Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk

Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Skuizi hadi wanaume wanapenda pesa wanajiuza wanapewa pesa, skuiz mwanaume kuliko ahonge heri ahongwe apigwe paip apewe pesa,

Saivi, mashoga ni wengi kuliko wanawake, ngoma droo skuiz hakuna asiependa pesa Kila mtu anapenda pesa na anataka pesa, skuiz hakuna Cha mwanamke Wala Cha mwanaume, wote wanapelekewa moto na wanapelekeana moto sababu ya pesa.
 
Kama mapenzi ingekuwa bidhaa, ingeuzwa thamani akina sisi tungekosa raha, angependwa nani?

Akina Papa Misifa, Manji, Bakhresa wangetamba hadharani, Chief Kiumbe, Msoffe si wangetutesa wangekuwa na wake nane nane.
 
Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk

Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Sio mwanamke tu ni jamii kwa ujumla usipokuwa na kitu wewe kwenye jamii unakuwa useless hata wazazi wako pia
 
Back
Top Bottom