secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,554
- 49,989
Noma sana mkuu 😀JIdanganye.
Muhogo mtamu ukiwa na njaa siku kadhaa za kwanza, ukishazoeleka wala hakuna maajabu tena
Noma sana mkuu 😀JIdanganye.
Muhogo mtamu ukiwa na njaa siku kadhaa za kwanza, ukishazoeleka wala hakuna maajabu tena
Hizo mbinu kiko wapi sasa?Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk
Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Ninazo.Tafuta HeLa
🤖wewe ni akili mnemba Meta AI
Mama zenu waliwezaje?Asante kwa kutuelewa hiyo ni nature na hatuwezi kushindana nayo!
Kuwa n pesa ni mpango wa kwanza maana wasio na hela wanachapiwa sana tu na wenye vibundaIngekuwa hivyo wenye pesa wasingekuwa wanachapiwa! Na nadhani ndiyo wanaongoza kwa kuchapiwa.
Mama yangu alikua mama wa nyumbani Mzee anatafuta hela analeta tunakula!Mama zenu waliwezaje?
Usidanganye wahuni tunawapiga rimbwata wanapoa wakishtuka tushawachokaUsijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk
Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Kwenye kuchapiwa hakuna kuchekana. Uwe na hela usiwe nazo kuchapiwa kuko pale pale tu 😂😂😂Kuwa n pesa ni mpango wa kwanza maana wasio na hela wanachapiwa sana tu na wenye vibunda
Wadada wana ku melancholic au sio 😁Dah ila wanawake wanaomba hela aisee yani ni kero mtu ukibadirishana nae namba tu ukichat sms mbili ya tatu naomba vocha,kesho yake anaomba hela kabisa yani ni kero sijui ni njaa sijui ni wazimu.hovyo kabisa
Sasa tuwaombe nini siyeeeeWadada wana ku melancholic au sio 😁
Ila mm nashangaa kama shida ni umaskini mbona hata sisi wanaume wengi ni maskini ila hatuwaombi hela wadada hela kama wao wanavotuomba hela sisi 😁
Wadada wengine hadi kuolewa inakua ishu sababu ya tabia Yao ya kuomba omba hela wanaume wanaowatongoza.. Melancholic Mwendamseke Ms R
Dushe Ms RSasa tuwaombe nini siyeeee
Kaka sio siri kumbe nawewe umekutana na visanga vya hawa viumbe hapa nna invoice kama 4 za vizinga nazo nimekausha situmi ata kwa mmoja we mtu fikiria unaanzaje kutengeneza Marengo na ombaomba usipo mpa si anaenda kwa mwingine kuomba 🙌🙌🙌 sitaki mazoea kabisa na hizi mtu bora ata nikanywee bia ela yangu kuliko kumpa mwanamke ambae ni omba omba we umechat na leo kesho anakuomba hela utaweza kuoa kweli si balaa hili.Wadada wana ku melancholic au sio 😁
Ila mm nashangaa kama shida ni umaskini mbona hata sisi wanaume wengi ni maskini ila hatuwaombi hela wadada hela kama wao wanavotuomba hela sisi 😁
Wadada wengine hadi kuolewa inakua ishu sababu ya tabia Yao ya kuomba omba hela wanaume wanaowatongoza.. Melancholic Mwendamseke Ms R