Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk

Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Hahahah kipindi sina hela nilikuwa nawaza namna hio ila kwa sasa ndio naelewa nifanyeje ili nisitumie gharama kupata utelezi
 
Skuizi hadi wanaume wanapenda pesa wanajiuza wanapewa pesa, skuiz mwanaume kuliko ahonge heri ahongwe apigwe paip apewe pesa,

Saivi, mashoga ni wengi kuliko wanawake, ngoma droo skuiz hakuna asiependa pesa Kila mtu anapenda pesa na anataka pesa, skuiz hakuna Cha mwanamke Wala Cha mwanaume, wote wanapelekewa moto na wanapelekeana moto sababu ya pesa.
Hahahaha wote wajanja.😂
 
Wana
Kaka sio siri kumbe nawewe umekutana na visanga vya hawa viumbe hapa nna invoice kama 4 za vizinga nazo nimekausha situmi ata kwa mmoja we mtu fikiria unaanzaje kutengeneza Marengo na ombaomba usipo mpa si anaenda kwa mwingine kuomba 🙌🙌🙌 sitaki mazoea kabisa na hizi mtu bora ata nikanywee bia ela yangu kuliko kumpa mwanamke ambae ni omba omba we umechat na leo kesho anakuomba hela utaweza kuoa kweli si balaa hili.
zingua sana
 
Back
Top Bottom