Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

Maneno haya si mageni mtaani na vinywani mwa wanawake wengi
Ila haya ni maendekekezo tu...I tell you guys
Hata huyo mwanamke itafika muda atahitaji mapenzi hayohayo kwa gharama zake.

Let's now boycott seducing kwa kumaanisha....uone kama uhitaji wa pesa utakuwa ni that deal.
Ndio maana tunatukanwa kwamba akili ya binadamu mweusi inawaza ngono, burudani 24/7

Threads za tamaa zinaandikwa zaidi na sisi wanaume kuliko wanawake.
 
Kuwa na uso wa kauzu na usionyeshe kumpenda
Na kuwa na mademu wengine watano mtaani utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom