidi, kwenye shughuli zako. Kama wanavyosema “Amani ndio chanzo cha maendeleo”.

Usalama kwenye milango ya nyumba yako.

Mlangoni patabaki kuwa sehemu ya kuheshimiwa sana na watu. Maana ukipoteza ufungua wa mlango wako, ndio utajua ninachomaanisha.

Hadi technologia ilipofika saivi. Ukiwa una ofisi au milango ya kioo ndani ya jingo lako. Unahitaji kutumia technologia tofauti ya kufungua hiyo milango.

Mlango ndani ya nyumba yako ambao usingependa watu wengine waingie nao ni muhimu kuwekea technologia.

Ni uongo na nikujidanganya, kuwa milango yako ipo salama ofisini kwako au Hotelini kwako. Mpaka ukiweka utaalam wa kukuhakikishia kuwa upo salama.

Unaweza ukachoka kabisa pale unapoambiwa “Kuna mtu” Na ukaamua kuweka mfumo mzuri mlangoni kwako utakao kuonesha ni nani.
Maana kwa ufupi funguo zinachongweshwa.

Na nachotaka kuongea hapa ni kwamba unaeza ukaingia ndani hata kwa alama za vidole. Bila kutumia funguo ambazo sio salama.

Na ukatumia “Smart Door Locks” na mtaalam wetu wa smart door locks Tanzania . Amesomea kwanzia umeme mpaka mwaswala ya “Software” Akikufungia kamera unaona majibu ndani ya simu yako.

Atakuwekea Kitasa cha kidigitali. Utaona yule “Kuna mtu ” ni nani.

Izi locks zinafungwa mahotelini, Kwenye maeneo ya kutoa na kupokea pesa kama MPESA. Au milango ya benki. Lakini haikutengezwa kwa ajili hiyo tu. Bali na wewe UNAEPENDA maendeleo unaweza pia ukaweka.

Jubilant CEO Smarttechs. Anakutangazia mwenye hoteli, Ofisi, Shule na nyumba. Unahitaji Smart Door locks
Tunapatikana Arusha Tanzania call 0756431032/0687226493 or whatsApp
 
Pale unaposema kitu chochote ni cha kisasa unamaanisha kinatumia technologia ambayo haijazoeleka. Maana yake ni kitu kilichotengenezwa na maarifa mapya...
Kuna jukwaa maalum la matangazo ya biashara ndogo.
 
Kuna jukwaa maalum la matangazo ya biashara ndogo.
Attention all homeowners! Upgrade your home security with the latest in smart door lock technology. Say goodbye to the hassle of carrying keys and unlocking doors the traditional way. With just a touch of a button or the sound of your voice, you can now secure your home with ease. Our smart door locks offer features such as remote access, real-time notifications, and keyless entry. Enjoy peace of mind knowing your home is always secure, no matter where you are. Get your smart door lock today and experience the convenience and security of the future.
 
Hizo locks zenyewe zimefubaaa..rangi gani hizo?
 
Back
Top Bottom